Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu.
NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo...
Wageni wanapofanikiwa zaidi kuliko wazawa katika nchi nyingi za Afrika, ikiwemo Tanzania, kuna sababu nyingi za msingi zinazoeleza hali hii. Wageni mara nyingi wanauelewa mfumo wa kiuchumi, kisheria, na kiutawala kwa namna ambayo huwapa faida kubwa. Pia, kuna masuala ya kihistoria, kisera, na...
ULEGA ATAKA WAZAWA WAPEWE KIPAUMBELE UJENZI WA BARABARA
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewataka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kuhakikisha unatoa kipaumbele kwa vijana wazawa katika ujenzi wa miradi ya barabara inayoendelea nchini ili kupata ajira, kukuza ujuzi na uchumi kwa...
Mfanyabiashara Rostam Aziz amesema kuna namna ya kuwawezesha wawekezaji wazawa ikiwemo kuwapa kazi kama za ujenzi wa Reli na Barabara kwani wapo wakandarasi wanaoweza kuzifanya kazi hizo badala ya kutegemea Wakandarasi wa Kampuni za nchi nyingine.
Ameyasema hayo wakati akizungumza katika...
Tunaomba chikola aitwe taifa stars. Accuracy yake akiwe mbele ya goli ni kubwa sana, nahisi jamaa ni mbrazili Naomba kocha na tff wamuongeze taifa stars.
Hicho kipaji kikuzwe. Accuracy yake mbele ya goli ni ya kimataifa level za UEFA champions league.
Pia kama kuna wazawa wengine waliocheza...
Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.
Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.
Ndugu zetu?
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuvutia wawekezaji katika tafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi nchini ili watanzania wanufaike na rasilimali zilizopo.
Dkt. Biteko amesema hayo leo Septemba 10, 2024 wakati wa Hafla ya makabidhiano ya leseni...
Huwa naona timu za mpira ulaya wanahamasisha kampeni za mambo mbalimbali kama vile upingaji ubaguzi wa rangi au kuwanyanyapaa mashoga. Hii ni kutokana na nguvu ya michezo.
Marekani pia timu za mpira wa basketball huwa na harakati mbalimbali dhidi ya mauaji ya bunduki.
Huu ni wakati sahihi wa...
Kati ya vitu vinavyowatia hofu waTanzania wengi wanaotamani kupanda mlima ni pale wanapoona sisi wazoefu na watu wa milima tunabeba Mibegi mikubwa kama inavyoonekana katika picha.
Wanadhani nao wakija huku watabebeshwa mibegi yao. Haiko hivyo!
Ukiamua kupanda mlima utakuwa na ka begi kadogo...
Kuna haka kautamaduni tunako waswahili ka kuwachukulia poa sana wachezaji wazawa. Inafikia wakati wanalipwa mishahara duni, wakitaka kuuzwa wanauzwa kwa pesa ndogo sana kiasi kwamba hata haitajwi kwa aibu. Nadhani wakati umefika tujenge utamaduni mpya. Embu nisome kidogo...
Huko Uingereza wana...
Wachezaji wa Nje Waliojihakikishia Namba
CHADRACK BOKA
AZIZ KI
CHAMA
PACOME ZOUZOUA
DUKE ABUYA
YAO KOUASSI
PRINCE DUBE
BALEKE
DIARRA
AUCHO
MAX
Wachezaji wa Tanzania Waliojihakikishia Namba
MUDATHIR YAHAYA
CLEMENT MZIZE
ANDAMBWILE
JOB
MWAMNYETO
BACCA
RAIS SAMIA AIELEKEZA TANROADS KUTOA KIPAUMBELE KWA WAKANDARASI WAZAWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuendelea kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuendelea kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya barabara na madaraja ili kuwajengea uwezo na kufanya uchumi kuwa na...
Tangu nimsikie Mbwana Samatta katika jukwaa la kimataifa sijamsikia tena mzawa mwingine Mtanzania akiwa maarufu hapa Africa au duniani kwa ujumla katika sekta ya michezo.
Huenda sababu mojawapo kubwa ni serikali na raia kuelekeza nguvu zao na focus yao yote katika vilabu viwili zaidi vya...
MAKANDARASI WAZAWA KUPEWA MIRADI HADI YENYE THAMANI YA BILIONI 50: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali kupitia Wizara ya Fedha imesikia kilio cha Makandarasi Wazawa na imeamua kupandisha wigo wa thamani ya miradi kwa Makandarasi hao kutoka kiasi cha Shilingi Bilioni...
Najua unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nasubiria Jibu lako kwani Wewe ulivyo na Kiherehere baada ya Kocha Amrouche Kutukera Watanzania kule AFCON ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Kocha Amrouche bado ni Mwalimu Mkuu wa Taifa Stars ila hivi karibuni / majuzi tu Rais wa TFF...
Tanzania ya miaka 15 ijayo inapaswa kuwa nchi yenye mfumo imara wa vyuo vya ufundi stadi (VETA) ambao unatoa mafunzo yanayokidhi mahitaji ya soko la ajira. Kuimarisha vyuo vya VETA ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu, kwani itasaidia kutoa wataalamu wenye ujuzi na maarifa yanayohitajika...
Kila baada ya mechi ikiisha makocha wazawa wakiohojiwa huwezi kukosa kuyasikia haya mambo manne.
1. Kwanza kabisa tunamshukuru Mwenyezi Mungu.....
2. Mpira ni mchezo wa makosa, tumefanya makosa tumeadhibiwa..blah blah
3. Mpira una matokeo matatu...
4. Tunajiandaa kwa mechi ijayo...
Haya ameyasema Leo baada ya Yanga kutangazwa kuwa mabingwa.
Aucho amewashangaa Watanzania kuwashangalia wageni hasa katika mbio za ufungaji Bora na kumuombea Fei asifunge lakini pia amependekeza kumshangilia Mudathir maana naye ni Bora
NB: Binafsi nimeshindwa kumuelewa Aucho kwenye mtizamo...
Kuna wachezaji wazawa wazuri sana nimewaona ambao Simba ikiwasajili watawasaidia mno, wa kwanza ni beki wa kulia wa zamani wa KMC na ss Singida, Kevin Kijiri, huyu hana tofauti na yule beki wa kulia wa Mamelodi, Kijiri ana nguvu, spidi halafu mrefu, Israel Mwenda anafanya sana makosa na jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.