Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Finland, Mhe. Alexander Stubb yaliyofanyika kwenye makazi ya Rais jijini Helsinki Oktoba 10, 2024.
Wakati wa mazungumzo hayo, viongozi hao walijadiliana masuala...