waziri wa madini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa madini, tunaomba ufafanuzi kuhusu uhalali wa uongozi wa FEMATA! Ukizingatia kuwa FEMATA haina katiba

    Mheshimiwa Waziri wa Madini, Kuna maswali mazito yanayohitaji majibu kuhusu uendeshaji na uhalali wa uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA). Inadaiwa kuwa FEMATA inaendeshwa bila Katiba inayotambulika na wanachama wake, huku uhalali wa uongozi wake wa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Madini, Tusaidie Wachimbaji: Tulilipia Safari ya Canada, Hatujasafiri Wala Kurejeshewa Fedha

    Naomba kupaza sauti kuhusu suala linalotukabili baadhi ya wachimbaji walioshiriki katika mchakato wa safari ya Canada kupitia Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA) kwa lengo la kwenda kujifunza, wamekula fedha zetu na hawataki kuzirejesha. Washiriki tulitoa fedha...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini: Ni marufuku kwa mtu asiye Mtanzania kusambaza bidhaa au huduma zilizotangazwa kufanywa na Watanzania

    Waziri wa Madini Anthony Mavunde akiwasilisha Taarifa ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo Aprili 27, 2026 Bungeni Dodoma, amesema: "Tume ya Madini itaendelea kutekeleza na kuhakikisha kuwa kampuni zinazomiliki leseni za madini zinanunua bidhaa na huduma...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Madini tuma timu ifuatilie utendaji wa Kampuni ya Madini Musoma Vijijini inanyanyasa Wafanyakazi

    Ombi kwa Waziri wa Madini kuna kampuni ya uchimbaji dhahabu ipo Musoma Vijijini, Kijiji cha Kwitope inaitwa GDM, haitendi haki kwa sisi wafanyakazi, mshahara ni shida, mikataba ya ujanja, mtu hapewi stahiki zake kwa wakati akiondolewa kazini. Pia kuna kauli mbovu kwa wafanyakazi, watumishi wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Msasa Gold Mine: Wachimbaji tumechoka unyonyaji. Kuna kiongozi anatamba akidai ana kinga ya Waziri wa Madini

    Mimi ni Mwekezaji mdogo kwenye sekta ya uchimbaji (mchimbaji mdogo) kuna mazingira ya unyonyaji na uonevu unaoendelea kwenye Mgodi wa Msasa Gold Mine kwenye Mji wa Runzewe ambao umefumuka au kuibuka kipindi cha Uchaguzi Mkuu 2025, ukiwa unaendeshwa kama rush. Awali, baada ya uvumbuzi wa...
  6. PAYE

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Madini, Kiruswa: Hatutaondoka mpaka tuhakikishe watu wote 25 waliokwama chini wametoka salama

    Naibu Waziri wa Madini Stephen Kiruswa amesema watu 21 bado hawajaokolewa kwenye mashimo ya uchimbaji wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Nyandolwa kijiji cha Mwongozo ambayo yametitia, huku mmoja kati ya wanne waliookolewa, Emanuel Kija (27) akifariki dunia. Naibu Kiruswa ameyasema hayo jana...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Dondoo za Aliyoyasema Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde katika Mkutano na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Mei 24, 2025 Jijini Dar es Salaam

    1. Ongezeko la Bajeti – Bajeti ya Wizara ya Madini imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka. Kutoka shilingi bilioni 89 mwaka wa fedha 2023/2024 hadi shilingi bilioni 231 kwa mwaka 2024/2025. Kwa mwaka ujao wa fedha 2025/2026, tumeidhinishiwa bajeti ya shilingi bilioni 224. Asilimia kubwa ya bajeti...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Waziri wa Madini, Mh. Anthony mavunde kutokana na mkutano na wanahabari leo

    Ndugu Waziri Mavunde, Salaam.. Nimefuatilia mkutano wako na wanahabari, najaribu kuweka yatokanayo.. 1. Itafaa sana wakati mwingine kwa mikutano km hii iandaliwe kwa staili ya hybrid kuongeza ushiriki na pengine uwezekano wa kupata michango bora zaidi, km kweli mna lengo la kuongeza...
  9. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Simiyu NRNE: Waziri wa madini anatokea Dodoma, hii imekaaje?

