Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, naomba kuwasilisha tuhuma za WIZI wa fedha za Umma katika Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kwa miaka minne tangu 2018 mpaka 2022. Ninaamini taarifa hii itavifikia vyombo vinavyoshughulikia Maadili ya Viongozi wa Umma pamoja na Utawala Bora kwa ajili ya kuchukua hatua kwa...
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewataka Watumishi wa Serikali wanaotaka wapewe magari ya kifahari aina ya Toyota Land Cruiser VX kwa ajili ya kuyatumia kwenye kazi wasahau hilo na kama wanaona yana umuhimu sana basi wajinunulie wao lakini sio kwa pesa za Serikali.
Hichilema amehoji “Kwanini...
Habari,
Nitatoa mifano angalau 3 kuthibitisha hoja katika title ya uzi wangu.
Mfano # 1
Diwani analipwa pesa ndogo, ilikuwa chini ya laki 4 labda kama mabadiliko yamefanyika majuzi. Huyo diwani anazidiwa mshahara na watumishi karibu wote katika kata yake, atakuwa na uzalendo kweli? Huyo diwani...
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na...
Watumishi wengi wa Mungu wanapenda kusema wameoteshwa au amekuona kwenye ndoto na ameona nyota yako imechukuliwa.
Mimi huwa siamini kitu kama hicho je kunakuwaga na ukweli wowote? Na pia mimi siamini kwenye kuombewa napenda zaidi mtumishi anifundishe jinsi ya kusali kisha aniache niongee na...
Habari wananchi na viongozi!
Serikali hii ina watumishi takribani laki 7(700,000). Hii idadi si kubwa sana ila ndani ya watumishi hawa kuna kundi halihitajiki sana kwa wakati huu.
Mfano: Kazini kwangu ofisi X kuna watumishi wapo wanadibiri kustaafu tu, uhitaji wao wa moja kwa moja umekomaa. Ni...
Habari!
Unyonyaji unaanzia kwenye tangazo la kazi
Ukisoma tangazo lolote la kazi za serikali hasa ajira za kudumu utaona sehemu moja wameiandika kiwango cha mshahara kimafumbo, wenyewe wanaita kimuundo.
Mfano,: TGS D, TGOS A, TPAS D, TANAPA 4, TGTS C n.k, n.k.
Kama nia ni kuficha kiwango cha...
Wanabodi, twende mbele, turudi nyuma, wafanya kazi wengi wa serikali (zaidi ya 70%) hawana ufanisi katika kazi zao. Ni kama serikali inawalipa mishahara ya bure kabisa.
Kada za ualimu, afya, ulinzi/usalama (Polisi, Magereza, Wanajeshi), sheria(mahakimu) zinajitahidi sana hata kuingia kazini...
Dharau zimeanza sasa!
Serikali inakoelekea itatufikisha kwenye point ya mwisho.
Haya mapendekezo kuwa mteje wa nhif atibiwe kwenye kituo kimoja tu huu ni upuuzi kwamba kama nilikua natibiwa mwanza nikiugua nipo dar nisitibiwe?
Eti mgonjwa haruhusiwi kutibiwa zaidi ya mara tatu kwa mwezi...
Hotuba iliyotolewa na Mh. Rais wakati wa kuwaapisha viongozi mapema siku ya jana ni muendelezo wa kasi yake katika kuhimiza utendaji wenye tija kwa watumishi wa umma. Baadhi ya mambo yanayohimizwa na Mh. Rais ni pamoja na ;
1. Utendaji wenye tija kwa watumishi wote wa umma katika Wizara...
Hali ya maisha haifai, kila kitu juu huku mishahara ikiwa chini na biashara kuwa ngumu sana.
Tozo kila mahali, mafuta ya nishati juu, yakupikia juu, pesa haionekani , athari ni kuzidi kuongeza gepu la matajiri na masikini, Hali hii inadidimiza zaidi masikini huku matajiri wakineemeka na kipanda...
Habari ya saa hizi waungwana!!
Ni ukweli usiopingika kuwa Maisha kwa watumishi wa Umma yanazidi kuwa ni tia maji tia maji. Mathalani nyongeza ghafi isiyonyumbuka ya mshahara haifui dafu kabisa kwenye mfumuko wa bei uliojitokeza kuanzia April 2022.
Nadhani wakati umefika sasa kufungua mjadala...
Watumishi wengi ni watu wenye maarifa na upeo mdogo sana!
Wakati tangazo la nyongeza ya mishahara linatoka mimi Fumadilu Kalimanzila niliandika humu JF nikawaeleza kuwa Tanzania haina uwezo wa kuhimili nyongeza ya mishahara ya 23.3%! Nilishambuliwa sana humu.
Leo mtu amekuta ameongezewa...
Habari!
Huu mfumo si mpya sana maana una miaka zaidi ya miaka 2 hivi hapa nchini tangu uanze kutumika.
Ni mfumo wa Kidijitali wa pamoja wa malipo ya kiserikali.
Mfumo huu ni mwiba kwa wahasibu wezi na watumishi mafisadi.
Ulianzishwa na serikali ya Magufuli. Uliweza kufuta matumizi ya check...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.