Bashe anawaambia vijana wakalime, yeye anajenga vituo vya mafuta njia nzima ya kibaha. Sijui katoa wapi mtaji huo! Ni hizo milioni 16 kwa ekari. Yaani kazi ya milioni 5 yeye anatumia milioni 16!
Hebu tuongelee tabia na maelezo ambayo aliyatoa juu ya kilimo. Huu ni uchafu tu! Yaani waziri...
Halima James Mdee alitoa hoja nzito sana na yenye mashiko kuhusu wizara ya kilimo kugawa ardhi na gharama ya kusafisha ekari kwa ml 16 .
Halima Mdee alikuwa anapinga kwamba ghaRama za kusafisha shamba ekari Moja haiwezi kuwa ml 16..na kwamba hizo ekari zinazotarajiwa kugawiwa kwa vijana...
Nimeona mipango ya waziri bashe, mipango imejaa maneno matamu na porojo nyingi. Bahati mbaya wengi hupenda hizi porojo kuliko uhalisia.
Bashe kwenye mipango yake kufikia 2025 wizara imepanga kuwapatia vijana heka milioni 1. Katika hesabu zake bashe anasema kuhudumia heka 1 itagharimu mil 16.7...
Ni mara ngapi tumeona clip na picha zikionesha wakulima wakilia kwa kukosa masoko ya mazao yao.
*Tushaona nyanya zinauzwa debe sh 500/= na parachichi zikioza huko Iringa.
*Tushaona mahindi yakioza huko Songea na Katavi.
*Tushaona wakulima wa korosho wakiuza korosho kwa bei ya hasara ama...
Jana tarehe 20 March 2023, Rais alifungua mradi wa mashamba ya pamoja, Mradi wa Kilimo wa Vijana. Sijui kama Waziri ana lengo zuri au ni kulifanya jina lake lisikike kila wakati mbele ya Rais kwa kujitambulisha kama mchapakazi. Kama ni mpango wa Wizara, basi ni muendelezo wa udanganyifu...
Hivi karibuni Serikali iliahidi kuingiza mchele toka nje ya nchi ili kupunguza makali ya bei ya mchele na nafaka zingine!
Matarajio ya watu wengi ilikuwa ni bei ya mchele kushuka na kuwasaidia watu kuweza kumuda kupata mlo
Sasa imepita miezi zaidi ya miwili lakini bado bei iko pale pale lakini...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei”
Lengo la Serikali mchele ushuke...
BEI ZA CHAKULA KUSHUKA MACHI - SERIKALI
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, asema bei za chakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi mwaka huu, huku akitangaza mpango wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwasaidia wakulima waongeze tija kwenye uzalishaji wa chakula nchini
Miaka ya hivi karibuni kumetoka tabia ya viongozi wa serikali mara kwa mara kutoa kauli za ovyo zisizo na staha zinazoleta ukakasi katika jamii ila kwa sababu hatuna uwajibikaji, tatizo hilo tumeendelea kulilea.
Nilikuwa naangalia clip moja ya hivi karibuni ya Waziri wa Kilimo Hussein Bashe...
Waziri wa Kilimo, Husein Bashe ametangaza bei mpya ya chai ambayo ni Sh366 kwa kilo itakayoanza kutumika kwenye mnada wa kwanza utakaofanyika Februari 10, 2023.
Kwa zaidi ya miaka mitano, bei ya zao hilo haijawahi kupanda kutoka Sh314 jambo lililokuwa linawadidimiza wakulima. Pamoja na bei...
HABARI PICHA
Mkutano Baina ya Waziri wa Kilimo na Wahariri wa vyombo vya Habari Pamoja na Wadau wa Sekta ya Kilimo Unaendelea katika Ukumbi wa Mabele Jijini Dodoma.
Ajenda 10/30
KILIMO NI BIASHARA
Nakumbuka kisa cha yusuf.u wa bibilia kule misri ambapo mfalme aliota ndoto ile ambayo ilimshinda tafsiri,baada ya ndoto ile kujirudiarudia ndipo kukaonekana haja ya kumpata mtu atakae weza kuitafsiri.
Tafsiri ya yusuf.u ilibaini kwamba kutakuwa na miaka mitatu ya neema sana ambapo yusufu...
Habari ndugu wanajamii.Kuna benki inajiita ya kilimo tanzania hawa jamaa sijuhi wanakopesha wakulima wa nchiiii gani??Au ipo kisiasa na kimtego kuadaa wananchii.
Ukienda pale watakwambia uende kwenye benki za biashara kwamba wanamakubaliano nao kukopesha wakulima na Wafugaji.Lakini kule benki...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa mara ya kwanza amejitokeza hadharani kuomba msaada wa mawazo na ushauri wa namna ya kuendesha Wizara ya Kilimo.
"Ukiwa na muda tafadhali nipe mawazo yako kuhusu Kilimo na usalama wa Chakula kwa nchi za Afrika haswa hapa nyumbani kwetu Tanzania Nini kifanyike...
Kumekuwepo na sintofahamu kubwa kuhusiana na Kauli ya Waziri wa Kilimo kuilazimisha Central Bank kutoa upendeleo kwa Benki mpya ya Bashe inayoitwa Benki ya Ushirika ili kuweka masharti nafuu ya utoaji wa mikopo.
Pia, nimeona Bashe ameingia kwenye mzozo kuhusiana na ruzuku ya Mbolea na kuleta...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hawataiomba Benki Kuu ya Tanzania bali watailazimisha kutengeneza mfumo utakaowezesha Benki ya Ushirika kupata upendeleo wa kurahisisha utoaji wa mikopo kwa wakulima
Pia soma Waziri Bashe aipaka matope Tanzania Kimataifa
Kauli ya Waziri Kilimo Hussein Bashe kuilazimisha na kuishinikiza Benki Kuu ya Tanzania kuacha kusimamia sheria zilizopo na kufanya upendeleo kwa Benki ya Ushirika katika mfumo wa utoaji wa mikopo.
1. Benki Kuu ya Tanzania imeanzishwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...
India mwezi jana ilipiga marufuku kuuza ngano nje ili kulinda soko la ndani make bei ya ngano kule India ilikuwa imeanza kupanda kwa kasi sana. Kumbuka wale Ngano ndo chakula kikuu na Wali pia.
India ni mzalishaji mkubwa wa Ngano Duniani lakini iliona hatari kwa raia wake kuuziwa ngano bei ya...
Nimetembelea ukurasa wa World Bank ambako Bashe alichota bei na kuzilinganisha na mwaka huu, 2022.
Kwa maoni yangu, Waziri huyu hafai au an ufahamu mdogo. Lakini pia naona bunge likishangilia kila mtu anayetumia kelele kujidai kutetea wananchi. Hapa Bashe alitumia kelele kutetea wakulima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.