Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG.
Chanzo: Jambo TV
Habari za mida hii wakuu,
Mida ya saa 7 mchana nilikuwa natokea Nzega kwenda Singida, ila kwakuwa kuna kijiji hapo kati nilitakiwa kuonana na mdau mmoja wa bomba la mafuta anipatie documents fulani hivi, so nilipanda usafiri wa daladala/hiace.
Tumefika maeneo ya Nkinga Hospital kituo cha bus...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekamata watuhumiwa 44 kati yao Wanaume ni 41 na Wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa mauaji, unyang’anyi wa kutumia silaha, kuvunja nyumba usiku na kuiba, utapeli, wizi wa mifugo na kupatikana na dawa za kulevya na pombe haramu ya Moshi 'Gongo'.
Kamanda wa Jeshi...
Mheshiniwa Rais leo ametueleza uwepo wa watuhumiwa wengi sana kutokana na ripoti ya CAG. Kwa matamshi ya CAG pamoja na Rais ni dhahiri kwamba kuna wahalifu wengi sana.
Sasa kwasababu Rais ni amiri jeshi mkuu basi ninategemea kuona taarifa ya jeshi la Polisi kuanza kuwakamata na kuwapeleka...
Jeshi la Polisi mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Njombe, Mbeya na Iringa, kwa kipindi cha kuanzia Machi 12, 2023 hadi Machi 23, 2023 limefanikiwa kukamata watuhumiwa 87 wa matukio mbalimbali ya uhalifu yakiwemo, unyanganyi wa kutumia silaha, kuvunja nyumba usiku na kuiba, kuvunja ofisi usiku...
Vitendo vya ulawiti vimeendelea kujitokeza katika maeneo mengi hapa nchini Tanzania. Licha ya Serikali na wadau mbalimbali kupiga kelele kuhusu vitendo hivi bado vimeendelea kushamiri kwenye maeneo yetu.
Vitendo hivi vinapotokea wazazi/walezi wamekuwa na tabia ya kufumbia macho kwa kutokutoa...
Walioachiwa huru ni Erick Teete, Fadhili Mohamed, John Daniel, Nassoro Nassoro, Paschal Mushi, Ibrahim Mkindi, Robert Massawe na Juma Hamis Ramadhan.
Uamuzi huo umetolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Moshi dhidi ya watuhumiwa walioshtakiwa kwa mauaji ya walinzi wa kampuni ya Utalii ya Ahsante Tours...
Wakati dunia na hasa mataifa ya magharibi yakiendelea kulaani utekelezwaji wa hukumu ya kifo kwa waandamanaji 2 walionyongwa na serikali ya Irani hivi majuzi,
Taarifa iliyochapishwa na vyombo vya habari vya serikali ya Iran leo, imesema kikosi cha walinzi wa kimapinduzi nchini Iran Jumapili...
KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA 11 MAKOSA YA KIMTANDAO
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na timu maalum ya kuzuia na kupambana na makosa ya mtandao limewakamata watuhumiwa 11 wa makosa ya kimtandao kufuatia ufuatiliaji mkali unaoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi na Timu...
Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi
DAR ES SALAAM-TANZANIA
Jeshi la Polisi Nchini Kupitia Kitengo cha kuzuia na kupambana na Madawa ya kulevya (Anti Drug Unit)kwa kushirikiana na Polisi Mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wa madawa ya kulevya Pamoja na vifaa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na timu maalum ya kuzuia na kupambana na makosa ya mtandao limewakamata watuhumiwa 11 wa makosa ya kimtandao kufuatia ufuatiliaji mkali unaoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi na Timu hiyo Maalum.
Katika hatua hiyo Jeshi la Polisi...
Kuna hiki kinachoitwa ungamo. Kwamba mtuhumiwa wa wizi, ugaidi, mauaji nk; kwamba kwa hiari yake aliungama. Kutokea hapo mtu au watu wakahukumiwa kunyongwa au hata kufungwa.
Kesi hii:
Maelezo kukiri kosa yalivyowaunganisha washtakiwa-11
Ni mwendelezo wa maungamo uchwara kama hayo kupewa...
Kamanda wa Polisi Mkoa, Richard Abwao amesema watuhumiwa wawili walikutwa na Nyara hizo ikiwemo Ulimi na Maini ya mnyama huyo pamoja na Magamba ya Kiboko.
Pia, watu 38 wamekamatwa kwa kujihusisha na matukio ya wizi wa Pikipiki 10, uvunjaji na wizi wa Mifugo ambapo Ng’ombe 24 walioibwa maeneo...
Walimu wa Shule ya Msingi za Kishinda na Isebya zilizoko kata ya Kishinda wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza wanatuhumiwa kupora vifaa vya wanafunzi baada ya kumaliza mtihani wa kitaifa wa darasa la saba. Malalamiko ya wahitimu hao yaliwasilishwa na Diwani wa Kata ya Kishinda, Shokolo Visent...
Ama kweli atakuwapo aliyeturoga.
Kwamba kuna wanaokenua watuhumiwa kuuwawa wakiwa mikononi mwa polisi?
Kwa hakika safari yetu kuelekea haki kwa wote ingali bado kuanza.
Agizo hilo limetolewa kupitia Muongozo wa Mashitaka Namba 1 wa mwaka 2022 ambao pia unaagiza upelelezi wa mashitaka kukamilika ndani ya siku 90 na zikizidi iwe kwa kibali maalumu cha DPP.
Aidha muongozo huo umeongeza kifungu cha 131A kinachoweka ulazima wa kukamilisha upelelezi kabla ya...
Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), William Byansi ameagiza kuanza utaratibu huo ili kuwalinda askari na wafanyakazi wa idara za haki na kutambua mapema hali za kiafya na magonjwa ya watuhumiwa.
Kwa mujibu wa DPP wanalenga kuzuia usambaaji wa magonjwa kama TB na VVU kwa sababu watuhumiwa...
Polisi wanatuchukulia poa sana. Hawajui waajiri wao ni sisi.
Catherine Ruge anaeleweka vyema kuwa suala la kuzika halipo na halitakuwapo.
"Ingekuwa muafaka zaidi polisi kufahamishwa kuwarejesha watuhumiwa hai kama walivyowachukua."
Haiwezekani wajue kuuwa tu na si kurudisha uhai walioutoa kwa...
Mara yameonekana maandamano ya kuwapongeza polisi kuuwa wanaosemekana majambazi.
Kwamba maandamano hayo yamekuwa ya amani yakipokelewa na RPC wa huko, ni jambo la kupongezwa kwani haki ya kikatiba imetamalaki.
Hata hivyo kuna tashwishi za kutosha kuwa maandamano haya yameasisiwa na kuratibiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.