Karibu ofisini kwetu ujipatie Accessories na Aluminium Kwa bei ya kiwandani.
Bei zetu ni rafiki sana , Kwa DSM ukinunua mzigo utapata free delivery na Kwa mikoani ukinunua mzigo tutaupeleka hadi kwa transporter wako.
Kuhusu bei huwa zinapanda na kushuka hivyo ukitupigia tutakupa bei ambazo...
Habari za asubuhi wanajamii
Kwa waleo wauzaji wa vijora kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei zikoje niko mkoa mnaweza tuma pia sample za picha kama mko nazo
Well,
Habari wakuu,
Nina kijiwe changu cha kuuza movies zilizotafsiriwa kiswahili na ma DJ wa bongo.
Sasa na struggle sana kupata movies aisee. Kuna mwamba ananiuziaga ila ananiuzia ghali sana.
Natamani nipate chimbo zuri iwe group au hata Dj mwenyewe directly awe ananiuzia jumla. Huwa...
Kwa wale ndugu zangu Wauzaji wa handbags na massimo(kama sijakosea kuiandika hiyo masimo) kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei za jumla handbags medium size pamoja na massimo
Pia naomba kufahamu bei ya jumla kwa pochi kubwa za kike
You can grab it for your family and friends.
Baked cashew 23,000@1
No cooking oil or salt.
Fresh raw cashews
23000@1
Roasted cashew
25,000@1kg
(Salt or any spicy like pepper)
Whole almond
30000@1
Free Delivery Service
(Arusha city centre only)
HOTELS, LODGE AND RESTAURANTS/CAFE CAN RELY...
Husika na kichwa hapo juu, naomba kufahamu wapi nitapata connection kutoka kwa wachina viwandani au kuagizia china nipate kununua pikipiki kwao moja kwa moja bila kwenda madukani kwa bei ya rejareja au kwemda kwa mawakala wa mikoani au wilayani.
Nataka kufungua duka kwa ajili ya kuuza pikipiki...
Kuna mzigo wangu wa maharagwe ninazo Kg 600 nauza kwa bei ya Tsh 1800.
Usafiri Utalipia mzigo Upo Kasulu Kigoma.
Ni maharagwe mazuri yaliyovunwa Mwaka huu.
Kampuni kadhaa za Rwanda, zilishiriki kwenye maonyesho ya saba ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa za China (CIIE) yaliyofanyika mjini Shanghai.
Maonyesho hayo ambayo yameandaliwa na Wizara ya Biashara ya China kwa kushirikiana na Shirika la Biashara Duniani (WTO), ni maonesho makubwa zaidi ya...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli nchini kwa mwezi Novemba 2024, ikilinganishwa na bei za mwezi Oktoba.
Kwa mujibu wa EWURA, bei ya petroli kwa lita moja kwa bandari ya Dar es Salaam imepungua kutoka Shilingi 3,011...
Husika na mada tajwa hapo juu , naomba muuzaji wa spear za magari used au mpya kama ipo spear hii naomba uniambie bei yako hapa
nahitaji rejeta full pamoja na caulling yake na reserve tank ya coolant ni shilingi ngapi ukiwa mpya au used ya Japan au Dubai ,gari aina ya Toyota Brevis 1JZ FSE
Dar inashangaza
Tunatoka mbali kuchukua mizigo Kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu. Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara.
Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair...
Wakuu,
Kuna chimbo nimelipata pana gape ya vioo vya simu kuanzia viswaswadu hadi Smartphone.
Nimejaribu kusaka maduka yanayouza jumla, naona bei zimechangamka sana. Mfano kioo mafundi simu wanavyouza elf 30, madukani nao wananiuzia bei iyo iyo.
Tupeane connection nitakapopata kwa bei nzuri...
RC Albert Chalamila akitangaza OPeresheni Dada Poa, MKoani Dar
1. Usuli
Tarehe 31 Oktoba 2023 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, aliagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuanza msako wa makahaba, kufunga biashara za masaji zinazotumika kama madanguro, na kuvunja nyumba zinazotumiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.