    Salaam! Hii nimeipata kwenye hotuba ya CHADEMA mkoani Simiyu kwenye operation ya NRNE kwamba Waziri wa madini atokea Dododomma kusiko na madini yoyote zaidi ya kilimo Cha karanga. Haya ameyasemea Simiyu kanda ya Ziwa, Ndugu Deo Mahilinya, Amedai Tanga kuna mawaziri watano, iweje kanda ya Ziwa...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini, agoma kufuta Leseni za Utafiti (PL )Mkoa wa Mbeya, Wilaya ya Chunya, zilizo kwisha muda wake miaka 10 iliyopita

    Waziri wa Madini, tunapozungumzia suala la leseni za utafiti wa madini (PL) katika Mkoa wa Mbeya, hususan Wilaya ya Chunya, kuna mambo kadhaa ya kuzingatia. Kwanza, ni muhimu kufahamu kwamba kuna leseni zaidi ya 20 ambazo zimeisha muda wake, hazijalipiwa, na zina wachimbaji wadogo waliotengewa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Mkutano wa Waziri wa Madini na vyombo vya habari Mei 15, 2025

  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini Anthony Mavunde: Marufuku kumwingiza mgeni mwenye leseni ndogo

    Waziri wa Madini, Mhe. Antony Mavunde, amesema ni marufuku kwa mtu yeyote mwenye leseni ndogo ya uchimbaji wa madini kumwingiza mgeni au mchimbaji mwingine asiyehusika moja kwa moja na leseni hiyo. Akizungumza Aprili 24, 2025 jijini Dodoma katika hafla ya "Kurasa 365", Mhe. Mavunde amesisitiza...
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri wa madini: Miradi yote Mikubwa na ya Kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni ianze utekelezaji wake mara moja

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameagiza Miradi yote Mikubwa na ya Kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni kuanza utekelezaji wake mara moja ili kuchochea ukuaji wa sekta na kuleta manufaa kwa taifa kwa ujumla na kutimiza azma ya Serikali kutoa leseni hizo. Mavunde ametoa maagizo...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri wa madini apiga marufuku wageni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo

    Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo; hii ni kufuatia changamoto zilizobainika katika uingiaji mikataba ya utoaji wa misaada ya kiufundi kati ya wamiliki wa leseni ndogo za uchimbaji madini na raia wa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini kuzinduliwa na Waziri wa Madini Geita

    NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko atazindua Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini Geita yaliyoanza Oktoba 2, 2024 kwenye viwanja vya Bombambili mkoani Geita. Akizungumza katika Banda la Tume ya Madini Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Taasisi za Fedha na Waziri wa Madini, Mavunde

    ANTHONY MAVUNDE, WAZIRI WA MADINI, TANZANIA Mwaka jana mwezi Septemba, nilifanya kikao na Taasisi za Fedha na Benki zote nchini chini ya mwamvuli wa Taasisi ya Umoja wa Benki nchini (TBA). Madhumuni ya kikao kile ilikuwa ni kujadiliana kwa pamoja namna nzuri ya kuifikia sekta ya madini kwa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini: Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji utaleta fursa mpya za uwekezaji na uhamishaji wa Teknolojia

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini, unaotarajiwa kufanyika Dar es Salaam Novemba 19 hadi 21, 2024. Amebainisha hayo leo Agosti 21, 2024, katika...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini: Serikali itachukua hatua kuhakikisha Kampuni zinakamilisha ulipaji wa fidia kwa Wananchi

    Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Kampuni mbalimbali za uchimbaji na uchakataji madini inatarajia kuanzisha miradi mikubwa ya kimkakati itakayohusisha mnyororo mzima katika Sekta ya Madini. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema kuwa Wizara ya Madini inaahidi kuchukua hatua mbalimbali ili...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini: Serikali itatunga Kanuni za kushughulikia migogoro Wamiliki wa Leseni na wenye maduara

    Hayo yamesemwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde mkoani Shinyanga katika Kijiji cha Mandu, machimbo ya Ntambalale Wilayani Kahama alipotembelea kwa lengo la kutatua changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo. Amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kuhakikisha kero zote zinazowakabili...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini, Anthony Mavunde utaifuta lini Leseni ya utafiti PL 6973/2011 ambayo imekwisha muda wake?

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, tunakuomba upitie ,ufuatilie leseni ya utafiti wa Dhahabu ambayo imekwisha muda wake PL 6973/2011. Leseni hii Mama yetu na Rais wetu Dkt. Samia, alisema ni eneo la wachimbaji wadogo huu ni mwaka wa tatu. Kwanini haifutwi ili kuruhusu wachimbaji wadogo...
Back
Top Bottom