G.O.A.T
Mambo mawili yanabaki kuwa alama ya uzalendo wa Waziri M. Mchengerwa kwa taifa lake!
Mosi: Agizo lake akiwa OR Utumishi alipokuwa anaapisha Bodi ya Nne ya Sekretalieti ya Ajira kuwa,
"Kuanzia leo (siku hiyo) ajira zote za umma zipitie utumishi ili kuondoa upendeleo na kuweka usawa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Mohamed O. Mchengerwa (Mb), amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busega moani Simiyu, ndugu Veronica Vicent Sayore, kuanzia leo tarehe 22 Septemba, 2023 ili kupisha chunguzi.
Mheshimiwa Mchengerwa...
Shule hii kidato Cha I-VI, shule imepelekewa wanafunzi 400+ wa kidato cha tano huku hakuna miundombinu inayotosheleza kupokea idadi hiyo ya wanafunzi.
Shule ni kama imetelekezwa hakuna anayejali, watoto wetu wanalala chini, umeme hakuna shule ipo gizani wakati ipo porini, shule haina walimu wa...
Moto umeanza kuwaka huko Tamisemi baada ya Waziri Mohammed Mchengerwa kuwasha moto Kwa kusema watu Wame relax hawafanyi kazi,awanyooshea kidole Ma DC.
---
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwafuata Wananchi na kusikiliza pamoja na...
Rais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza.
-
"Kwa mfano Mchengerwa nilipompeleka utumishi mwanzo kaingia na kasi kelele...
Bajeti ya Waziri Mohamed Mchengerwa imewasilishwa bungeni leo hadi sasa hakuna kelele zozote za rushwa kwa wabunge kama ilivyokuwa kwa wizara ya nishati.
Heko wizara ya maliasili kwa kuendesha mambo yenu kwa uwazi na kuacha wabunge waichambue bajeti yenu kwa manufaa ya watanzania sio wenzenu wa...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa (wa pili kushoto) akiwa katika pikipiki zilizokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa Kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwa ajili ya kusaidia katika doria na kuimarisha ulinzi na usalama kwa watalii. Wengine pichani ni Mkurugenzi...
Hayo ni maneno aliyoyasema Mchengerwa waziri wa Mali asili na Utalii jana tarehe 20/03/2023 kwenye kikao cha 30 cha baraza la wafanyakazi. Kwako Waziri, naamini ulisema hivyo kwa sababu unajua kwamba watumishi hawasikilizwi shida na kero zao.
Kuanzia hapo Mpingo house kuna maafisa utumishi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.