Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwasilisha hoja akilitaka Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) kuwasaidia wahitimu kwa kuwapatia Leseni mapema kwa kuwa wanapitwa na fursa nyingi Mtaani, ufafanuzi umetolewa na Baraza hilo.
Kusoma hoja ya awali, bofya hapa ~ Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC)...
Serikali ya Tanzania imesema imeongeza posho za madaktari anapoitwa nje ya saa za kazi, posho ya sare za wauguzi na ile ya kuchunguza maiti kuanzia mwaka wa fedha 2024/2025.
Hatua hiyo imekuja ikiwa ni miaka mingi imepita tangu madaktari na wauguzi chini, kuomba ongezeko hilo.
Hayo yamesemwa...
Hakika tumeweza kushuhudia kazi za wauguzi kwa mgonjwa ni za kipekee sana nikafikiria mfano wauguzi wakaaamua kugoma nn kinaweza kikatokea kwa wagonjwa?
Je maisha ya wagonjwa yatakuwa hatarini kwa kiasi gani?
Je, vifo vingapi vitatokea kwa sababu ya ukosefu wa huduma za kiuguzi?
Nikawaza...
Halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imechukua hatua ya kumpumzisha daktari wa zamu ili kupisha uchunguzi baada video ya Mwanamke anaedaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza kusambaa mtandaoni.
Halmashauri baada ya kufatilia...
Hi? Mnaonaje fungu la kumi au sadaka wangepewa wauguzi wa afya na vyuo vyote vinavyotoa mafunzo hayo sababu wanachokifanya katikati maisha ya mwanadamu kinaonekana sababu unaweza zidiwa na magonjwa ukapelekwa hospital na ukatengamaa kama siku zako za kufa hazijafika bado kuliko kuwapa hawa...
UZEMBE KWA WAJAWAZITO WAKATI WA KUJIFUNGUA ULIOPELEKEA MTOTO MCHANGA KUVUNJIKA MKONO KATIKA HOSPITALI YA MAGUMGA WILAYANI KOROGWE KATA YA MAGUMGA
Mama aliyejifungua mtoto siku ya tarehe 15/01/2024 katika hospitali ya Magunga ameshindwa kuruhusiwa mpaka leo hii kutokana na tukio la mtoto wake...
Serikali ilitangaza nafasi 500 za wauguzi wa kike, ambao walitakiwa kuenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia, kupitia tangazo hilo ilitangazwa kuwa kufikia tarehe 10 January watakaokuwa wamefanaikiwa kupata nafasi, watatakiwa kuonana na Waziri husika.
Je, hili hili suala limefikia wapi??
Mgonjwa aliyekuwa amelazwa wodi namba 6 “A” katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) ametoa tuzo maalum ya kuwapongeza wahudumu wa wodi hiyo kwa huduma bora wanazotoa kwa wagonjwa.
Mgonjwa huyo Godfrey Mushy alilazwa wodini hapo kwa miezi Mitano kuanzia Oktoba, 15, 2022...
Leo mida ya jioni nilikuwa Bochi hospitali, wakati nikiwa kwenye foleni ya kuingia kwa daktari ambayo tayari imeshanichosha kutokana na foleni kuwa kubwa na kucheleweshewa huduma kwa mlolongo mrefu wa kumuona daktari mara akaja mgonjwa ambaye kikawaida altakiwa kupewa huduma za haraka kwa hali...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian @batilda.burian amesema jalada la uchunguzi wa tukio tata la Watoto pacha waliozaliwa kabla ya muda katika Kituo cha Afya Kaliua na mmoja wao kunyofolewa jicho la kulia na ngozi ya paji la uso, limekamilika na Watumishi wanne wa Kituo hicho...
Chama cha Wauguzi TANNA wametoa waraka unaoelezea sakata lao na waandaaji wa thamthilia ya Zahanati ya Kijiji onayorushwa na kituo cha Azam TV.
Wadau mbalimbali wa sanaa wameonesha kuchukizwa na mwenendo wa chama hiko cha wauguzo kuongilia taaluma ya sanaa hususani kuonesha dalili ya...
Uwezo mdogo wa wauguzi kutambua mapema ugonjwa wa saratani kwa watoto umetajwa kuwa changamoto mojawapo inayotatiza matibabu ya ugonjwa huo.
Katika kutatua changamoto hiyo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas) ikishirikiana na Taasisi ya Global Hope ya nchini Marekani...
Mkurugenzi wa sera na mipango wizara ya Afya Bw.Edward Mbaga amefungua rasmi kongamano la kimataifa la madaktari Bingwa wa ubongo Mgongo na mishipa ya fahamu ulilojikita kwenye matibabu na uchunguzi wa uvimbe kwenye ubongo, mgongo pamoja na saratani ambapo zaidi ya madaktari bingwa 200 kutoka...
Kuna tuhuma nzito zimetangazwa na mkuu wa mkoa wa Mwanza
RC Adam Malima ameonekana akimtuhumu Mkurugenzi wa jiji kuhusika na utapeli wa kuuza viwanja viwili vyenye thamani ya Bilioni moja!
Hii ni taharuki na tuhuma nzito sana!
Ukitafakali kwa kina jambo hili linaibua maswali mengi sana yasiyo...
Zaidi ya Wauguzi 10,000 wanaosimamiwa na Huduma ya Afya ya Afya ya Taifa (NHS) Nchini England, Wales na Ireland Kaskazini wanatarajia kushiriki katika maandamano hayo, Jumatano Desemba 21, 2022.
Aidha, wahudumu wa magari ya huduma ya kwanza wa England na Wales nao watashiriki, isipokuwa tu kama...
Maelfu ya wauguzi hao wanatarajia kufanya hivyo wakitaka waboreshewe maslahi ili kuendana na uhalisia wa gharama za maisha.
Imeelezwa kuwa ikiwa wauguzi hao wa Serikalini watafanya hivyo itakuwa ni mara ya kwanza katika histori kufanya hivyo kwao.
Wauguzi hao walio chini ya Huduma ya Afya ya...
Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC), limewafutia leseni wauguzi wasaidizi wawili wa Hospitali ya Wilaya ya Mkomaindo, Masasi mkoani Mtwara, baada ya kupatikana na hatia ya uzembe uliosababisha kifo cha majamzito na mtoto wake."
Wauguzi hao Elizabeth Njenga na Pascal Mnyalu, walishtakiwa...
Umoja wa Wauguzi na Wakunga wa Uganda (UNMU) umetangaza kuanza mgomo kuanzia leo Mei 26, 2022 kutokana na malipo duni, ikiwa na maana wanaungana na wataalam wa afya wengine walioanzisha mgomo tangu Mei 16, 2022.
Rais wa UNMU, Justus Cherop Kiplangat amesema amefikia maamuzi hayo kutokana na...
Dunia inakabiliwa na uhaba wa Watumishi wa Afya hususan Wauguzi, na hali hilo inaweza kuathiri jitihada za kufikia Lengo la Huduma ya Afya kwa wote ifikapo 2030
Wauguzi wana jukumu muhimu katika utoaji wa Huduma ya Afya, wanachangia katika Tafiti, kuzuia Magonjwa, kutibu Majeruhi, kusimamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.