Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima akizungumza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa kupinga ukeketaji amesema mpango Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030, hauwezi kufikiwa kwa mafanikio kama vitendo vya ukeketaji wa Wanawake...
Moja kwa moja kwenye mada,
Uongozi wa Kijiji Arumeru, Mkoa wa Arusha ulipitisha sheria ndogondogo za kukuza maadili baada ya matukio ya vijana kuuawa kwa makosa ya kuiba na mmomonyoko wa maadili ikiwemo kunyoa viduku na kuvaa vimini ndio sababu!
Waziri Dkt. Gwajima D uko serious kabisa ku...
Dar es Salaam. Tarehe 11 Septemba 2023: Akizindua Maonesho ya Imbeju ya Wajasiriamali Ilala 2023, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima amewahimiza wafanyabiashara wadogo nchini hasa wanawake na vijana kuchangamkia fursa ya mafunzo, ushauri, na...
Familia zimekumbushwa kujadili masuala ya maadili ili kujiepusha na changamoto ya mmomonyoko wa maadili inayotajwa kukithiri ndani ya jamii katika siku za hivi karibuni
Wito huo umetolewa mkoani Dodoma na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima...
Mawaziri watatu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Desemba 21, 2022 wamekutana Jijini Dar es Salaam kujadili kuhusu suala la ukatili kwa wanafunzi wa shule na vyuo na kuweka mikakati ya kupambana na ukatili huo.
Mawaziri hao, Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima ametoa onyo kwa baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wanaowatumia Wamachinga wadogo kuuza bidhaa zao ili kukwepa kodi.
Waziri amebainisha kuwa katika baadhi ya maeneo rafiki yaliyotengwa kwa ajili ya wamachinga...
Waziri Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amewataka baadhi ya wanaume ambao bado wana mfumo dume wa kunyanyasa wanawake kuacha tabia hiyo hasa kwenye masuala ya uchumi.
Dkt. Gwajima ameyasema hayo mjini Morogoro Wakati akizungumza kwenye Kongamano ambalo...
Inawezekana hii haizungumzwi sana katika vyombo vya habari kwa kuwa wanahabari wengi wanatazama kinyume chake lakini ukweli ni kuwa kuna tatizo limekuwa likiibuka la watoto kufanyiana ukatili wao kwa wao.
Tunajua kuwa asilimia kubwa ukatili kwa asilimia kubwa umekuwa ukifanywa na watu wazima...
Picha Dkt. Dorothy Gwajima
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum Dkt. Dorothy Gwajima, amesema, masuala ya changamoto za Machinga ikiwemo kuhamahama, watazungumza na Mamlaka za Mikoa ili kuona namna Bora ya kutatua tatizo hilo, na hii itakuwa ni kwa nchi nzima.
Waziri...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amewapongeza Ngariba walioacha kufanya ukeketaji na kugeuka kuwa wanaharakati wa kukemea vitendo vinavyo dhalilisha utu wa mtoto wa kike na kumuachia maumivu makali.
โTuwavushe mabinti zetu kutoka usichana...
Kufuatia ripoti kuhusu Watoto kukimbia Shuleni, Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesisitiza Chanjo dhidi ya COVID19 zitatolewa na wenye umri wa zaidi ya miaka 18 pekee
Ameeleza, "Hakuna mtoto aliye chini ya miaka 18 ambaye atachanjwa. Na hawa wa miaka 18 na kuendelea watachanjwa kwa hiari...
Picha ya Marehemu Mzee Stiven Gwajima. Huyu ndiye alikuwa Mkwe wa Waziri wa Afya Dorothy Gwajima.
Mzee Stiven Gwajima alifariki dunia tarehe 30/9/2019 jijini Dar es Salaam. Mtoto wake Mwanasheria Msomi Methusela Gwajima amezungumza na #KitengeTV na kusema huyo ndio alikuwa Baba yake na Mkwe wa...
Ziko dawa, chanjo, na njia za matibabu ambazo zimeachwa kutumia wakati hapo mwanzo zilipitishwa na kuruhusiwa kutumiwa. Mfano, watu wameacha kutumia dawa kali kutibu minyoo, indocid, chloroquine na SP kutibu malaria, kuacha kutumia spirit kusafisha eneo la kuchoma sindano, kunyoa nywele za...
Zitto amesema IGP Sirro anapaswa kujiuzulu maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa Rais Samia Suluhu kwa kukataa kumkamata Askofu Gwajima.
Na kwa kufanya hivyo Sirro amegoma kutii amri toka kwa Rais SSH.
Chanzo: StarTV medani za siasa.
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti'
Ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure.
Amesema...
Battle linaendelea, hakijaharibika kitu, Waziri Gwajima amempongeza IGP simon Sirro kwa kufanya kazi kwa utaratibu hivyo nae amesema tayari ameshamwandikia malalamiko yake.
CORONA IMESABABISHA VIFO VYA KUTOSHA
Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amesema vifo vitokanavyo na corona vipo vya...
Kipindi hayati JPM anapinga chanjo alisimama kidete haswa haswa, akapiga marufuku na fumigation na akaagiza mtu yyte atakayefanya fumigation eneo lolote akamatwe.
JPM kafariki
Amekuja mama Samia yeye kaagiza chanjo sasa hapo kuna kazi kubwa ya kuwaamisha wananchi kutoka kwenye idea za...
Kwani hi Chanjo ni jambo kubwa sana kama nchi iko vitani vile?
Kwanini wanakomalia sana as if hakuna shughuli nyingine za kufanya? Wananuka shombo na kama vile wananchi wamewachoka.
Hawa viongozi wana utoto mwingi na wanasababisha ukakasi kwenye hili suala la chanjo. Kuna wakati wangekaa kimya...