Naomben Mkumbushe Bashungwa, kua yake Mauaji ya Oktoba 29 2025 anahusika 100%.
Samia kumwondoa kwenye Uwaziri , hakuondoi JINAI ya Bashungwa Dhidi ya Watanganyika!!!.
Bashungwa huna lolote unalojua kuhusu CCM, uliokotwa huko matopeni !!.
Unazúngumzia Nchimbi, Kijana wa Chama, Mzee wa Chama...
Anaitwa Ame Pereira Silima alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK 2010-2015, na katika uchaguzi wa 2015-2020 akaomba kuwa mgombea Urais Zanzibar akakosa akapewa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Moroco na leo 2025 ndio huyo Dah hii ndo inaitwa Dunia gunia.
Haya ni matukio machache...
Bila shaka mheshimiwa Masauni waziri wa mambo ya ndani umepata ujumbe kwamba hali ya usalama wa raia si nzuri.
Jukumu la kwanza kabisa la serikali ni kulinda raia wake na mali zao na wizara ya mambo ya ndani ndo yenye jukumu hilo na pia kuhakikisha ulinzi wa raia wake na mstakabali wa uchumi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.