Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo; hii ni kufuatia changamoto zilizobainika katika uingiaji mikataba ya utoaji wa misaada ya kiufundi kati ya wamiliki wa leseni ndogo za uchimbaji madini na raia wa...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko atazindua Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini Geita yaliyoanza Oktoba 2, 2024 kwenye viwanja vya Bombambili mkoani Geita.
Akizungumza katika Banda la Tume ya Madini Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine...
ANTHONY MAVUNDE, WAZIRI WA MADINI, TANZANIA
Mwaka jana mwezi Septemba, nilifanya kikao na Taasisi za Fedha na Benki zote nchini chini ya mwamvuli wa Taasisi ya Umoja wa Benki nchini (TBA).
Madhumuni ya kikao kile ilikuwa ni kujadiliana kwa pamoja namna nzuri ya kuifikia sekta ya madini kwa...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini, unaotarajiwa kufanyika Dar es Salaam Novemba 19 hadi 21, 2024.
Amebainisha hayo leo Agosti 21, 2024, katika...
Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Kampuni mbalimbali za uchimbaji na uchakataji madini inatarajia kuanzisha miradi mikubwa ya kimkakati itakayohusisha mnyororo mzima katika Sekta ya Madini.
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema kuwa Wizara ya Madini inaahidi kuchukua hatua mbalimbali ili...
Hayo yamesemwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde mkoani Shinyanga katika Kijiji cha Mandu, machimbo ya Ntambalale Wilayani Kahama alipotembelea kwa lengo la kutatua changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo.
Amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kuhakikisha kero zote zinazowakabili...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, tunakuomba upitie ,ufuatilie leseni ya utafiti wa Dhahabu ambayo imekwisha muda wake PL 6973/2011.
Leseni hii Mama yetu na Rais wetu Dkt. Samia, alisema ni eneo la wachimbaji wadogo huu ni mwaka wa tatu.
Kwanini haifutwi ili kuruhusu wachimbaji wadogo...
Leo ninatuma namba ya gari nikijiamini kuwa gari hiyo inamilikiwa na Tume ya madini.
Huko gari liliko Kila siku linatumika kukusanya rushwa na kusumbua wachimbaji wadogo.
Gari Hilo linafanya ukusanyaji wa rushwa usiku na mchana, siku za kazi na siku za sikukuu.
Bosi wa Tume ya madini Chunya...
Kuna kilio kikubwa sana sana kwa wachombaji wadogo maeneo ya songwe na chunya.
Kilio hiki kinasababishwa na watumishi wa tume ya madini kuomba maombi ya leseni ndogo za wachimbaji wadogo ndani ya maombi ya leseni iliyokwishwa kuombwa ili ukilipia ionyeshe aliyeomba awali alichelewa kuomba kwa...
Ndugu watanzania, mtajwa hapo juu ni mtumishi wa Serikali ya Tanzania.
Hajulikani aliko, anachokifanya ndani ya Wizara ya Madini tangu ateuliwe na JPM hadi sasa.
Cha kushangaza na kusikitisha nafasi aliyokuwa nayo huko Tume ya Madini, awali ilikaimishwa mtu hadi leo imekaimishwa tena mtu asiye...
Watanzania wenye kuisoma au waliyonayo journal aliyoiandika Doto Biteko (PhD) ninaomba tafadhali.
Thread hii ijibiwe na watu wenye majibu seriously kwani ikikosekana tunataka kuweka jina lake kwenye Orodha ya mafisadi wa Elimu.
Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini.
Huyu jamaa yupo smart sana.
Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini.
Karibuni kutoa hoja
Aliyekua mbunge machachari na mwanasiasa mwenye maono Godbless Lema amemtakia safari njema Dotto Biteko.
Lema ni moja watu wenye maono makubwa sana kwenye nchi hii, binafsi ninamkubali sana Lema hasa pale alipoamua kulivingirisha jiwe.
Lema amemwambia Dotto Biteko kuwa zamu yako imefika, wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.