Hapo vip!
Na nimeuliza hivyo kwasababu mtu mmoja anaweza kutumia mgogo wa serikali kupitisha mikataba yenye maslahi yake na vibaraka wenzake na sio ya wananchi kwa ujumla.
Kwasababu maslahi ya mwananchi kwa bandari ni ajira,usalama,ownership ya raslmali ya nchi na ufahari juu ya rasilimali ya...
Naona wafanyabiashara wanashindwa au wanasau kero kuu za Biashara pale Kariakoo.
1. Kuwaruhusu Wachina watoke China waje kuchuuza Biashara zao hapa TANZANIA na kariakoo WACHINA wenyewe wanakopeshana na wanapeana mali kwabei nafuu tofauti na mtanzania anaenda kununua bidhaa China alafu hapo hapo...
MZAMIRU YASINI NI ROHO KWENYE KIWILI WILI CHA SIMBA.
Acha na zile Assist za Clatous Chama acha na ile mikimbio na press za Ntibazonkiza acha na zile Hat trick za Beleke ila pale Simba SC Tanzania yupo mwana Kigoma anaitwa Mzamiru Yassini.
Huyu katika michezo mingi ya Simba ndio amekuwa kiini...
Sisi Wafanyakazi tunaofanya kazi katika Mradi wa SGR Kituo cha Itigi Rot 2 Camp, Kampuni ya Yap Merkez ambao tunatengeneza Kilometa 150 tumeamua kuingia katika mgomo huo kutokana na maslahi duni hasa kwa wazawa.
Mgomo huo ulianza kwa walioingia usiku wa jana tarehe 6 mwezi wanne 2023 na sisi...
Anonymous
Thread
duni
kazi
kufanya
kufanya kazi
maslahi
sgr
vibarua
wamegoma
wazawa
Mimi ni Yanga utopolo original Yanga Lia Lia shabiki kindakindaki makolo wanatuita mashabiki maandazi wa utopolo
Najiuliza wale wachezaji wa kigeni viwango vya dunia tumejaza Yanga Kila idara mpaka Simba wanatamani kubaki arabuni wacheze ligi hiyo au wahamie ligi ya Burundi maana Huku tz...
Nitaandika uzi huu kwa lugha nyepesi sana
Ni hivi tabia zilizo onyeshwa na Feisal kwenye sakata la mkataba wake na Yanga ndio limeshusha zaidi heshima ya wachezaji wazawa kuliko kuongeza kama baadhi ya watu wanavyo jaribu kuaminisha.
Imeonekana kumbe wachezaji wazawa ni watu wenye mambo ya...
' Kila mchezaji mzawa hatakubali Feisal pekee ndiye arekebishiwe kipato huku wote wanakimbiza mpira dk 90! hili swala la feisal limeanzia kwa Stephane Aziz-K kununuliwa kwa bei mbaya na kuwa mchezaji ghali klabuni.
Ikumbukwe mama mzazi wa Azizi K ndiye aliyekuwa meneja wake. Leo feisal kudai...
Baada ya kutafakari na kuangalia mambo yanavyoenda, nimegundua Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa.
Hussein Bashe ni Waziri wa Kilimo sioni Watu wa Kilimo Wanamlalamikia. Sasa hivi anapima udongo anajenga maghala sababu anaamini Wakulima...
Katika Serikali ya Rais Samia Suluhu mirsdi yote inayotekelezwa nchini inawanufaisha wananchi kwa asilimia kubwa maana ujenzi na ukarabati wa miundombinu katika miradi mbalimbali nchini umeendelea kuwa fursa ya ajira kwa vijana.
Moja ya vipaumbele vya Mhe. Rais Samia Suluhu ni kutoa elimu ya...
Dar. Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Heri James amesema Fedha ya force account, ni kwaajili ya kuwanufaisha Mafundi Wazawa na Kampuni za Wazawa ili kuwe na mzunguko wa Hela Nchini. Ameyasema hayo wakati wa Kufunga mafunzo kwa Mafundi 1000 wa Wilaya ya Ubungo.
Mafunzo hayo yaliandaliwa na Kampuni ya...
UJUMBE KWA TISS; TOP 20 YA MATAJIRI NDANI YA NCHI SHARTI ITAWALIWE NA WAZAWA; HUKO NDIKO KUJITAWALA.
Anaandika, Robert Heriel
Utawala ni nguvu ya kiuchumi. Hata kwenye ngazi ya familia. Mwenye uchumi mkubwa ndiye mwenye utawala na ndiye mwenye maamuzi. Hilo wala halihitaji akili kubwa...
Wakuu,
Kila mwezi FIFA hutoa viwango vya ubora wa timu za taifa kutegemea na matokeo.
Matokeo hayo husababishwa na wachezaji raia wa nchi husika, lakini sio makocha.
Huenda ilikua ni wazo zuri la kuruhusu wachezaji kuchagua timu zao za taifa endapo mchezaji ana uraia wa zaidi ya timu moja...
Matatizo ya viongozi wetu wengi ni kujifanya wanajua masuala ya ukandarasi na ujenzi wakati kiukweli ni watupu kabisa.
Taarifa ya habari saa mbili ITV waziri Makamba amewaonya makandarasi wazawa kwa kutokamilisha miradi kwa wakati.
Waziri kaongea hivyo akiweka jiwe la msingi kiwanda cha...
Baada ya sintofahamu ya kutimua makandarasi Zanzibar, leo Rais Mwinyi katoa tamko la kuwapoza makandarasi.
Akiweka jiwe la msingi hospitali iliyojengwa na mkandarasi mzawa, amesema ataendelea kuwapa zabuni makandarasi wazawa miradi ya serikali.
Hilo tunalipokea kwa moyo wa furaha, maana ndio...
Kuna kitu huwa najiuliza wakati wote kuwa sisi Tanzania kipindi cha 2015-2021 pale Mungu alipo amua ugomvi tuliaminishwa kuwa kuna vita ya kiuchumi!
Huu ulikuwa ni uongo na uzandiki wa wazi kabisa. Tanzania hatukuwa na vikwazo vyovyote vya kiuchumi bali tulikuwa na vikwazo vya kisheria kutokana...
Klabu ya Simba imeendelea kuonesha ukubwa wake.
Ni jinsi gani wachezaji wazawa inaendela kuwaamini katika kikosi chake na kuwathamini.
Thamani yao inakuja kutokana na kupewa kipaumbele cha kwanza ktk utambulisho.
Pia nawapongeza mashabiki na wadau wa mpira kwa mapokezi mazuri kwa wachezi...
Huwezi kubagua watanzania wenzetu kwa historia ya miaka 2000 iliyopita. Huyu ni mbumbu kabisa.
Mbona Wahehe walitokea huko kusini mwa Afrika na walevi kama watu wa Zimbabwe mbona hatuwabagui
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo amewataka Watanzania kuthamini bidhaa zinazotengenezwa nchini na wazawa ili kuwapa moyo wabunifu na kuinua uchumi wa nchi.
Ameyasema hayo Juni 10, 2022 Jijini Dodoma wakati alipomwakilisha Dkt. Philip Mpango, Makamu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.