watuhumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Arusha: Watuhumiwa wa Ubakaji na ulawiti wafungwa Maisha Jela, 280 vifungo mbalimbali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari, 2025 hadi Februari 2025 lilifanya operesheni dhidi ya uhalifu na wahalifu na kufanikiwa kukamata watuhumiwa mbalimbali na kuwafikishwa Mahakamani. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna...
  2. Wakusoma 12

    Hivi ile kauli ya " Watuhumiwa walitakiwa kutokujibu chochote maana mahakama hii Haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo" imekaa kichuro sana

    Ni kauli ya kushangaza kidogo kama mahakama Haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo Watuhumiwa mmewapeleka hapo kufanya Nini kwanini wasiende moja kwa moja mahakama yenye nguvu kisheria ya kusikiliza kesi za namna hiyo? Mambo ya zamani Bado tunayashadadia sana Tanzania.
  3. Faana

    KENYA: Polisi aachia watuhumiwa kwenda kusherehekea mwaka mpya

    Wapendeni adui zenu kama nafsi zenu A police officer in Zambia has been arrested for allegedly releasing over a dozen prisoners so they could celebrate New Year's Eve. Detective Inspector Titus Phiri "forcibly seized cell keys" on Tuesday morning whilst "in a state of intoxication," Zambia's...
  4. Waufukweni

    Zambia: Ofisa wa polisi mbaroni kwa kuwafungulia watuhumiwa washerehekee mwaka mpya

    Ofisa mmoja wa polisi nchini Zambia, Titus Phiri amekamatwa kwa kosa la kulewa akiwa kazini na kuwaachia huru watuhumiwa 13 na yeye mwenyewe kukimbia. Watu hao walikuwa wakituhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo wizi, ujambazi na mashambulizi. Msemaji wa Polisi, Rae Hamoonga amesema Desemba...
  5. JanguKamaJangu

    Polisi: Tumewakamata watuhumiwa waliokula njama ya kutaka kumteka Tarimo - Kiluvya

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linaendelea na operasheni maalum kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Kwa ujumla hali ya usalama Dar es Salaam inaendelea vizuri. Pia soma: Watuhumiwa waliotaka kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) wafikishwa...
  6. Mindyou

    LGE2024 Geita: Wagombea walioenguliwa watuhumiwa kutoa vitisho kwa wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Kumbe CCM wakiwatishia wapinzani ni sawa tu lakini Waoinzani wakiwatishia CCM, viongozi wake wanaenda hadi kwenye vyombo vya habari kulialia Hivi karibuni nimemuona Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Yefred Myenzi, akieleza kuwa baadhi ya wagombea ambao majina yao yalikatwa...
  7. Yoda

    Utawala wa Democrats watuhumiwa kukandamiza uhuru wa kujieleza Marekani

    Raia mmoja wa Marekani ameonekana katika video clip mtandaoni Twitter akibishana na baadaye kuwatimua maafisa wa FBI waliofika nyumbani kwake kufanya mahojiano naye kuhusu chapisho lake katika mtandao wa X lililosema "Mtu yeyote atakayemuua Kamala Harris atakuwa shujaa wa Marekani" ========...
  8. BARD AI

    Watuhumiwa 9 wa mauaji ya Asimwe wadai hawajui kosa lao

    Washtakiwa tisa wa mauaji ya Mtoto Asimwe Novart aliyekuwa na ualbino ambaye alichukuliwa nyumbani kwao Kamachumu May 30,2024 na June 17,2024 na mwili wake kukutwa kwenye kalavati akiwa ameuawa na kukatwa baadhi ya viungo vyake, wamefikishwa Mahakamani tena leo August 23,2024 huku wakidai...
  9. Cute Wife

    Kuna aliyeiona hati ya mashtaka kwa watuhumiwa kesi ya binti wa Yombo? Kwanini haiwekwi wazi?

    Wakuu salam, Kesi ya watuhumiwa wa kesi ya Yombo imeanza kuunguruma Jumatattu baada ya watuhumiwa hao kufikishwa mahakamani. Kimtaani mtaani tunajua kilichowapeleka pale ni kumlawiti na kumbaka binti yule. Mpaka sasa sijakutana na hati ya mashtaka ya watuhumiwa hao, na hata katika kuuliza kwa...
  10. W

    Watuhumiwa wa Ubakaji Kuwakilishwa na wakili wa kujitegemea

    Leo ni siku ya tatu tangu watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa binti wa Yombo Dovya jijini Dar es salaam wafikishwe mahakamani na kusomewa mashtaka yanayowakabili. Kesi hiyo itaendelea leo Agosti 21, 2024 kwa kuwasikiliza mashahidi ambao wameletwa na upande wa Jamhuri. Kesi hiyo namba 23476 ya...
  11. GoldDhahabu

    Kwanini Polisi wanatuhumiwa kuteka "watuhumiwa"?

