Wazungu si kizazi cha Yesu wala Muhamad ( Wabarikiwa kama wanavodai wenyewe) lakini ndo wameidominate dunia na ndo wenye utahiri na wanavuna utajiri wadunia nzima…..
Wadau hamjamboni nyote?
Kwa mujibu wa maandiko na Imani ya wenzetu wanaamini kwamba
Isaka hakuwa mwana wa Ibrahimu aliyetoka kiunoni mwake huku Ishmael akiwa ndiye mtoto aliyetoka kiunoni mwa Ibrahimu.
Hivyo Ishmael ni mtoto wa damu wa Ibrahimu yaani biological son na Isaka ni mtoto wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.