wayahudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Wayahudi wana muono bora zaidi kuhusu shetani kuliko wakristo

    Sikiliza tu huu utitiri wa redio za wakristo usikie vituko kama si vichekesho. Shetani na mapepo yanaogopwa na kutajwa mara nyingi kuliko Mungu. Wanabwabwaja usiku na mchana mpaka sauti zao zimeharibika. Wewe pepo, wewe jini, achia ,achia, kwa jina la Yesu! Hao Wayahudi ambao wakristo...
  2. T

    Falsafa ziongozayo maisha ya Wayahudi

    Falsafa inayowaongoza Wayahudi imechangiwa na mafundisho ya kidini, kitamaduni, na wanafalsafa wakuu wa Kiyahudi kwa historia yao. Baadhi ya falsafa na mawazo yanayowaongoza Wayahudi ni kama ifuatavyo: 1. Uungu na Uumbaji: - Wayahudi wanaamini kwa Mungu mmoja aliyeumba ulimwengu na kuwa na...
  3. sanalii

    Myahudi awapiga risasi wayahudi wenzie huko miami akidhani ni wapalestina

    Hii habari hutaisikia ikipewa kipaombele au ikivuma, Iko hivi, myahudi aitwae Mordechai Brafman huko Miami marekani amepewamiminia risasi wayahudi wawili akidhan ni wapalestina, baada ya majeruhi hao kupelekwa Hospitali, wali tweets wakisema ni anti-semitic attack na kumaliza kusema "Death to...
  4. G

    Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

    Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno...
  5. MK254

    Wayahudi wamechinjwa sana kwenye historia na bado wapo tu, hata mtume Mohammad aliwahi kujaribu kuwamaliza

    Kuna kipindi mtume aliagiza wanaume wa Wayahudi wachinjwe na wakachinjwa sana tu kwa ukatili mkubwa hadi watoto wa kiume waliobalehe, ila hatimaye alijifia na bado Wayahudi wakaendelea kuzaliana.....na hata kabla ya ujio wa mohammad na uislamu, bado kulikua na miungu iliyojaribu kuwafuta...
  6. Mhaya

    Waislamu wanavyopitia hukumu ya Pilato huko Palestina na India

    Fujo za kidini huko Palestina na India zimekuwa na athari kubwa kwa jamii ya Waislamu, zikichangia matatizo makubwa ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hali hizi ni matokeo ya mizozo ya muda mrefu, ambapo Waislamu mara nyingi wanajikuta katika hali ngumu ya kimaisha kutokana na changamoto za...
  7. Eli Cohen

    Tukiwaambia itikadi kali kuwa Israel ni ya wayahudi tangu miaka 3k wanasema ni "mambo ya kufikirika" ila cha kushangaza wao wana yakufikirika mengi

    Haijalishi wewe ni msalaba, nyota na mwezi, au unaamini katika manyoya ya kuku, etc How sure are you kwamba unachoamini ndicho cha ukweli na uhalisia. Kisa ulikipokea kwa baba yako mpendwa, ukafundwa na mwalimu wako wa kiroho na kukumbushwa kuhuzulia kila siku na mama yako mpendwa. Kwa fikra...
  8. Bulelaa

    Kama maendeleo ya kiteknorojia kwa nchi zilizoendelea yamechagizwa na Wayahudi, Tanzania tunakwama wapi kuwakaribisha na kuoana nao?

    Iran, USA, Russia, Ujeruman, UK, Korea zote, Japan, mkono wa Myahudi upo! Kazi za kubuni na kutengeneza, hao jamaa Mungu amewabariki Imefika wakati kwamba, kila nchi ambayo inawayahudi walipewa nafasi serikalin Nchi hiyo inakuwa hatari kwenye nyanja zote za kijeshi n.k Sehemu hakuna...
  9. Yoda

    Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

    Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu, Albert Einstein-Relativity(E=mc^2) Neils Bohr- Nuclear, Oppenheimer-bomu la atomic, Edward Teller-bomu la Hydrogen Karl Marx- Nadharia ya Ujamaa, Boris...
  10. Allen Kilewella

    Kama ilipo Israel siyo Israel, Wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia walikuwa wanaishi wapi?

    Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina. Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani? Quran na...
  11. MK254

    Hivi kwanini "miungu" mingi iliyojiteokeza huwa inajaribu kufuta Wayahudi, walikosea wapi

    Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi...
  12. Eli Cohen

    Wayahudi wangekuwa na roho mbaya na itikadi za kitapeli tapeli huo msikiti wa Al-Aqsa ungekuwa ushaharibia muda mrefu

    Wayahudi wenyewe wanaamini hapo ulipojengwa msikiti wa al aqsa ndipo solomon alipojenga hekalu la kuabudu. Ndio maana wamejitengea kasehemu kao maeneo hayo ambapo wanafanya ibada na hija. Sasa niambie kama ingekuwa ni wale ndugu zetu wengine unafikiri hekalu wangeliacha hivi hivi...
  13. kwisha

    Hivi manabii wazamani na mitume wa zamani walikuwa waarabu au wayahudi?

    Kuna kitu nashindwaga kuelewa kuhusu manabii na mitume wote wazamani Ukisikiliza ndugu zetu waislam wanasemaga manabii wengi walikuwa waarabu Mfano ni video fulani ambayo niliona kwenye YouTube Chanel ya kislam inasema manabii wengi walikuwa waarabu Kutokana na video hiyo ni ivi Adam ( sir...
  14. sanalii

    Je, Wayahudi hawahitaji kupitia kwa Yesu kuuona ufalme wa Mungu?

    Kuna mtu ananishawishi kua siwezi kuuona ufalme wa Mungu bila kupitia kwa Yesu, Wakati huo huo tukibishana siasa anasema Israel ni taifa teule, na ni "choosen pepole" Lakini ni wazi kua wa Israel hawamkubali Yesu, jana leo na hata kesho. Je wao ni exceptional katika njia ya ukweli na uzima?
  15. M

    Holy Redemption: Makala ya mpango mzima wa wizi unaofanywa na Wayahudi katika ardhi ya Wapalestina

    Watu wengi hususani afrika hawaelewi ugomvi baina ya Wapelestina na Wayahudi. Mara nyingi wamekuwa wakilaumiwa waarabu pale wanapolipiza mabaya wanayofanyiwa na Wayahudi ndani ya ardhi yao. Angalia hii makala na ujue ukatili na unyanyasaji unaofanywa na wavamizi wa kiyahudi dhidi ya...
  16. U

    Kwanini kasisi Martin Luther aliwachukia Wayahudi na kushauri masinagogi na nyumba zichomwe moto kwa heshima ya Mungu na Ukiristo?

    Wadau hamjamboni nyote? Ni kuhusu msimamo wa mjerumani Martin Luther profesa wa theolojia , kasisi na baba wa mageuzi ya kidini duniani. Mtazamo wa kasisi huyu wa kijerumani kwa Wayahudi ulikuwa chanya akiwaonea huruma kwa shida zao lakini ulibadilika siku za mwishoni za maisha yake na kuwa...
  17. Huihui2

    Al-Jazeera: Kwaashambulizi ya Makombaora ya Jana, Iran Imeua Wapalestina Zaidi Kuliko Wayahudi

    Kwa taarifa rasmi ya Al Jazeera, waathirika wa mtafaruku huu ni Wapalestina. Kumbe Iron Dome inalinda Wayahudi vuzuri sana.
  18. enzo1988

    Je, uzoefu siyo tatizo kwa wayahudi huko vitani? Angalia umri wa huyu kamanda aliyeuawa huko Lebanon.

    Kuna kamanda ameuawa na Hezbollah huko Lebanon, ukiangalia umri wake halafu ndiyo kiongozi, napata shida kidogo! Wajuzi wa vita tupeni elimu! Israeli commander killed in Lebanon, Israel says The Israeli military says an army squad commander has been killed in Lebanon. It's the first combat...
  19. G

    Israel ya Wayahudi inatambulika kwenye Quran zaidi ya mara 40, Wayahudi wana haki ya kulinda eneo lao

    Hakuna linaloshindikana mbele ya Allah, haijalishi una udogo kiasi gani kukiwa na mkono wa Allah utawashinda wakubwa wanaoungana kukuchangia, Israel ni ka nchi kadogo lakini imeweza kuushangaza ulimwengu mara kadhaa ikiwemo kuzitandika nchi tano kubwa za kiarabu ndani ya siku sita tu...
  20. Sodoku

    Kuna Haja ya kuwasomea Albadil hawa Wayahudi.

    Mi ndo naona hili ndo lililobakia.kwa kipindi hiki wakati nchi za Kiarabu zikijipanga kuishambulia Israel. Najua kwa sasa. Yemen,Iran,Palestine, Syria zitakuwa na vikao kujipanga.
Back
Top Bottom