waziri makamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Waziri Makamba: Bwawa la Mwalimu Nyerere sasa kazi ni usiku na mchana

    Waziri wa Nishati, January Makamba ametembelea mradi wa Bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere Agosti 08 2022 ili kukagua na kuangalia hatua mbalimbali zilizofikiwa na mradi huo. "kwa sasa tumefika asilimia 67, Katika Miaka Miwili na nusu ya Mwanzo (Kuanzia Disemba 2018 - June 2021) tulifikia...
  2. K

    Mwambieni January Makamba kuwa kazi ya Uwaziri siyo lelemama

    Nawasalimu sana wanajamvi, Chondechonde kazi ya Uwaziri sio lelemama na hasa kwa nafasi yake. HUKU mikoani umeme hakuna, nchi ipo gizani lakini yeye yupo busy kugawa mitungi midogo ya gesi badala ya yeye kama Waziri wa Nishati kuangalia mambo yenye "impact" kubwa kwa watanzania kama suala la...
  3. Camilo Cienfuegos

    Waziri Makamba na mitungi ya Taifa Gas

    Nimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni. Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz. Naona kama Mh...
  4. Replica

    Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

    Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza...
  5. Kiturilo

    Waziri Makamba: Umeme utaendelea kukatika mpaka tumalize maboresho. TPSF wamshukia kama mwewe

    Waziri wa Nishati, January Makamba amesema changamoto ya kukatika kwa umeme itaendelea kuwepo, hadi pale marekebisho na maboresho mbalimbali yanayoendelea kufanyika yatakapokamilika. Miongoni mwa maboresho hayo ni kujenga na kurekebisha njia za umeme na kuimarisha vituo vya kupooza umeme na...
  6. Idugunde

    Mikataba anayoingia Waziri Makamba ina mkono wa mkuu wa nchi? Kwanini hatusikii akiikemea? Wananchi wanabakia kunung'unika Taifa lao kufisadiwa

    Alianza na mkataba wa bil takribani 70 ambao Tanesco iliingia mkataba na Mahindra tech ya India kwa ajili ya kukodi software ambayo itafanya shughuli za Tanesco ziwe za kidigitali na kuongeza ufanisi kiutendaji. Mpaka sasa kila Mtanzania anahoji na kujiuliza ni software gani hiyo ambayo...
  7. gimmy's

    Waziri Makamba waelekeze Tanesco waache kusambaza umeme kwa nyaya nyembamba za 25mm badala ya 100mm wanaua vifaa vyetu

    Natambua kabisa licha ya kuwa Makamba ni waziri wa nishati,lakini sina uhakika kama taaluma yake na kazi yake vinawiana.Hata hivyo issue ya taaluma yake sio tatizo kwani hata waziri wa Afya Ummy ni mwanasheria lakini anafanya vizuri kwenye wizara yake. Nimejaribu kufuatilia distribution line za...
  8. W

    Ziara ya Waziri Makamba nchi zinazozalisha mafuta haijaleta tija kama alivyotangaza

    Ndugu zangu, Miezi ya hivi karibuni Waziri Makamba alitembelea nchi za ghuba zinazoongoza kwa uzalishaji wa mafuta ulimwenguni.Baada ya kurejea alituhakikishia kuwa mwezi Disemba mwaka huu mafuta yatashuka bei kwani kafaniiiwa kuwashawishi wazalishaji ili Tanzania kupitia TPDC inunue mafuta...
  9. thetallest

    Rais Samia, tengua uteuzi wa Waziri Makamba na Bodi nzima ya TANESCO. Au na wewe una maslahi na kinachoendelea?

    Kauli yako, ya waziri mkuu na ya waziri January Makamba inaonyesha kuna udanganyifu mkubwa sana kwa mamlaka unaoendelea nchini. Kauli zenu ndio zinafanya Watanzania watilie shaka weledi wenu kama viongozi wakuu wa nchi. Teuzi ya January Makamba imebuma mapema mno, unasubiri mambo yaharibike...
  10. TODAYS

    Waziri Aweso fanya maamuzi haya ili ubaki kwa kumbukumbu nzuri

    Pamoja na baadhi ya Watanzania kuona kuna madudu yanafanyika pmus kuwanyonya kutokana na baadhi ya viongozi kuingia kwenye siasa kwa mgongo wa wazee wao, bado mnaweza kuwaachia watanzania legacy ya kuwakumbuka hata msipokuwepo. MAJI; Nchi yetu imekuwa na janga la uhaba wa maji kwa miongo kadhaa...
  11. Elitwege

    January Makamba: Umeme mwisho kukatika wiki mbili, baada ya hapo nitafukuza watu

    Waziri wa Nishati January Makamba ametembelea ofisi za Tanesco na kulipongeza shirika hilo kwa kufikisha wateja 3.2 millioni ndani ya miaka 5 iliyopita. Wanaoliwezesha kukusanya zaidi ya trillioni 2 kwa mwezi na kulifanya kuwa shirika pekee linalokusanya fedha nyingi nchini. Makamba ametoa...
  12. Etwege

    Kimeumana Bungeni! Spika Ndugai ahoji kama kuna mgao wa umeme nchini

    Spika Job Ndugai amehoji tatizo la kukatika kwa umeme nchini na kuitaka kamati ya nishati kukutana haraka na bodi ya mpya ya Tanesco ili kuwaeleza kazi kubwa iliyoko mbele yao. Sakata hilo liliibuliwa na mbunge wa Kilombero mh Abukary Assenga aliyetaka kujua ni kwa nini Tanesco wanakata umeme...
  13. I wish i have

    Waziri Makamba: TANESCO mpya imezaliwa leo, tunataka iendeshwe kibiashara

    Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema ni wakati sasa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuanza kujiendesha kibiashara, kwa ufanisi ili kuchangia uchumi wa Taifa. Mhe. Makamba amesema hayo leo Septemba 26, 2021 wakati akizungumza na Mameneja wa TANESCO wa ngazi ya Kanda, Mikoa, Wilaya...
  14. M

    Waziri Makamba, Tatua suala la kodi ya pango kupitia ununuaji wa LUKU

    Mheshimiwa Waziri Makamba Inavyoonekana vijana/watu waliotengeneza mfumo wa kulipia kodi ya jengo kupitia ununuaji wa LUKU walichokifanya, ni kukata pesa kupitia kila namba ya simu itakayonunua LUKU bila kujali namba hizo tofauti zinanunua umeme kwa ajili ya mita moja. Mathalani kama Namba X...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Waziri Makamba tunasubiri uifumue na TPDC na EWURA

    Kwako waziri wa nishati, Hongera kwa kuanza kazi vizuri kwa kuifumua TANESCO. Tunasubiri uifumue TPDC na EWURA ili mambo yaende vizuri.
  16. J

    Zitto Kabwe apendekeza TANESCO wauze hisa(20%) fedha itakayopatikana ilipe madeni, Waziri Makamba atoa maagizo

    Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amemshauri waziri wa nishati January Makamba apeleke DSE 20% ya hisa za Tanesco zikauzwe na fedha itakayopatikana itumike kulipa madeni ya Shirika. Kipele kimepata mkunaji, anasisitiza Zitto Kabwe katika page yake ya twitter. Waziri January...
Back
Top Bottom