wauguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    SONGWE: Serikali yaingilia tuhuma za wauguzi kusababisha kifo cha kichanga kwa uzembe

    Wauguzi katika Kituo cha Afya Tunduma, Wilayani Momba wanatuhumiwa kusababisha kifo cha mtoto aliyezaliwa kituoni hapo, huku mzazi (jina limehifadhiwa) Mkazi wa Kata ya Uwanjani, Tunduma akidai mtoto huyo alikutwa na jereha kichwani licha ya kujifungua salama. Taarifa zilizopatikana kituoni...
  2. John Haramba

    Asilimia 70 wauguzi Hospitali ya Amana ni wanawake

    Madaktari Bingwa 30 hutoa huduma katika Hospitali ya Rufaa Amana Wilayani Ilala. Hayo yalisemwa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa Amana, Dkt.Bryson Kiwelu katika madhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambapo alishiriki siku hiyo na Watumishi wake Wanawake. Dkt.Bryson Kiwelu alisema...
  3. MK254

    Wauguzi wa Kenya kupata darasa la "medical English" na kuajiriwa Uingereza

    Hawa ni waliofeli English Language Testing System (IELTS) ======= Kenyan nurses who failed English language tests required for immigration to the UK will be supported by the British government to learn ‘Medical English’, an envoy has said. “We are ready to assist Kenyan nurses learn medical...
  4. W

    #COVID19 Wauguzi Mihambwe wapongezwa kwa kuongoza kiwilaya kwa utoaji wa chanjo ya Uviko-19

    Na Mwandishi wetu, Mihambwe Wauguzi wa Zahanati ya Mihambwe iliyopo Kata ya Mihambwe Tarafa ya Mihambwe wamepongezwa kwa kuongoza wa kwanza kiwilaya kwa wingi wa utoaji wa huduma ya chanjo ya Uviko 19 kwa Watu. Hayo yamebainishwa Leo Jumanne Februari 1, 2022 wakati wa ziara iliyofanywa na...
  5. Dr. Wansegamila

    Muhudumu wa afya na mwanafunzi wa udaktari (intern) hospitali ya wilaya Kaliua, mkoani Tabora wasimamishwa kazi kwa kufanya mapenzi wodini

    Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini. Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku. Mmoja...
  6. luangalila

    Uingereza iwe makini na wauguzi wa Kikenya baada ya tukio hili

    Baada ya utata kuibuka last week kuhusu utaratibu wa kuwapa ajira wauguzi wa afya toka Kenya , wiki hili limetokea tukio ambalo pengine lita ibua maswali kwa serikali ya Uingerezaa kuhusu ubora na uweledi wa manesi toka kenya Ina daiwa kijana mmoja Mkenya anaidai fidia hospitali fulan baada...
  7. Chachu Ombara

    Wakenya hawajui Kiingereza; Watumishi wa afya 290 kati ya 300 wafeli mtihani wa Kiingereza ili kupata kazi Shirika la Afya la Uingereza

    Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS). Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
  8. C

    Kwanini mitihani ya matabibu tu? Mbona ya wauguzi nayo ilivuja na hakuna hatua zilizochukuliwa?

    Kwanza niwapongeze wale wote walioamua kuwa uchunguzi ufanywe ili kubaini wizi wa mitihani uliotokea kwa watahiniwa wa utabibu. Naamini hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wahusika kwani imekuwa kawaida yao kufanya kitendo hiki kwa muda mrefu. Pamoja na hayo yote, naomba kuuliza, je kwa nini...
  9. Equation x

    Kwanini Walimu na manesi wengi hawako 'single'?

    Nimefanya kautafiti kadogo, nikagundua walimu na manesi wakike wanaolewa kwa wingi sana ukiringanisha na hizi fani zingine. Ni vigumu sana kukuta nesi au mwalimu ambaye yuko kazini kwa zaidi ya miaka mitano kuwa 'single'. Wakuu nauliza kwa nini inakuwa hivyo, au wao wanajua sana kupenda, au...
Back
Top Bottom