Akizungumza mbele ya Rais Cyril Ramaphosa na Jumuiya ya Wafanyabaishara, Rais Yoweri Museveni amesema Uganda ina mazingira rafiki kiasi cha kutohitaji watu kufanya kazi kwa nguvu ili kufanikiwa.
Museveni ambaye ameitawala Nchi hiyo kwa takriban miaka 37 amesema "Sisi tupo eneo la Ikweta, tuna...
Pesa sio kipimio sahihi cha uzalishaji wa vitu.
Chukulia mfano, mtu anaponda kokoto kwa kutumia mkono kwa siku 20 na kuweza kujaza tipa, na mwishowe analipwa laki 1; wakati huo huo mwingine ameudhuria kikao cha nusu saa tu, anapata laki 5; hii haiko sawa.
Mkulima anatumia muda mwingi kwenye...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Ninaandika nikionyeshwa kusikitishwa sana na matamko yanayotolewa na watu mbalimbali hasa wanasiasa maarufu wa kiafrika kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza. Julius Malema wa SA pamoja na watu wengine wameonyesha chuki zao kwa hoja za mambo...
Habari!
Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA.
Hata.
UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji. Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila...
Mtu umepata connection kisha umetoboa. Baada ya kufanikiwa kila mtu unamuona mvivu na mzembe. Kwa nini usielezee kwa kina jinsi ulivyofanikiwa, njia ulizopitia, ulipotoa mtaji, nani alikuelekeza na connection zote ulizotumia ili kufanikiwa.
Tarehe mosi, Juni ni Siku ya Watoto China. Watoto ni maua ya nchi na mustakabali na matumaini ya taifa. Kutoka "Vijana wafanye kazi kwa bidii maishani, wasiwe wavivu wa kupoteza muda" hadi "kustaarabisha roho zao na kuimarisha miili yao", tangu aingie madarakani, rais Xi Jinping wa China mara...
Tukiwa tunasema kuwa wana Yanga SC mna matatizo ya Kufikiri msiwe mnakataa au mnatuona kuwa tunawadhihaki bali muwe mnakubali na mjitathmini mbadilike upesi.
Nimepitia Kurasa nyingi sana za Mitandao ya Klabu Mbovu na yenye Nuksi duniani ya Yanga SC na hata Kusoma baadhi ya Comments za wana...
Sasa hivi kila kukicha hakukosi malalamiko kwamba Wabara wananyanyaswa au hawatendewi haki na Zanzibar ktk swala zima la Muungano, ukisoma hoja zao unaweza kushawishika mpaka pale unapoamua kufanya homework yako na kujielimisha kidogo tu, na hapo ndipo utakaposhangazwa na walalamishi.
Tanzania...
Posted on January 1, 1990 by editor
Tanzanian workers are lazy and unproductive says Tanzania’s National Productivity Council (NPC) quoted in ‘Business News’ on September 29th 1989. The NPC Executive Secretary, Mr Nikubuka Shimwela attributes the trend to a lack of a productive culture in the...
Nitatumia lugha kali lakini ndio ukweli mchungu. Tanzania haiwezi kuendelea zaidi ya hapa pamoja na kuwa na rasilimali za maana. Nimefikiria kwa haraka haraka kwa kuitazama Tz katika miaka 40 ya uhuru,ikaja miaka 50 ya uhuru na sasa miaka 60 ya uhuru. Hakuna hatua kubwa ya maana tuliyopiga...
Tusidanganyane mfumo imara hujengwa na watu majasiri,shupavu na walio imara kwenye kusimamia sheria. je hao watu tunao?
Mfumo imara hutegemea wananchi imara wenye kujua sheria na taratibu za nchi zao na hasa haki zao za msingi na iwapo sheria, taratibu na haki zao katika nchi zikivunjwa au...
Sijui kama ni tafsiri sahihi ili kuna wanaosema wamachinga maana yake ni wazururaji,watembea hovyo. Je, kuna ukweli kwenye hili?
Binafsi nafikiri kuna ukweli kwamba Wamchinga ni watu wavivu, ambao wanajificha mjini kufanya kazi ambazo hazina tija.Wamchinga wa zamani walikuwa wanabeba maduka yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.