Huku mtaani kuna kundi la watu wengi hawana ajira na wamekuwa wakipambana juu chini kutafuta ajira wakiwemo Vijana.
Wakati huohuo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene hivi karibuni alinukuliwa akisema kwa mujibu wa utafiti...
Kuna kundi kubwa la Waafrika waliofurahia na kushangilia sana ushindi wa Trump, kila nikisikia au nikisoma sababu wanazozitoa kumuhusudu Trump naona kama mfumo wao wa umeme kichwani una hitilafu, Tuangalie hoja moja ya kupunguzwa msaada na utegemezi wetu kwa mfano
Wale wanaosema misaada ya US...
Habari wana JF,
Nawapongeza wazazi, walezi, walimu na jamii kwa ujumla kwa jukumu kubwa la ulezi hakika kazi yenu ni kubwa.
Tukumbushane sasa: Baadhi ya wazazi na walezi mmepata watoto ambao maendeleo yao shuleni kwenu yako chini sana hayalingani kabisa na umri na watoto wa rika lake...
Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa, Mariam Sagini amesema kina baba wamekuwa wavivu wa kufanya kazi inafikia mawazo yanawapeleka kwa waganga kutafuta utajiri na huko wanapewa masharti ya kubaka mtoto wake wa kumzaa.
Akizungumza na Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi katika Kata ya Nsemulwa Wilaya ya...
CAG mstaafu, Prof. Assad aliposema asilimia sitini ya watumishi wa uma hawana uwezo, Serikali ilijitokeza haraka sana kukana hilo.
Mbunge wa Kahama, Jumanne Kishimba aliposema kuwa asilimia tisini ya wasomi wetu wanajua tu kusoma na kuandika, watu wengi walimkejeli.
Lakini kwa hali ya mambo...
Sisi watanzania, tunalitaka lile kundi la akina mama wa CCM (UWT) lione haja ya kukemea majizi na wachepushaji wa fedha za wananchi.
Kila mahala ukipita lazima ukutane na hadithi ya majambazi kukwapua fedha za miradi na za ofisi za umma. Majizi yametamalaki yanakomba na kufakamia.
Tunamtaka...
Jamani wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimeona ndugu yangu Mlundilwa Jr kaandika uzi wake akisema alimwambia dogo atoe elf20 lakini akagoma akasema bora atafute mwanamke aimalizie huko. Sitaki kujua ni stori ya kweli au ni uongo, lakini uhalisia upo hivyo.
Sasa hivi kwa tunaoishi...
Kumekua na hii dhana kwa mda mrefu sana kwamba waafrika ni wavivu ni uongo kwa sababu zifuatazo;
Waafrika wengi wamekatishwa sana tamaa mfano mzuri kuna wazee wengi sana wamestaafu wako katika majuto makuu wamefanya kazi kwa uamunifu mkubwa sana lakini wanastaafu hawana kitu wanajuta wengi...
Rais wa Uganda leo wakati akitoa hotuba ya miaka 60 ya mapinduzi amesema aliletewa ombi la kupiga marufuku mchele kutoka Tanzania na kukataa ombi hilo.
Museveni amesema wakulima wavivu wa Uganda walitaka kutawala soko. Museveni amesema wakulima wa Uganda wanatakiwa kujua wana ushindani na si...
Habari wadau.
Ukweli mchungu soko la mwenza wa ndoa limekuwa gumu sana Tanzania hasa kwa watu wanaojielewa na waliojipata.
Mtu kuoa ama kuolewa anatazama mwenza wake yukoje , kwao anapotoka pakoje, na ndugu zake ama ukoo wake ukoje? Je wana maisha ya kujitegemea.
Yale mambo ya kuoa mwanamke...
Naomba niandike kitu kama pumba flani lakini inafikirish kidogo.
Nakumbuka zamani nilipokuwa mdogo kule kijijini kwetu msinga-kibosho marehemu bibi yangu (ndo nilikuwa nikiishi nae, wazazi wangu na wadogo zangu wao waliishi Dar) alikuwa akiniasa wakati akinituma, "usipite mtaa ule kuna kichaa...
Vijana wakubet na Kamari wenyewe Hawa Cha kujishughulisha Tena na kufanya kazi. Atashinda Ndani Masaa 24 ni kula, kubet Kamari.
Wenye Kazi nao, wamejikuta hawana Juhudi Tena ya kazi zao,kazi wanafanya tu ilimradi.
Serikali ya Ovyo nayo inajisifu, Et Kamari imetengeneza Ajira asilimia.
Taifa...
Ule usemi wa "nyani haoni kundule" umedhihirika pale Katibu Mkuu wa CCM, Abdallahaman Kinana alipowachana wanachama wa CCM katika mkutano alioufanya hapo jana mjini Kigoma kwa kuwaambia wanachama wa chama hicho waache kupendeleana wala kubebana kwani kwa kufanya hivyo tutazalisha makundi mengi...
Watani zangu fulani (wa Mkoa fulani) mnajijua na 'masweta' yenu tukuka Ikuluni Kwenu tafadhali kaeni mbali kabisa na huu Uzi wa Mzanaki, kwani hauwahusu sawa?
Leo hii shughuli ipo hapa hakyanani!
Hovyo kabisa!
Tuna viongozi wazembe na wasio na uwezo hata kidogo wa kuibua kuanzisha miradi na kuisimamia ili wapewe heshima zao, badala yake wanataka kulazimisha kupewa heshima zisizo zao!
Muda mbona wanao?
Hongera mkulima hodari na ingawa haupo"
Kutokana na kuongezeka kwa tatizo la ukosefu wa ajira, Serikali ya China imewaangushia wahitimu wa vyuo vikuu zigo la lawama kwamba ni wavivu, wabishi na hawataki kazi ngumu za shambani.
Hii ni kutokana na kwamba wahitimu wengi hawataki kurudi makwao vijijini kwa wazazi wako wakashiriki kazi za...
Wakuu habari zenu,
Ni muda sijapita humu, leo nimeibuka na swali ambalo limekuwa likinisumbua Kwa muda sasa. Nina vi project vyangu hapo Bagamoyo na Pale Kilwa. Tangu nianze mpaka sasa napata wakati mgumu sana wa kupata vijana wachapa kazi.
Huku vijana ni wavivu mno! Mambo ya kuchimba mashimo...
Huu mkoa vijana wavivu wanaongezeka kwa kasi sana, wanakuja wageni wanafanya kazi wanaondoka na mpunga. Mkoa huu kijana wa kiume anawaza kupata mwanamke ama bibi wa kizungu kutwa kufuga rasta akiamini utamtoa.
Ukitaka kuamini hilo nenda sehemu za starehe kisha akatishe mzungu, ukienda sehemu...
WanaJF,
Heri ya Jumatatu! Mara nyingi sana nimesikia, nimesoma mengi juu ya uchafuzi wa image ya aliyekuwa Rais wetu JPM - wengine hujenga hoja dhaifu juu ya Katiba mpya (hawa wanaweza kuwa sahihi lkn tujiulize KIPINDI JPM ANAOMBA URAIS WAPI ALIPOAHIDI KULETA KATIBA MPYA? Aliahidi kushugulikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.