wayahudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Waarabu hawajawahi kuwashinda Wayahudi Tangu Siku ya kwanza Ibrahim alivyokanyaga Ardhi ya Kanaani

    Kwema Wakuu! Kwa wasioelewa haya mambo wanaweza Kuona ni mapya lakini hakuna jipya hata Moja. Mengi ni marudio. Tangu Ibrahim akanyage Hapo Kanaani Muarabu na jamii za Mashariki ya Kati hazijawahi kuwashinda Mayahudi. Ikumbukwe Kuwa Mayahudi ndio yalikabidhiwa Mkoba na Ibrahim ambao Mkoba huo...
  2. G

    Wajue Wayahudi wa Haredi: wanatemea mate Wakristo, wanapinga uwepo wa taifa la Israel, hujitenga na wayahudi wengine, hutegemea misaada kujikimu

    Wengi wetu sio wageni kuziona video za wakristo wanatemewa mate wakienda Israel, Ni matukio yanayotokea mara chache lakini kwa jinisi yanavyotrend yanajenga picha kwamba ni matukio ya kila siku na wayahudi wote wapo hivyo, LA HASHA !! Ni jamii ya wayahudi wa Heredi, Kwa idadi yao kuna myahudi wa...
  3. Kinyungu

    Wayahudi wa Arusha - Jumuiya ya B’nei Lawi nchini Tanzania

    Na Peres Parpaih (pia anajulikana kama Yehudah Amir Kahalani, jina lake la Yemeni), Moreh (mwalimu) wa Jumuiya ya B’nei Lawi nchini Tanzania Israeli iko karibu na Afrika Mashariki na ulimwengu wa Kiarabu kuliko nchi nyingine yoyote. Kwa sababu ya uhusiano huu wa kijiografia, Wayahudi katika...
  4. Gwappo Mwakatobe

    Kusudio langu la kupata suluhisho la kudumu la mgogoro wa wapalestina na wayahudi

    Mara kadhaa nimewahi kushiriki na naendelea kushiriki kutoa maoni ya kusuluhisha mgogoro mkongwe na mgumu mno wa Wayahudi na Wapalestina. Kwa ujasiri mkubwa kabisa, nisisitize kuwa nakusudia na niko tayari kabisa kusuluhisha mgogoro huu kwa niaba ya Afrika na Waafrika wote, hata kama sina cheo...
  5. matunduizi

    Mamia ya Wayahudi wa Iran wakiwa katika sherehe kubwa ya kumsimika Rabbi wao huko Tehran

    Pamoja na ushabiki wetu, tunakumbusha tu Iran kuna wayahudi wengi tu na wanaendelea Kula maisha bila bugdha yoyote. Video ya kuvutia sana. Wayahudi wa Iran mjini Tehran wakisherehekea kuhitimu kwa marabi wapya na wachinjaji nyama. Kulingana na CNN na Fox News wanakandamizwa Ni hayo tu.
  6. GoldDhahabu

    Dunia ingelikwaje bila Wayahudi?

    Inakadiriwa kuwa idadi ya Wayahudi wote duniani ni milioni kumi na tano. Wanaoishi Israeli ni asilimia 41 tu. Waliosalia, asilimia 41 wapo Marekani na asilimia 18 nchi zinginezo. Idadi ya Wayahudi ni ndogo sana. Ni asilimia 0.2 ya watu wote duniani. Pamoja na uchache wao, mchango wao ni mkubwa...
  7. green rajab

    Israel hapakaliki Wayahudi wanakimbia kama nzige

    Wayahudi wanaikimbia Israel nakwenda kusalimisha viwiliwili vyao Nchi za watu na kibaya zaidi image yao imechafuka chuki dhidi yao imeongezeka kuliko enzi za WWII ⚡️🇮🇱BREAKING: Israeli director Barak Heymann in an article on "Haaretz": More Israelis are leaving and do not want to live in such...
  8. green rajab

    Jamii ya Wayahudi wa Iran wameandamana kutaka Iran ilipize kisasi kuibonda Israel

    Iran’s Jewish community demands revenge after Israeli assassination of Haniyeh Saturday, 03 August 2024 10:41 AM [ Last Update: Saturday, 03 August 2024 2:56 PM ] Rabbi Younes Hamami Lalehzar, the leader of Iranian Jews and two other Jewish Rabbis, stand behind a banner during a rally in...
  9. W

    Nawatakia waadventista wasabato na waumini wa dini ya kiyahudi siku ya mapumziko (sabato), Tuendelee kutii amri kumi bila ubaguzi

    Sabato ama ka neno lake asili la kiyahudi shabbāth ni neno lenye kumaanisha mapumziko Mwenyezi Mungu kaweka amri ya kuitakasa siku ya Sabato ndani ya zile amri 10, ni jambo kubwa sana kwetu, Ni kibali kitakatifu kinachotupa ruhusa ya kupumzika siku moja kila wiki ya siku 7. Utaratibu wa...
  10. Girland

