waungwana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Mliofanikiwa kuacha kazi na kujiajiri mlitumia mbinu gani?

    Niliajiriwa 2014 kwenye sector ya elimu (mwalimu), nimepambana na maisha ya utafutaji Si haba Mungu kanisaidia nimefanikiwa kupata mtaji kiasi,nimefungua maduka mawili, duka la mahitaji ya nyumbani jumla na rejereja na la pili ni duka la simu,vifaa vya umeme na huduma za fedha mtandaoni (Mpesa...
  2. M

    Waungwana, msaada tutani

    Habari za muda huu Naomba kujuzwa, hivi kampuni inaposema tunatoa mshahara mnono kwa nafasi ya ulinzi inaweza ikawa kama Tshs ngapi ? Mana nimeona tangazo la kazi ya ulinzi katika mradi wa bomba la mafuta na wameandika tunatoa mshahara mnono Naomba kwa wenye uzoefu wanisaidisme kunijuza...
  3. M

    Hodi hodi waungwana

    Hello wapendwa jukwaani,Mimi ni Mgeni kwenye jukwaa hili,nimependa kuungana nanyi ili kujifunza mengi kutoka Kwenu🙏
  4. Slowly

    Watu wanene (vibonge) ni waungwana sana ila wengi ni matapeli

    Ukifatilia hata hapa mjini hawa jamaa ndo wanaongoza kwa black market , kuwa makini sana unapoanza kufanya dili na mtu kibonge , ni wacheshi wazee wa mastory ya kusisimua ila kukuingiza kwenye smuggling ni kugusa tu. Ongeza umakini unapokutana na dalali bonge.
  5. M

    Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  6. Zainab j

    Naomba kuuliza waungwana

    Nimesoma kwenye Bible sijaona sehemu kimekataza sisi wafuasi wa masiha kuoa mke zaidi ya mmoja, Ebu ambae anajua Kuna mstari unakataza kuoa mke zaidi ya mmoja tafadhali ningeomba anionyeshe, maana nimechoka kuwa na mke mmoja na ukichukulia hii michepuko ya nje inajua kuchuna tu haina mapenzi ya...
  7. Mwizukulu mgikuru

    Watu wa kanda ya ziwa ni waungwana sana

    Watu wa kanda ya ziwa ni watu waungwana sana..wamejaaliwa tabia nyingi nzurinzuri kama ukarimu na kutokuwa na choyo...tatizo lililoikumba jamii hii ya watu wa kanda ya ziwa ni kutaka kugeuzwa kuwa watu wa ajabu..kiongozi mmoja wa serikali ambae kwa sasa hatunae alitaka kuwabadirisha hawa watu...
  8. P

    Baada ya kutangazwa tarehe ya sensa kuwa siku ya mapumziko, hakuna aliethubutu kufungua duka Kariakoo

    Baada ya kutangazwa tarehe ya sensa kuwa siku ya mapumziko, hakuna aliethubutu kufungua duka Kariakoo. Kwa wanaoishi hapo hapo kariakoo walibaki majumbani lakin mpaka usiku huu wengi hawajapitiwa na makarani, najua watapitiwa siku zijazo lakini siku imepotea bure bila biashara kufanyika yaani...
  9. cupvich

    SoC02 Bei za vyakula na vinywaji katika hoteli zinazotumiwa na wasafiri mikoani si sawa waungwana wenzangu!

    Je, umewahi kusafiri safari ya umbali mrefu mfano kutoka Dar es salaam hadi Mwanza? Safari iliyokulazimu upite sehemu zinazotoa huduma ya chakula na vinywaji kwa wasafiri ili uweze kupata chochote kitakachopoza njaa yako? Na je ulinunua Chakula au kinywaji? Kama jibu lako ni ndio leo utakuwa...
  10. Nyendo

    DPP na DCI waweka mapingamizi manne kufunguliwa kesi ya Makonda. Wasema Kubenea hana maslahi na maombi hayo

    DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Mapingamizi hayo ni, Kubenea kutokuwa na maslahi na maombi hayo. Pia soma Mwanasheria: Hadi sasa...
  11. Superbug

    Rais Samia ni team waungwana adui hawamuumizi wala hawamtesi, wanamvuta karibu na kummonita

