Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi (UDART), Waziri Kindamba amesema mwendokasi iligeuka kuwa mwendohasira na kwamba hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili.
Aidha, amesema basi jipya la majaribio linalotumia gesi asilia litakalobeba abiria 155 litaanza...
Wasalaam JF,
Mkoa wa Songwe wenye halmshauri tano za Tunduma, Momba, Mbozi, Ileje na Songwe ndio Mkoa pekee nchini unaondesha zoezi la Utambuzi wa Mifugo kielekroniki katika halmashauri zake zote.
Wakati baadhi ya mikoa ikiwa haijaanza kabisa Utambuzi huu wa Mifugo, Mhe Waziri Kindamba Mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.