waziri wa elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ngongo

    Waziri wa Elimu anasimamia asichokiamini? Mwanae anasoma English Medium

    Heshima sana wanajamvi, Tanzania pengine ni nchi pekee duniani yenye maajabu yasiyoweza kulinganisha au kufananishwa na nchi nyingine. Ni jambo la ajabu waziri wa elimu msimamizi wa elimu yenu na mustakabali wetu wa siku zijazo.Waziri wetu huyu watoto wake hawasomi katika shule za umma,wapo...
  2. MR TOXIC

    Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako hana kosa lolote anahukumiwa kimakosa

    Nimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma mheshimiwa Mtaka kuhusu kuanzisha makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi. Katika mjadala huo nimesikitishwa sana na maoni ya wadau mbali mbali wanaomnyooshea kidole Waziri wa Elimu Prof...
  3. Meneja Wa Makampuni

    RC Antony Mtaka kumsema Waziri mbele watoto umekosea. Kama watoto wakimdharau, watamheshimu nani?

    RC Antony Mtaka kama watoto wakimdharau Waziri wetu je watamheshimu nani kumsema Waziri mbele ya watoto umekosea. Hiyo sio nidhamu waziri yupo juu yako huwezi kumsema na kuwakataza watoto wasifuate maagizo yake. Kama ulikua na nia hiyo ungesubiri umwambie kwenye mkutano wa viongozi wa serikali...
  4. L

    Dodoma: RC Antony Mtaka amchana Waziri wa Elimu kuhusu mwisho wa Watoto kusoma kuwa ni saa tisa

    Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma. Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school. Sikiliza audio hapo. Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu. Ndalichako...
  5. L

    Waziri wa Elimu kwanini sheria ya bodi ya mkopo ina ubaguzi?

    1.Ilipoanzishwa VRF 6% mwaka 2013 ikatumiwa kwa wote hata wale waliokopa kabla ya 2013. 2. Ilipoanzishwa makato 15% mwaka 2016 ikatumika kwa wote hata wale waliokuwa wanakatwa kabla ya 2016. 3. Ilivyofutwa VRF 1st May 2021 na Rais Samia imeanza kutumika kuanzia mwezi huo huo May 2021. Huku...
  6. The Palm Tree

    Waziri wa Elimu na TAMISEMI, ni sawa Wanafunzi Shule za Serikali kuambiwa waende na dissecting kit na vitabu vya tahasusi?

    1. Mwanangu amechaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita (F. V & VI) mwaka huu 2021 Shule ya Sekondari Nyantakara katika tahususi (Combination) ya Chemistry, Biology & Geography (CBG) iliyoko wilaya ya Biharamulo mkoa wa Kagera. Hii ni shule ya serikali ya Tanzania. 2. Licha ya...
  7. B

    Waziri wa Elimu na Waziri wa TAMISEMI liangalieni hili ni tatizo

    Baadhi ya shule za private wanawasumbua wazazi dakika za mwisho mwisho Mtoto anasoma kidato cha kwanza - cha tatu anapoingia kidato cha nne akipata div two au three anaitwa mzazi anaambiwa amuhamishe mtoto sababu inasemekana shule inataka division one tu ili iweze kuongoza kwenye matokeo ya...
  8. I

    Waziri wa Elimu kama kazi imemshinda ajiuzulu, walimu shule binafsi wanalipwa mishahara finyu na hasemi chochote

    Hata hajui unyanyasaji unaofanya na waajiri shule binafsi na she doesn't bother kujua yeye kutoa matamko tu yasiyotekelezwa. Walimu wanalipwa laki moja au mbili huko private na wanafanyishwa kazi mchana na usiku na hawaruhusiwi kabisa kuoa au kuolewa. Ukioa tu umejifukuzisha kazi. Simu...
  9. CK Allan

    Anthony Mtaka angefaa sana kuwa Waziri wa Elimu

    Huyu mkuu wa mkoa wa Simiyu angefaa sana katika hii wizara. Kwanza sio mpenda kiki za kijinga. Hapendi kabisa walimu waonewe au wadhalilishwe. Ana maono na anajua namna ya kutreat wafanyakazi ili kuboresha Elimu. Mtaka haamini katika Majengo na vifaa pekee. Mtaka Ana amini katika walimu...
Back
Top Bottom