Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, amefanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Afya Kisesa usiku, kufuatia malalamiko yaliyotolewa na wananchi kuhusu huduma zinazotolewa katika kituo hicho.
Ziara hiyo imelenga kujionea hali halisi ya utoaji wa huduma na...