Salam ndugu zangu wana jamvi
Naomba kuuliza swali jepesi, umewahi kutokewa au kusikia ndugu yako au Jamaa yako mtumishi WA Serikali anapata uhamishi kutoka sehemu moja ama nyingine lakini kashindwa kufanikiwa kuhama kwa sababu ya kutopata barua kutoka kwa mwajiri wake wa sasa??
Kama hujawahi...
Kuna jamaa yangu ameomba uhamisho wa kubadirishana kupitia kwenye mfumo wa ESS toka mwaka jana mwezi wa nne ila cha kushangaza hadi sasa status inasoma TAMISEMI na hakuna jibu na hajui ni lini ataweza kujibiwa.
Ikumbukwe kuwa Serikali iliamua kuachana na Uhamisho wa manual na kuanzisha ufumo wa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Abdul Mtaka, ametoa agizo kwa taasisi zenye tabia ya kushikilia kadi za benki za watumishi wa Umma kama dhamana wanapokopa kuacha mara moja vitendo hivyo kwa kuwa ni kinyume cha Sheria.
Agizo hilo amelitoa Wilayani Rorya...
Kuna ukame ambao unatishia maisha ya watu na mali zao.
Akina Mwamposa and Co. Ltd wamejinasibu na kufanya miujiza kurekebisha mambo kama magonjwa, bahati kuondoa mikosi , kuleta utajiri etc etc.
Najiuliza, mbona sasa hawafanyi miujiza mvua ikanyesha?
Tunao zaidi ya 400
Kuwadharau Watumishi wa Mungu ni kosa linaloweza kuleta madhara makubwa kwa mtu binafsi na jamii. Biblia inatufundisha kwamba Watumishi wa Mungu wameteuliwa kutangaza Habari Njema na kuwaongoza watu katika njia ya haki. Kuwadharau ni sawa na kupinga kazi ya Mungu, jambo linaloweza kuleta laana...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema ndoa nyingi za watumishi wa umma zinakufa kutokana na wenza kukaa mbalimbali na kwamba wiki ijayo vitatolewa vibali zaidi ya 200 ili wasogezwe na familia zao.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya...
Elon Musk amekuwa mbogo baada ya baadhi ya taasisi kukataa kutii amri yake ya wafanyakazi wote wa umma Marekani wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya wiki iliyoisha!
Taasisi zilizokaidi amri yake ni pamoja Pentagon, FBI na State Department(Ofisi ya mambo ya nje) ambao...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....
Siku ya Leo nimekuja na mada wezeshi na mada hii itasaidia kuwezesha watumishi wa Umma kuleta matokeo chanya katika utumishi wao.
Kipekee ninatambua kura ni Siri ya mtu na mpiga kura halazimishwi wala hashurutishwi kukipigia Chama...
Mimi ni mfanyabiashara ambaye nimefanikiwa sana lakini wapo baadhi ya ndugu zangu ambao ni watumishi wa umma katika taasisi mbalimbali.
Malalamiko ya ndugu zangu kuhusu namna ambayo viongozi wao wa taasisi wanavyowafanyia yanafanana karibu kila taasisi.
Viongozi wanafanyia kazi habari za...
Anonymous
Thread
busara
hawana
kuongoza
taasisi
umma
viongozi
watumishiwatumishi wa umma
wengi
Katika uhalisia mfumo wa kiutawala unachangia kusiwe na uwajibikaji kwa watumishi wa umma nina uwakika kuna zaidi ya aslimia 99% za watumishi wa umma kuwa hawafanyi kazi zinaweza kuzidi hizi aslimia 40% nilizo zisikia.
Kutokuwa huku na uwajibikaji kwa watumishi hao kunaweza kuchangiwa na...
Kuna Kila dalili la anguko la uchumi wa Dunia Hadi sasa,Kuna dalili za mabenki kufilisika huko tuendako,je tunaandaliwa kisaikilojia!!?
Au ni Ile mbinu ya jk enzi zile ambayo dokta anaeozea mahabusu aliishtukia kipindi kile!!?
Wajuvi mje mjazie nyama hapa!
Waziri anayehusika na utumishi Simbachawene asema asilimia 40 ya wafanyakazi wa serikali ni mizigo
swali kwa nini hawaachishwi kazi? Wapishe wengine?
Serikali kwa nini inaendelea kuwakumbatia?
-------
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George...
Utafiti uliotolewa na kuonyesha kuwa 40% ya watumishi wa umma ni mizigo, kwa maana wengi ni wavivu, wazembe na hawatimizi wajibu wao ipasavyo, naunga mkono utafiti huo kwa 100%
Chanzo kikuu ni hiki hapa;-
1. Mahusiano ya kingono kati ya mabosi/viongozi na wanao ongozwa......hiki ndio chanzo...
Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii.
Pili kuna kundi moja nchi hii naomba...
OFISI ya Rais ,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imewaagiza waajiri wa taasisi za umma kuwarudisha kazini watumishi wanaoshinda mashauri ya rufaa za kinidhamu kadiri ya maelekezo yaliyotoka kwenye Tume ya Utumishi wa Umma.
Naibu Waziri wa Ofisi hiyo, Deus Sangu ametoa agizo hilo...
MAFAO YA KIINUA MGONGO; WABUNGE WANAOGELEA.
Kiinua mgongo kwa mbunge mmoja wa Bunge la Tanzania ni Sh272 milioni baada ya kipindi cha miaka 5 akihudumu kama mbunge wa Bunge la Tanzania.
Jumla ya idadi yote ya wabunge ni 393. Wabunge wa majimbo ni 264. Wabunge wa viti maalum ni 113. Wabunge...
Serikali inatarajia kutoa waraka utakao waelekeza wakurugenzi wa Halmashauri nchini kutekeleza miongozo inayowahusu watumishi wa Umma wenye ulemavu ili wapate mazingira rafiki na wezeshi wanapotekeleza majukumu yao.
Kauli hiyo imetolewa Februari 06,2025 Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya...
Kumekuwa na changamoto kwa takribani wiki moja sasa kwenye MFUMO wa ESS (Employee Self Service) kushindwa kupakia majukumu ya kiutumishi kwenye kipengele kilichomo ndani ya mfumo huo cha PEPMIS (Public Employee Performance Management Information System) bila kujua changamoto hizo zinatokana na...
Anonymous
Thread
changamoto
ess
mamlaka
mfumo
mfumo wa ess
watumishi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.