    Mama ni muungwana na anafwata ushauri wa kikwete na jk alikuwa ni mtu muungwana. MFANO WA MWANDOSYA Wakati wa utawala wa jk MWANDOSYA alikuwa tishio sana na infact MWANDOSYA na JK walishazinguana miaka ya 90 wakati wa utawala wa mwinyi. Wakati huo JK alikuwa waziri wa nishati na MWANDOSYA...
  12. GokuOne

    Mwaonaje hii waungwana? 🤣🤣

    Hii ni noma sana...
  13. Kwekitui

    Hivi ni kweli kuna upungufu wa vioo "Black Tinted Glass" hapa Dar es Salaam kwa wauzaji wakubwa?

    Kuna fundi mmoja amepewa kazi na baba yangu mzazi ya kutengeneza madirisha ya Aluminum, cha ajabu hii ni wiki ya 2 sasa anamwambia baba eti vioo havipatikani. Je wakuu kuna ukweli hapo eti vioo vya Dark Grey havipatikani nchini kwa sasa? Kama kuna anayeuza kwa jumla tafadhali anisaidie nije...
  14. Kitambi chakufutia tachi

    Waungwana msaada

    Jamani simu yangu kila nikiandika FROG zinatokea imoj za VYURA WA KIJANI sijajua shida ni nini.
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Jinsi mizimu ya ukoo ilivyonifanyisha Mambo ya kustaabisha baada ya kukataa kupokea mikoba ya waungwana.

    Mwaka 2005 nikiwa nimezama kwenye imani kali ya ulokole, hapo nikiwa kiongozi wa Ukwata na pia kiongozi wa kiroho kwa vijana wa mtaani kwetu (nilikuwa napita majumbani, naongea na wazee waniruhusu niwafundishe maadili mema watoto wao ikiwemo kazi za nyumbani na za kitaaluma). Kutokana na tabia...
  16. comte

    Baa wanapokuwa waungwana zaidi kuliko kanisani kwa mkosaji

    Simu yake iliita kwa Bahati mbaya wakati wa ibada akiwa kanisani. Mchungaji alimfokea. Waumini walimzonga baada ya maombi ya ibada Wakati anarudi nyumbani, njia nzima mkewe aliendelea kumsema kwa kutokuwa makini Akajisikia vibaya sana, huzuni, na aibu juu. Hakutia miguu tena kanisani . Jioni...
  17. M

    Kwanini Dkt. Bashiru na Makonda wamekuwa waungwana kwa kukaa kimya, lakini Harakaharaka yuko mbio sana

    Nawapongeza sana Mkonda na Dr. Bashiru kwa kuwa waungwana hasa wakinata na ile methali isemeyo mtu mzima akivuliwa nguo uchutama. Wahishimiwa hawa waungwana na watu ambao walifanya kazikubwa sana wanaweza kuwa vijana wa mfano wa kuigwa na vijana wengine kutokana na upepo ambao ulikuwa ukisuma...
  18. bongonyoo

    Msaada waungwana

    Naomba msaada was msanii aloimba wimbo huu na jina LA wimbo,
  19. D

    Wenye magari namba (A) tuwe waungwana tuyatoe barabarani ili TRA warudi kusajili (A) tena itakapo jaa namba D

    Katika utaratibu wa maisha Africa inabidi tujifunze kujiwekea kikomo! Ili tuendane na ulimwengu lazima tujifunze kubadilika! Nikimnukuu bwana Newton mwanasayansi msomi aliwahi kusema kwamba (Kila kitu hubaki kilivyo au kwenye mwendo hadi pale nguvu hasi itakapotumika) Hii inamaanisha kwamba...
  20. mojave

    Kuanzisha biashara ya diapers na sanitary pads

    Waungwana habari ya leo....? Bila shaka wengi wetu tu wazima na Mungu katupatia neema ya kuiona siku ya leo na walio wagonjwa Mungu aendelee kuwapigania. Nakuja kwenu kuomba msaada wa kujua ni wapi naweza kupata hizi bidhaa/ product (diapers and sanitary pads) kwa makampuni mbali mbali kama...
Back
Top Bottom