KERO Taa ya kuongozea Magari Biafra, kinondoni yaendelea kuwaka ikiwa chini zaidi ya Wiki tangu Igongwe, wahusika hamuoni?

KERO Taa ya kuongozea Magari Biafra, kinondoni yaendelea kuwaka ikiwa chini zaidi ya Wiki tangu Igongwe, wahusika hamuoni?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776

Wakuu

Haya mataa ya kuongozea magari Biafra, Kinondoni, yameendelea kuwa chini kwa zaidi ya wiki moja tangu zigongwe na kuanguka, hali inayohatarisha usalama wa watumiaji wa barabara na kuchangia usumbufu wa foleni kutokana na kukosekana kwa mwongozo sahihi wa magari.

TAA BIAFRA 3.jpg
Cha kushangaza, licha ya nguzo hiyo kuanguka chini kando ya njia ya watembea kwa miguu, taa zimeendelea kuwaka ikiwa imeanguka bila wahusika kufika kuiondoa au kuifanyia matengenezo, jambo linaloendelea kuhatarisha usalama wa wananchi.

TAA BIAFRA.jpg
TAA BIAFRA 2.jpg

Soma pia
 
Back
Top Bottom