    Yesu akirudi leo atasali wapi? Kwa Wayahudi, RC /Wasabato au Kwa Walokole? Au Mashahidi wa Yehova? Naomba majibu

    Nawasalimu wote. Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU. Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani...
  11. MK254

    IDF waendelea kupiga Rafah licha ya ICJ kukataza, jameni rejesheni watoto wa Wayahudi ndio yaishe

    Mumeshikilia watoto wa Wayahudi halafu mnaomba ICJ iingilie kati ili IDF iache mapigo, jameni wale ni Wayahudi sio Wakristo, mtapigwa sana, achieni watoto wao...poleni lakini. Israel continues to bomb Gaza, including Rafah, despite ICJ ruling Dozens of Palestinians killed across the besieged...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Mungu wa Wayahudi "Yehova" hawezi hatambui Mwanamke kama Mchungaji, Nabii au mtume. Wanawake wanajiita wachungaji au manabii wana mungu mwingine.

    MUNGU WA WAYAHUDI "YEHOVA" hawezi HATAMBUI MWANAMKE KAMA MCHUNGAJI, NABII AU MTUME. WANAWAKE WANAOJIITA WACHUNGAJI au MANABII WANA mungu MWINGINE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli YEHOVA kama Mungu wa wayahudi hatambui cheo cha mwanamke kuwa mchungaji, Nabii, au Mtume. Unapozungumzia...
  13. Kaka yake shetani

    Mfahamu mwana zuoni wa kiislamu Gafur Gulam aliyewatetea wayahudi kipindi cha utawala wa NAZI

    Gafur Gulam (au Gafur Ghulam) alikuwa mwandishi maarufu na mshairi kutoka Uzbekistan, ambaye aliandika kwa lugha ya Kiajemi na Kiuigur. Alizaliwa tarehe 10 Mei 1903 na alifariki tarehe 10 Julai 1966. Gafur Gulam ni mmoja wa waandishi maarufu wa karne ya 20 kutoka Asia ya Kati na alichangia sana...
  14. Ritz

    Mgogoro Hamas vs Israel: Bunge lapitisha sheria inayotoa ufafanuzi wa 'Chuki dhidi ya Wayahudi' ili Idara ya Elimu itekeleze sheria ya kupinga ubaguzi

    Wanaukumbi. Bunge la Marekani limepitisha kitendo ambacho kinapiga marufuku kabisa kuongea na kupinga Israel. Hata ukihubiri sehemu za biblia zinazosema wazi siku ambazo Wayahudi walimuua Kristo utakamatwa. Sheria ya "antisemitism" ambayo imepitishwa hivi punde katika Bunge HAIFAI tu kuwa...
  15. Nsanzagee

    Bila Ukristo Dunia ingekalika? Mfano, Myahudi apigwe na kulemewa na Irani, Waarabu wangeandamana kupinga mauwaji ya wayahudi?

    Historia haisemi kabisa kabisa iwapo kuna taifa la Kiislamu limewahi kuandamana kupinga mauwaji ya Wakirsto na ama Wayahudi na bila shaka ni tangu Uislamu uwahi kuwepo Duniani, hii ni tofauti kabisa na Ukristo, wapo tayati kupigwa risasi na maasikari wa nchi zao kuwaandamania Waisilamu kupinga...
  16. MK254

    Wayahudi hata wakijiunga uislamu, bado watauawa sana tu, hizi hapa facts

    Hizi ni facts sio chuki..... Wakijiunga mlengo wa Shia, ili wawafurahishe Iran, Yemen, Lebanon watachukiwa au kuuawa na mlengo wa Sunnis wa Misri na Saudi Arabia. Kinyue chake pia vivyo hivyo, wakijiunga Sunni watachukiwa sana na Iran, Lebanon n.k. Wakiamua wajiunge Sufi, watachukiwa au kuuawa...
  17. N

    Wairan 8000 ni Wayahudi

    Katikati ya mitaa ya Tehran kuna masinagogi takribani 35 ambayo ni maeneo ya ibada ya wayahudi wakiiran inasemekana mpaka mwaka 2021 takribani wayahudi 8000-9000 bado wanaishi na kufurahia maisha ktk Tehran huku wakiwa na uraia wa iran wa kuzaliwa wengi wao wakiwa ktk kazi za sayansi na...
  18. MK254

    Huyu imam aweka sawa kuhusu ardhi ya Wayahudi, hivi waarabu wa Bongo mnakwama wapi

    Wenye dini yao wameongea, nyie mnaowaiga kwa kuvaa dera/kanzu huko mnakwama wapi kujiongeza..... https://twitter.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1774137548605993180%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=
  19. Poppy Hatonn

    Netanyahu anasema akishawakomboa Wayahudi atakwenda Afrika kuwakomboa Waafrika

    Netanyahu alikuwa anaongea na viongozi wa Afrika miaka michache iliyopita. Actually alikuwa anamnukuu Theodor Herzl, kiongozi wa Wayahudi aliyesema: "After I have freed the Jews,I will go to Africa to save the Africans." Netanyahu anasema:"I believe in Africa. Here we have the Black Jews...
Back
Top Bottom