Inasemekana yafuatayo yanaweza kutokea japo hayana uhakika wa 50%, 75% au 100% kabisa kuwa;
~ Mshambuliaji Ceaser Lobi Manzoki kutua Yanga SC na tayari Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anamalizana naye.
~ Beki Henock Inonga kwenda Amazulu FC ya Afrika Kusini au kutua Yanga SC.
~ Clatous...
Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli...
Hii nchi ina mambo ya aibu sana mawaziri wote wapo kimya utadhani wamemsusia mama Samia nchi mambo ya hovyo hovyo ambayo hata mwananchi wa chini kabisa anaona.
Makarani wameanza kazi jana hawana kifaa hata kimoja, zaid ya tablet ambazo na zenyewe naambiwa ni tia maji tia maji.
Tablet zinazo...
Hotuba iliyotolewa na Mh. Rais wakati wa kuwaapisha viongozi mapema siku ya jana ni muendelezo wa kasi yake katika kuhimiza utendaji wenye tija kwa watumishi wa umma. Baadhi ya mambo yanayohimizwa na Mh. Rais ni pamoja na ;
1. Utendaji wenye tija kwa watumishi wote wa umma katika Wizara...
Hayati Dr. Magufuli alikuwa kiongozi bora wa karne ya 21 alikuwa simba wa vita alikuwa hana mzaha na watu wazembe, mafisadi, wezi na wabadhirifu wa mali za umma.
Dr. Magufuli Historia yake ilianzia pale alipoanza kazi ya uwaziri hakuwa mtu mzembe alifanya kazi kwa bidii kubwa sana hakupumzika...
NSSF ninayoifahamu ni wakali sana mwajiri akichelewesha michango, wakali sana mwajiri asipowasilisha michango ya wanachama lakini NSSF ni wazembe, wavivu na watesi wa wanachama wao pale wanapokuwa hawana michango na wanapofuatilia mafao yao, hata fao la kukosa Ajira tu.
Unakuta mtu anachangia...
Heshima kwenu Wakuu!
Hakuna tabia inakera Kama mtu kulalamika, sasa unalalamika nini, yaani upuuzi tuu!
Kulalamika ni tabia walizonazo wazembe na malofa, kila kitu kulalamika, kila kitu kunung'unika, upuuzi mtupu!
Oooh! Wanasiasa wanapiga Sana hela, Kwa nini nawe usijiingize Huko kwenye siasa...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa njiani kutoka Mwanza kwenda mkoani Mara, leo Ijumaa ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa Halmashauri ya Buchosha, Iringa, Mbeya na Singida Mjini baada ya kubainika kutumia vibaya fedha za UVIKO-19.
---
Rais Samia Suluhu Hassan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.