Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.
Huwa najiuliza toka ile kauli ya kuwa serikali imekusanya takriban 48 billion ambayo ilikuwa ni kiwango cha miezi kadhaa tu baada ya tozo kuanza. Je, makusanyo hayajaongezeka na kama yameongezeka yamefikia kiwango gani? Kwanini hakuna uwazi juu ya hayo makusanyo ya tozo ikiwa lengo liko wazi...
Kauli ya Mama yetu Raisi Samiah Suluhu Hassan wakati akishuhudia utiaji saini wa awamu ya tatu ya reli ya SGR
"..Ubora wa vifaa vinavyonunuliwa uendane na reli inayojengwa kwa sababu miezi michache niliyokaa serikali, nimeona mambo mengi sana ambayo huko nyuma yalikuwa hayafanyiki lakini sasa...
Baada ya maoni mbalimbali juu ya PhD zinazotolewa kwenye vyuo vya Tanzania ni dhahiri kuwa kuna biashara nzuri kwenye eneo hilo. Hii ni aibu kwa Vyuo vyetu na kuna haja ya uchunguzi kufanyika. Naamini soon tutakua na PhD za chupi. Wasalaamu Mdau wa PhD.
Jana anawaambia watu wazima kwenye kikao namna ya kufanya siasa jinsi anavyotaka yeye na siyo sheria zinavyotaka,,Anasingizia uongo eti wapinzani wakifanya mikutano ya hadhara wanaharibu mali za watu hivi ni lini na wapi hilo limetokea !!? Tumeshuhudia operations nyingi kama Operation...
Naombeni wenye jicho la ziada mnitoe ujinga maana huu ujinga nilionao ndio unanifanya niwe napatwa na hasira kwa maono mafupi yanayonifanga nione Zanzibar inatunyonya
Kwa upeo wangu mfupi najionea mambo haya, Naombeni mnipe maarifa, huenda mtazamo wangu haupo sawa.
Mambo ya huku bara lazima...
Niliwahi kusema na kamwe sijawahi kufumba mdomo na kuacha kusema kuwa tuzo za Ballon d’Or ni tuzo za kipuuzi na kipumbavu kuwahi kutokea kwa miaka ya karibuni katika Ulimwengu wa Soka.
Tuzo hizi kwa miaka ya mwishoni mwa 2000 hadi sasa zimekuwa zikitawaliwa na skendo nyingi huku kwa nyakati...
USIOLEWE NA MWANAUME MPUMBAVU NA MWOGA!
Kwa Mkono wa RObert Heriel.
Leo nitakaanga wapumbavu wote na waoga bila kupepesa. Iwe ni Mimi mwenyewe, wewe au Yule. Andiko hili halitamkwepa mwanaume yeyote Mpumbavu na mwoga bila kujali nafasi yake, hadhi yake, na umri wake.
Aidha andiko hili...
Wasalaam,
Jana nimetoka Lusaka nipo iringa now. Haya ndio niliyoyasikia kwa masikio yangu. Mnajua wazambia wanapenda sana mpira.
Wanasema hivi;
1. Ukitaka kuifunga simba cheza cross nyingi sana utapata magoli. Mabeki wake hawajui KBS kucheza cross hasa baada ya kukimbizwa na mawinga. Red arrows...
Mwanamume wa kimasai aliingia katika benki moja huko Nairobi Kenya kwa lengo la kuomba mkopo.
Alimwambia afisa wa mikopo kuwa anaenda Dubai kikazi kwa wiki nne na anahitaji kukopa 5,000 Ksh.
Afisa wa benki hiyo akamwambia kwamba benki itahitaji dhamana ya usalama wa mkopo huo.
Mmasai akadai...
Vijana wanaojiita Arusha boys ambao wameweka kambi eneo la wazi la makaburi karibu kabisa na stand kubwa ya mabasi ya mikoani wamekuwa wakiuza Gongo mchana kweupe kwa staili ya aina yake,
Gongo hiyo huwekwa kwenye chupa maalumu za maji ya kunywa na pindi mteja anapokuja kutaka huduma hupimiwa...
Hii inaitwa kukurupuka na kukosa watu walio serious kwenye uandaaji na utetezi wa kesi ya jinai. Kwa mahakama zilizo huru na ambazo zinajitegemea kilichofanywa na shahidi wa pili kinatosha kumfunga au kutaka Chama cha mapinduzi kinachotuhumiwa kutumia Polisi na wanachama wa chama hicho...
Jamani kila siku tunawaomba hayo mazoezi nendeni hata gymkhana au zungusheni fensi ya mabati kule Bunju hamtaki eti nyie viongozi ni wazungu
Utopolo mwaka huu wamesema liwalo na liwe lazima wachukue ubingwa na mimi naanza amini maneno yao kama huu uzungu feki hautakomeshwa itakuwa too late...
Kumekuwa na tabia za hivi karibuni, kwamba ili upate nafasi za kazi kwa vyombo vya ulinzi na usalama, mojawapo ya sifa ya waombaji ni kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa. Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa.
Hivi toka lini vijana wote waliohitimu kidato cha sita waliitwa wote kujiunga na jeshi...
Tulianza awamu ya tano tukapiga makofi wapinzani walipofilisiwa na kufunguliwa kesi tukiamini tunakijenga chama. Tulipomalizana nao tuliamia kwa wana CCM nakuwachapa kuanzia kwenye fikra Hadi kwenye akaunti zao. Leo Wana CCM wote waliokuwa na nguvu ya kiuchumi wamefilisika, au wamekufa kwa...
Kwako Mheshimiwa waziri wa kilimo,
Natumai ni mzima wa afya njema.
Mheshimiwa waziri wa Kilimo,
Rejea kichwa cha barua hii ya wazi kama kilivyo jieleza.
Naomba kurejea tena.
Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, Ammonium Nitrate (NA), Ammonium Sulphate (SA), Ammonium...
Tukio la kuchomwa visu na kufa kwa mbunge mmoja wa Uingereza Sr David Amess kimefichua ubaguzi wa wazi wa kimfumo wa wazungu. Pamoja na muuaji kukamatwa, bado wanasema kitendo hiki si cha kigaidi. Kama muuaji angekuwa siyo mzungu polisi wangemmaliza kwa risasi. Wala wasingeendelea kushikilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.