    Jeshi la Polisi limekuwa likilaumiwa kuendesha baadhi ya oparasheni zake "kitekaji". Unakuta mtuhumiwa kakamatwa eneo fulani na kutokujulikana aliko kwa siku kadhaa. Kama hiyo haitoshi, hata Polisi wanapoulizwa hukana kumshikilia mwathirika. Mpaka sasa kuna tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi...
  12. mwanamwana

    Kwanini baadhi ya kesi hupelekwa Mahakama za chini ambazo hazina mamlaka ya kusikiliza kesi za aina hiyo?

    Salaam wakuu, Mara nyingi tumekuwa tukisikia kuwa watuhumiwa fulani wamesomewa Mashtaka lakini hawakupaswa kujibu CHOCHOTE kwa kuwa Mahakama waliyopelekwa haina uwezo/mamlaka ya kusikiliza kesi husika. Kwa mifano hai wengi tunatambua kuwa Mahakama Kuu ndio imepewa nguvu, uwezo/mamlaka ya...
  13. A

    Msaada wa Kisheria kwa watuhumiwa wasio na uwezo wa Wakili binafsi?

    Je, kuna msaada wowote wa Kisheria (ikiwemo kuwekewa mwanasheria na serikali) kutoka Taasisi za Serikali kwa Watuhumiwa ambao hawana uwezo wa kulipia Wakili binafsi?
  14. O

    WATUHUMIWA WA MAUAJI YA MTOTO ASIMWE WAKIFIKISHWA MAHAKAMANI

    https://www.youtube.com/watch?v=Msu_70errXQ Credit: Millard Ayo
  15. JanguKamaJangu

    Dar: Watuhumiwa 17 wakamatwa wakitaka kuwafanyia Mtihani Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Prof. Elifas Bisanda ameliomba Jeshi la polisi kuwafikisha Mahakamani haraka iwezekenavyo watuhumiwa 17 waliokamatwa wakijaribu kuwafanyia mtihani wanafunzi mbalimbali chuoni hapo. Prof. Bisanda ameyasema hayo Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi...
  16. BARD AI

    Wanajeshi wa Uingereza watuhumiwa kubaka na kutelekeza Watoto Kenya

    KENYA: Baadhi ya Wanawake wanaoishi karibu na Kambi ya Mafunzo ya Kijeshi inayoongozwa na Jeshi ls Uingereza ya BATUK wamelalamikia kutelekezwa na Wanajeshi wanaotuhumiwa kuwabaka na kuwaachia Watoto bila msaada wowote Kwa mujibu wa ripoti ya CNN, mamia ya Wanawake wameandika malalamiko hayo...
  17. Roving Journalist

    Morogoro: Watuhumiwa Watano wa makosa ya mauaji Wilayani Kilosa wakamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linaendelea kuimarisha operesheni zake dhidi ya uhalifu na wahalifu. Operesheni hizo zimepata mafanikio makubwa ikiwemo kuwakamata watuhumiwa watano wa matukio ya mauaji ambayo yametokea katika wilaya ya Kilombero na Kilosa kati ya Mei 26, 2024 na Juni 2, 2024...
  18. JanguKamaJangu

    Watuhumiwa watatu wakamatwa kwa kumteka mtoto Mbeya

    Jeshi la Polisi limesema limefanikiwa kumpata mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 05 mwanafunzi wa Shule ya awali Isaiah Samartan iliyopo jijini Mbeya aliyeripotiwa kupotea mei 15,2024 muda wa saa 11:45 jioni huku Jeshi hilo likiwashikilia watuhumiwa watatu kuhusiana na tukio hilo...
  19. Roving Journalist

    Jeshi la Polisi mkoani Katavi imekamata Watuhumiwa 128, wamo wa Dawa za Kulevya, Gongo Lita 223

    Jeshi la Polisi mkoani Katavi imekamata Watuhumiwa 128 kwa makosa mbalimbali wakiwa na vielelezo vya makosa hayo. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani amesema wamenaswa kupitia msako na doria ambazo zinaendelea kila wakati ili kuhakikisha usalama unaendelea kuwepo.
  20. JanguKamaJangu

    Watuhumiwa 11 wa "Nitumie Hela Kwenye Namba Hii” wahukumiwa kifungo cha miaka Mitatu jela

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu wakazi 11 wa Ifakara Morogoro kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya shilingi milioni sita kwa kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kutoa taarifa za uongo mtandaoni. Washtakiwa hao ni Fredrick...
Back
Top Bottom