Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ampa onyo kali Ayatollah Khamenei

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ampa onyo kali Ayatollah Khamenei

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Baada ya mtawala wa kidini wa Iran Ayatollah Khamenei kutoa tishio la kuifuta Israel kwenye uso wa dunia leo hii waziri Mkuu wa Israel amesema Israel haiwezi kufutwa na yeyote yule bali UGAIDI wa Iran na vibaraka wake hao ndiyo watafutwa kwa nguvu zote.!



​
 
Baada ya mtawala wa kidini wa Iran Ayatollah Khamenei kutoa tishio la kuifuta Israel kwenye uso wa dunia leo hii waziri Mkuu wa Israel amesema Israel haiwezi kufutwa na yeyote yule bali UGAIDI wa Iran na vibaraka wake hao ndiyo watafutwa kwa nguvu zote.!!!!
Nimefuatilia picha bila kusoma onyo la bwana Netapaka.Picha ya kupimwa suti imenichekesha sana.
cc;Webabu-achague rangi ya kitambaa cha suti ya Ayatollah Khamenei.
 
Huyo fala anabetua mdomo, kwa ajili anajua US yuko pembeni hapo!

Taifa la Israel ni taifa feki, siku US inaanguka au sera ya uungaji mkono usio na mipaka kwa Israel ikikoma, na Israel inasambaratika!
 
Baada ya mtawala wa kidini wa Iran Ayatollah Khamenei kutoa tishio la kuifuta Israel kwenye uso wa dunia leo hii waziri Mkuu wa Israel amesema Israel haiwezi kufutwa na yeyote yule bali UGAIDI wa Iran na vibaraka wake hao ndiyo watafutwa kwa nguvu zote.!!!!
Mbona hata hajaongea cha maana
 
Huyo fala anabetua mdomo, kwa ajili anajua US yuko pembeni hapo!

Taifa la Israel ni taifa feki, siku US inaanguka au sera ya ungaaji mkono usio na mipaka kwa Israel ikikoma, na Israel inasambaratika!
Na ndiyo ndoto ya kobazi wote duniani ili yule mungu wa pale kaaba apate Kiki.
 
Na ndiyo ndoto ya kobazi wote duniani ili yule mungu wa pale kaaba apate Kiki.
Lete dharau, lakini hawa Israelites unawaona leo ni mabaki tu. Makabila 10 yalipotea kusikojulikana mpaka leo! Hawa walikimbilia Ulaya baada ya mkong'oto wa zaidi ya miaka 4000! 2000 years chini ya Warumi!

Hivyo kwenye historia hiyo ni zaidi ya uhalisia! US ni taifa la kizushi tu la wahuni kutoka sehemu zote za dunia, hawana mila wala identity kama ilivyo Russia! Kusamambaratika ni rahisi mno!
 
Israel/mossad wakiamua kumuua Ayatolah wanaweza kufanya hivyo, kama walivyomuua Yesser Arafat kwa mbinu bila vita.
 
Huyo fala anabetua mdomo, kwa ajili anajua US yuko pembeni hapo!

Taifa la Israel ni taifa feki, siku US inaanguka au sera ya uungaji mkono usio na mipaka kwa Israel ikikoma, na Israel inasambaratika!
Hizo ni ndoto za Mwendawazimu!! Haitatokea hata wewe ukifa!!
 
Back
Top Bottom