Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja hivi karibuni katika kuongeza ufanisi.
Mabadiliko hayo yanaweza yasiwe na tija au yakawa na tija, ila naamini mabadiliko hayo yakilenga kuvunja Baraza kumwondoa Waziri Mkuu yataleta ufa badala yake aachwe amalize miaka miwili ijayo.
Bado sioni Waziri...
Cha ajabu na cha kushangaza serikali bado inamuamini kuwa ni mtu sahihi kuendelea kuwa waziri mkuu, ni bora mama angelivunja baraza la mawaziri akateua mtu mwingine wa kumsaidia kazi huyo majaliwa huenda anampotosha mama katika mambo mbalimbali kwani ameshaonekana ni mtu wa kusema uongo na nukuu...
Ni Rish Sunak wa Uingereza
Source: Sky news
Hii kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla haiwezekani
----
Waziri Mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak amepigwa faini kwa kutofunga mkanda kwenye gari lililokuwa likitembea wakati akirekodi video kwa ajili ya mitandao ya kijamii.
Polisi wa Lancashire...
This is ridiculous!
Ndio unavyoweza kusema!
Sophia mjema Katibu mwenezi wa CCM ameitaka Serikali yake ya CCM kugawa haraka vishikwambi Kwa walimu na ametoa wiki Moja Tu..
Anyway
Jacinda Ardern (42) amesema ataachia ofisi kabla haijavuka Februari 7, 2023 kwa kuwa anahisi hana nguvu ya kutosha kuendelea kushika madaraka hayo.
Ardern alikuwa kiongozi wa kwanza mwenye umri mdogo Mwanamke alipoteuliwa kushika nafasi hiyo akiwa na umri wa miaka 37 Mwaka 2017 kisha mwaka...
Nimekuwa nikipita humu mara kwa mara na threads nyingi zimekuwa zikimtakia au kumuombea mabaya Waziri wetu Mkuu mchapa kazi hodari mzalendo wa kweli asiyependa uzembe utokee popote, amekuwa akipigwa Vita na vya kimtandao wa kumuombea mabaya yamfike.
Nadhani pengine hili linatokea baada ya...
Ombi langu Kubwa kwenu kama GENTAMYCINE kwa mnaomuandaa huyo Waziri Mkuu Mwanamke (Mwanamama) ajaye wa mwaka 2025 (ambaye tayari Jina lake nimeshapenyezewa ila kamwe sitothubutu Kulitaja) ni kwamba mlindeni mno ili yale ya Deo na Chopper ya mwaka 2015 yasijirejee tena.
Na nasikia huenda hata na...
Hii haina uhusiano wowote na kikao cha Bunge kinachofuata.
Nilitaka kujua tu, hivi wabunge wetu hawa ambao wengi walipita kwa mgongo wa Hayati JPM, ikitokea mmoja 'miongoni mwao' anapigwa chini u PM halafu linapelekwa jina lingine, wanaweza kulikataa?
Maana wanasema mwenzako akinyolewa wewe...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.
Sikuwahi kujua kuwa sisiemu inamiliki na Migodi.. Je kuna Migodi mingine ambayo Chama tawala kinamiliki?
Na huu Mgodi jina lake unaitwaje?
Angalia video hii inayomuonesha waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa akitembelea mgodi wa makaa ya mawe uliopo Mdunduwalo...
Kiongozi huyo wa Mkoa, Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee ameyaeleza hayo wakati akizungumza na Walimu wa shule tofauti Mkoani hapo.
Amesema amewauliza wanafunzi wengi na wameonekana hawana ufahamu juu ya Sikukuu ya Mapinduzi, kutomfahamu Waziri Mkuu wa Tanzania wala Rais wa Zanzibar.
Amesema...
Sijawahi kufuatilia kwa ukaribu kazi za huyu jamaaa anapotembelea wakulima hadi nilipoona akaunti ya wizara ya kilimo huko Tiktok.
Kiukweli HUSEIN BASHE anafanya kazi nzuro sana ya kuwanyanyua wakulima! Ni vile tu Awamu ya TANO ilivuruga mifumo mingi sana hadi kwenye kilimo na hii inapelekea...
Sijawah kufuatilia kwa ukaribu kazi za huyu jamaaa anapotembelea wakulima hadi nilipoona akaunti ya wizara ya kilimo huko Tiktok.
Kiukweli HUSEIN BASHE anafanya kazi nzuro sana ya kuwanyanyua wakulima! ni vile tu Awamu ya TANO ilivuruga mifumo mingi sana hadi kwenye kilimo na hii inapelekea...
Habari zenu.
Hakuna kitu kibaya kama unafiki, viongozi wengi nchi hii hufanya kazi kwa maelekezo, na kufuata namna ya kumuiga boss wake au kanuni za boss, hata Rais Hassan angekuwa waziri katika Serikali ya Magufuli tungemuona kwa taswira tofauti.
Wivu na husda za kijinga na kipumbavu ndio...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na watumishi katika balozi waendelee kufanya tathmini ya fursa za kiuchumi ambazo Tanzania inaweza kupata kutokana na ushirikiano wa kidiplomasia kwenye nchi walizopo.
Amesema ni vema balozi hizo zikaanzisha majukwaa ya kiuchumi yatakayowakutanisha...
Kichwa cha habari cha jitosheleza ,wananchi wa makole D center halmashaur ya jiji walihamisha kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali.
Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena serikali...
Hakuwa waziri mkuu wa kwanza, Ila cha ajabu ndio waziri mkuu anayeenziwa kuliko wote hebu tazama,
1. Uwanja wa sokoine mbeya
2. Sokoine University of agriculture
3. Sokoine road Arusha/Dar es salaam
4. Sokoine secondary
5. Sokoine regional refferal hospital lindi
6. kituo cha afya sokoine...
Naomba sana Jamii forums Uzi huu ikiwezekana ufikishwe Kwa ofisi ya waziri mkuu,
Tar 4 mwezi November 2022 waziri mkuu akizindua zoezi la ugawaji vishikwambi namnukuu, "kila mwalimu apate kishikwambi, idadi ya walimu tunaijua na idadi ya vishikwambi tunaijua!"
Kumbe bhana ni kama Ile kauli ya...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza watumishi wa Halmashauri ya Wilaya Mlele wahamie mara moja kwenye nyumba 11 zilizokuwa za wajenzi wa Barabara ya Inyonga-Mlele na kukabidhiwa kwa halmashauri hiyo.
Watumishi ambao ameagiza wahamie kwenye nyumba hizo ni Afisa Usalama wa Wilaya (DSO), Kamanda...
Siye wajuvi wa masuala ya ujenzi tulionya na kuonya, tukaambiwa tunatetea ulaji wetu.
Kuna wawakilishi wetu tuliwatuma hadi Bungeni kupinga Force Accout , lakini walibezwa kuwa makandarasi ni mafisadi wa fedhe za umma.
Sasa kazi nyingi zilifanywa kwa spidi kubwa kwa kumtumia fundi Maiko.
Madudu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.