Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amemteua Meja Jenerali Eyal Zamir kuwa mkuu mpya wa majeshi ya Israel (IDF), akichukua nafasi ya Luteni Jenerali Herzi Halevi, ambaye ataondoka madarakani Machi 6.
Uteuzi wa Zamir unakuja wakati Israel inakabiliwa na changamoto kubwa za kiusalama...