waziri mkuu israel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ameondoka kuelekea Marekani ambako atalihutubia UN

    Akielekea New york City, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema atatumia hotuba ya United Nations General Assembly (UNGA) kuwashutumu viongozi wa dunia wanaoitambua Palestina Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mkewe Sara wakipiga picha kabla ya kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ampa onyo kali Ayatollah Khamenei

    Baada ya mtawala wa kidini wa Iran Ayatollah Khamenei kutoa tishio la kuifuta Israel kwenye uso wa dunia leo hii waziri Mkuu wa Israel amesema Israel haiwezi kufutwa na yeyote yule bali UGAIDI wa Iran na vibaraka wake hao ndiyo watafutwa kwa nguvu zote.!
  3. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahau amteua Meja Jenerali Eyal Zamir kuwa Mkuu mpya wa Majeshi

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amemteua Meja Jenerali Eyal Zamir kuwa mkuu mpya wa majeshi ya Israel (IDF), akichukua nafasi ya Luteni Jenerali Herzi Halevi, ambaye ataondoka madarakani Machi 6. Uteuzi wa Zamir unakuja wakati Israel inakabiliwa na changamoto kubwa za kiusalama...
Back
Top Bottom