Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’, “hili ni eneo jipya ambalo tunalifanyia kazi, katika bajeti zinazofuata litakuwa ingizo jipya. Mataifa mengi yanageukia kodi hii.”
Kazi na iendelee!
Hizi wizara mawaziri mnazibumunda sana na kuzichechemesha. Kama umekaa na jopo lako la kitaalamu la kikodi na ukaja na uteuzi wa samatta, kumwembe sijui na mobeto kuwa waelimishaji rika wa kodi unapoteza kani na sijui hii itakusaidia vipi kuongeza wigo na mapato ya kodi.
Kama ni matakwa yako...
Haya Mwenzenu huyu ( tena Waziri ) na Mfadhili wa Kujificha Mwigulu Nchemba kasema hivi nyie ni nani mumkatalie?
Chanzo: TBC1 Bunge Live hivi punde tu.
Kuna kitu ambacho sikielewi kwa hawa viongozi wetu hususani katika Muhimili wa Bunge, hawa wabunge hawalipi kodi yoyote katika posho zao na wanapokea posho nyingi tu ambazo hazina makato.
Lakini cha ajabu wanapopewa jukumu la kubuni vyanzo vya mapato kwao uwa ni mtihani mkubwa sana japokuwa...
DKT MWIGULU, WAZIRI WA FEDHA NINAOMBA UFAFANUZI KIDOGO JUU YA MAKATO YA VOCHA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Kwanza Mhe Waziri nikupongeze kwa hotuba YAKO nzuri ya Bajeti. Mimi si mchumi, lakini niliisikiliza na nimeisoma nimeona ni bajeti ambayo inagusa maisha halisi ya Mwananchi. Ni bajeti...
Mh waziri ukweli ni kwamba Mh Zungu anakudanganya utarudisha huo uwaziri kwa mama siku zinahesabika.
Hivi wewe Mwingulu na PhD yako ni wa kuokota mawazo ya kijinga ya Zungu? Uzalendo haupimwi kwa kulipa tozo za kuumizana,
Mh waziri ivi hiyo Kodi itakayo tozwa pindi nitakapokuwa naingiza vocha...
Hii tabia ya kuanza kufanya uchambuzi wa kuwalinganisha viongozi wetu wakuu naona ingali bado inaendelea, binafsi nilimsikia Mhe. Rais mara kadhaa akikemea jambo hili lakini bado kuna watu tena wateule wa rais wanaendelea na hii tabia
Uwaziri ni cheo cha heshima sana sasa inakuwaje mtu anaacha...
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Nchemba leo Juni 10, 2021 katika Bunge la Tanzania jijini Dodoma saa 10:00 jioni anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/2022.
Hii inakuwa bajeti ya kwanza kwa serikali ya awamu ya Sita na Waziri...
Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba amesema licha ya kutekeleza majukumu, Wizara hiyo imekumbwa na changamoto mbalimbali
Akiwa Bungeni, ametaja baadhi kuwa ni ugumu wa kutoa viwango stahiki vya fidia kwa waaathirika wa ajali za mali za Serikali kutokana na kukosekana #Sheria/Mwongozo wa...
Waziri Mkuu aliiibua matumizi mabaya ya fedha za Umma katika Wizara ya fedha. Kiasi cha shilingi Bilioni 2 na ushee, zililipwa ndani ya watumishi wa Wizara husika isivyo halali.
Waziri aliagiza Mkurungezi wa TAKUKURU kuchunguza, na aliwataja watumishi 9 kusimamishwa kazi wakisubiri uchunguzi wa...
Leo Bungeni, Mbunge wa Vunjo ameuliza swali lililoanzia kwenye misamaha ya kodi kwenye taasisi za dini ambapo Waziri Mwigulu alisema Taasisi za dini zinazofanya shughuli za kiuchumi kwa lengo la kujipatia faida zinatakiwa kusajiliwa na TRA kama wafanyabiashara wengine na kulipa kodi ya mapato...
Tanzania yetu ya watanzania ina Watanzania wenzetu ambao ni viongozi wa ajabu Sana katika utendaji wao wa shughuli za kila siku.
Huwezi kuwajua misimamo yao imesimamia wapi Wala ukitazama vision yao kwa Taifa ni kinyume na matarajio na matakwa yao katika utumishi wao.
Leo unaweza kuwa na...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdory Mpango leo Mei 04, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Mwigulu Nchemba.
Viongozi hao walifanya mazungumzo hayo kufuatia ziara iliyofanywa na Dkt Mwigulu ofisini kwa Dkt Mpango Ikulu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.