Jeshi la Polisi Mkoani Arusha likishirikiana na wananchi limewakamata vijana wanne wanaotuhumiwa kujihusisha na matendo ya wizi.
Watuhumiwa hao walitiwa mbaroni mchana wa leo katika Kijiji cha Naurei, Mkoa wa Arusha, baada ya jaribio lao la kufanya wizi katika duka moja la eneo hilo...