Heshima kwenu Wakuu!
Hakuna tabia inakera Kama mtu kulalamika, sasa unalalamika nini, yaani upuuzi tuu!
Kulalamika ni tabia walizonazo wazembe na malofa, kila kitu kulalamika, kila kitu kunung'unika, upuuzi mtupu!
Oooh! Wanasiasa wanapiga Sana hela, Kwa nini nawe usijiingize Huko kwenye siasa...