Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani kimesema kuwa baada ya kuhitimisha zoezi la ukaguzi wa magari ya shule(School Bus) kwa kipindi cha likizo ambacho kilitangazwa ili kuondoa usumbufu kwa wanafunzi wanaotumia vyombo hivyo kimeanza kuwakamata wale wote walio kaidi agizo hilo huku kikosi...
Ukitoka mizani ya Tinde kabla ya kufika Nzega hapo katikati kuna kipande kikubwa cha barabara kimeharibika na kutengeneza mashimo makubwa sana kwenye lami.
Hii ni hatari kwa watumiaji wa barabara hii na hasa kwa madereva ambao hawaijui njia hii wanaweza kupata ajali.
Nimepita usiku huu...
Kwa waliowahi kutumia barabara ya Arusha Babati watakuwa mashahidi. Eneo mzani ulipo ni mteremkoni na kuna kona mlalo hivi.
Sijajua kulikuwa na ulazima gani umbali wa Arusha babati kuwa na vituo viwili vya mizani. Makuyuni na mdoli. Kama kuna ulazima huo, basi tanroads watafute sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.