Natumai mpo vyema nyote wanajukwaa.Naombeni msaada kwa mwenye uzoefu na hivi VIBIRITI a.k.a BABY WALKER😁😁 Toyota vits ya 2013 engine 1KR CC 990.
Natafuta kigari cha kuagiza Japani ila nimezurura huko beforward nimeona kukiagiza kanachezea millioni 8 na vichenchi kadhaa mpaka hapo Daslam...
Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu
Civics D,
His F,
Eng D,
Chem D
Biol C
Kisw C
Marh F
Mtoto anapenda kusomea Mambo ya Nursing and Midwife. Kwa ufaulu huo anaweza akapata chuo km sivyo ni kozi gani nyingine ya...
Nina list ndefu.
Tuanze 2025 na UUNGWANA zaidi katika kuwasilisha mada zetu na kujibu mada za wengine kiungwana bila matusi, dharau and the like.
2025 MOTTO: USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE MWENZAKO. BY THAT PRINCIPLE, KILA MMOJA WETU AKIISHIKA, TUTAKUWA WATU WEMA THROUGHT 2025.
Nawatakia...
Sorry, za muda hu waungwana, nimepata mkopo mahali flani wa pesa taslim laki tatu, sijui na sielewei naifanyia nini,!! Maan marejesho kila baada ya wiki mbili kwa miezi sita, Naombeni ushauri 🙏
Habari wakuu!
Ipo hivi, nipo kwenye mahsiano na mwanamke aliyeachwa kwa kosa la usalit katika mahsiano yake ya mwanzo.
Alimsalit mtu wake akaja kwang, jamaa alipogundua akaachane nae. Jamaa anafamilia yake tang zaman kwahiyo alkuw na huyu mwanamke kama mchepuko wake lakin baad ya mwez kupita...
Kuna mwanaume, tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano, nampenda natamani tuanze familia.
Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi. Nina kipato Kwa Sasa hata kusomesha hao watoto tutakaopata lakini nikiwaza vipi kama nikifa ataweza kuwasomesha wanangu?
Au wataishia...
YAI
Kwa kuwa alikwa mwanae,Chuwa hakumwita mwizi bali,alimwita mdokozi.
Chuwa akasahau ya kuwa, kile kinachofanywa na mwanae hakina tofauti na kilichofanywa na kina fulani ila kwa kuwa mwanae ameiba mboga madhara ya wizi wake yanaiathiri familia tu na kwa kuwa kina fulani wameliibia...
ASANTE
Baada ya kugundua mumewe anamsaliti, mke wa chuwa alimtazama mumewe usoni.
Akamsogelea karibu zaidi, akambusu shavuni, kisha akamwambia “Asante sana mume wangu”
Tofauti na busu la mkewe, ambalo lilimkumbisha Chuwa busu la Yuda kwa Yesu.
Asante ya mkewe,ilimweka Chuwa njia panda...
UZITO
Licha ya changamoto zilizowakabili,
wazazi wa Chuwa walifanya kila wawezalo ili kesho ya chuwa si tu iwe kesho nzuri bali kesho yenye fursa angavu na furaha ya kudumu.
Miaka kadhaa mbele juhudi zao zikazaa matunda.
Chuwa akahitimu masomo na kupata kazi nzuri.
Baada ya kupata kazi,Chuwa...
SHETANI
Baada ya msoto wa muda mrefu,
Chuwa alifanikiwa kupata kazi.
Licha ya kazi hiyo kuwa na mshahara mkubwa na marupurupu yakutosha ila iliuweka rehani utu wa Chuwa kwa kumlazimisha,achangamane na watu walio kinyume na misimamo yake,
maadili yake,tamaduni zake na kila jema alilolijua...
Waungwana!
Hapa ni mahala ambapo waungwana hukutana kwa lengo la kujadiliana,kuelimishana,
kuonyana,kukosoana,
kupongezana,kupeana ushauri na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali kwa njia ya kiungwana.
Ili kutimiza lengo,waungwana watatumia “SIMULIZI ZA WAUNGWANA” kama rejea na mwongozo...
Nukta.
Licha ya kuonywa mara kadhaa,
Chuwa hakuwa msikivu.
Aliendelea na tabia zake, japo alifahamu kuwa tabia hizo zinamuumiza sana mkewe.
Siku moja,Chuwa alifanya yake tena.
Aliporudi nyumbani,mkewe hakumsemesha.
Alimuandalia chakula kisha akaondoka zake.
Wakati mkewe anaondoka,macho ya Chuwa...
Dar es Salaam, 15 Mei 2024: Vodacom Tanzania inafuraha kutangaza kuwa huduma ya intaneti imerejea kikamilifu baada ya upungufu wa ubora wa huduma za intaneti nchi nzima. Tulipata changamoto ya kukatika kwa nyaya chini ya bahari hivi majuzi.
Tunaelewa kuwa tukio hili limeleta usumbufu na...
Kwa wafuatiliaji wa Azam tv watakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu Azam tv kuipa airtime Christmas kama ambavyo ilikuwa inafanya kwenye sikukuu ya IDDI
Basi wakulungwa walimaindi sana ikiwemo kushusha nyuzi humu kuhusu Azam tv na udini..
Kwa mfano mwaka jana Azam walikuwa wanakwepa...
Waungwana habari zenu. Naombeni ushauri,nina gari yangu TATA XENON DICOR 3.0L. Nahitaji kuibali Engine niweke injini ya Toyota. Je niweke injini gani inaweza kuwa poa.?
Huu ni ushauri wa bure kwa CHADEMA na Wanaharakati (wote ndani na nje), ikiwapendeza, waungwana kabisa.
Kutoka kwa mwananchi, mdau.
Kwenu waheshimiwa, niwasalimu kwa jina la solidarity: "Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu."
Tulikuwa tuko vizuri. Tulikuwa wamoja. Tulikuwa tukitembea vifua...
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!
Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.
Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na...
Kuna mdogo wangu amemaliza form six mwaka huu na amepata faulu wa 1.9 mchepuo wa HKL kambiwa na mzee achague fani lakini vyuo ni mbeya na mwanza sasa yeye anapenda mambo ya elimu lakini Mimi nikamwambia elimu sasa hivi inshu za ajira imekuwa ngumu sana labda kama una strong connection akasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.