Wapendwa wanangu,
Kuna mwanangu kanitumia hii kitu ili tushee. Nawasilisha kama kilivyo bila kuficha.
Barua ya Wazi kwa Waziri, IGP, na Bosi wa TISS
Na Nkwazi Mhango aka Fyatu Mfyatuzi
Wapendwa,
Kwanza, nimshukuru mhe. Rahis kwa kuwapa muda mjitafakari na kufanya maamuzi kabla hajawafyatua...