Nimefanya kautafiti kadogo, nikagundua walimu na manesi wakike wanaolewa kwa wingi sana ukiringanisha na hizi fani zingine. Ni vigumu sana kukuta nesi au mwalimu ambaye yuko kazini kwa zaidi ya miaka mitano kuwa 'single'.
Wakuu nauliza kwa nini inakuwa hivyo, au wao wanajua sana kupenda, au...