Wakuu
Haya mataa ya kuongozea magari Biafra, Kinondoni, yameendelea kuwa chini kwa zaidi ya wiki moja tangu zigongwe na kuanguka, hali inayohatarisha usalama wa watumiaji wa barabara na kuchangia usumbufu wa foleni kutokana na kukosekana kwa mwongozo sahihi wa magari.
Cha kushangaza, licha ya...
Watumiaji wa Barabara ya Ipoipo kwenda mpaka Kihonda Sekondari hapa Morogoro Mjini, iliharibika baad aya awali kuwa na lami, Serikali ikachimbua-chimbua kipindi Mwenge unakuja Morogoro na kuiacha hivyo.
Sasa imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hii na wafanyabiashara waliopo pembezoni, kwani...
Shimo kubwa lililopo katikati ya barabara eneo la Shekilango mara tu baada ya tuta, limeendelea kuhatarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Kutokana na ukubwa wake madereva hulazimika kulikwepa ghafla jambo linaloongeza hatari ya ajali na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo...
Nimeona watu wakinusurika kugongwa na magari, huku pia madereva wakinusurika kupata ajali katika junction ya mataa ya Biafra, Kinondoni. Hali hii inatokana na taa za kuongozea magari kutofanya kazi kwa zaidi ya wiki mbili sasa, bila kuchukuliwa hatua zozote.
Mbaya zaidi hakuna dalili za mamlaka...
Mkaguzi Kata Iragua, Mkaguzi wa Polisi (INSP) Ramadhan Abdalla, akitoa msaada na maelekezo kwa watumiaji wa barabara katika eneo la Nyanya, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, kufuatia changamoto ya upitikaji wa barabara ili kutokuleta madhara kwa vyombo vta usafiri na watumiaji wengine wa...
Watumiaji wa barabara ya Morogoro hususani tunaokwepa foleni kutoka picha ya ndege kuelekea Mlandizi tumekua tukitumia old Morogoro road ila kwa kipindi kirefu tumekua tunapata shida tunapofika maeneo ya TANITA na Mwendapole kutokana na msululu mrefu wa Magari ya Dangote yanapark barabarani na...
Eneo hili la reli lina mashimo makubwa ambayo yanahatarisha watumiaji wa barabara hasa usiku. Wananchi Eneo hili wanashuhudia ajali kila kukicha watu wakipasua tairi za magari na kupoteza mwelekeo barabarani. Wahusika ikiwemo TANROADS Mkoa wa Tanga na wengineo wako wapi?
Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani kimesema kuwa baada ya kuhitimisha zoezi la ukaguzi wa magari ya shule(School Bus) kwa kipindi cha likizo ambacho kilitangazwa ili kuondoa usumbufu kwa wanafunzi wanaotumia vyombo hivyo kimeanza kuwakamata wale wote walio kaidi agizo hilo huku kikosi...
Ukitoka mizani ya Tinde kabla ya kufika Nzega hapo katikati kuna kipande kikubwa cha barabara kimeharibika na kutengeneza mashimo makubwa sana kwenye lami.
Hii ni hatari kwa watumiaji wa barabara hii na hasa kwa madereva ambao hawaijui njia hii wanaweza kupata ajali.
Nimepita usiku huu...
Kwa waliowahi kutumia barabara ya Arusha Babati watakuwa mashahidi. Eneo mzani ulipo ni mteremkoni na kuna kona mlalo hivi.
Sijajua kulikuwa na ulazima gani umbali wa Arusha babati kuwa na vituo viwili vya mizani. Makuyuni na mdoli. Kama kuna ulazima huo, basi tanroads watafute sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.