CHADEMA Simiyu NRNE: Waziri wa madini anatokea Dodoma, hii imekaaje?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Hii nimeipata kwenye hotuba ya CHADEMA mkoani Simiyu kwenye operation ya NRNE kwamba Waziri wa madini atokea Dododomma kusiko na madini yoyote zaidi ya kilimo Cha karanga.

Haya ameyasemea Simiyu kanda ya Ziwa, Ndugu Deo Mahilinya, Amedai Tanga kuna mawaziri watano, iweje kanda ya Ziwa isahaulike?

Kumbe hii operation ya NRNE ina mengi, tuendelee kufuatilia.

Karibuni 🙏
 
Hapo nawakosoa chadema

Study zinaonyesha dodoma kuna uranium ambayo ila haichimbwa

Wangesema kwenye uwaziri apo sawa

Mawaziri wengi ni wale wenzetu kwa sasa😁😁
 
..humo ndani bungeni kuna Prof. Muhongo, Prof. Manya very respected individuals kwenye tasnia ya madini, halafu unampa mtu uwaziri wa madini kwanza s very junior kulingana na majukumu ya hiyo nafasi na vile alivyo tu s a dull person, hawezi kufanya lolote..nchi ina rasilimali kubwa ya madini lkn hatuna teknolojia ya kutuambia aina ya madini yaliyopo nchini na kwa kiasi gani..mfano kuna chuma sehemu kadhaa za nchi siyo ile ya liganga sijui mchuchuma, nimewahi kuona study report ya mzee mmoja alifanya kazi na Mwadui williamson Diamond wakati huo miaka ya 50 walifanya utafiti na kuona kuna maeneo chuma ipo tena kwa wingi, though siyo km hiyo ya liganga lkn inafaa kwa matumizi mbali mbali ya chuma, watu bado wamelala, kila siku liganga mwisho itakuwa ligenge!
Tanzania inaharibiwa na wastaafu waliokuwa viongozi..nchi imeachiwa watu wajinga wajinga kule tiss ambao kwa sasa wengi ni under age kutuamulia kila kitu..wao wanataka watu dull km mavunde, ulega, biteko, jafo sabab ni rahisi kushika masikio na kupeleka unakotaka!
 
Tanzania inaharibiwa na watu wa aina mbili, wastaafu waliokuwa viongozi..nchi imeachiwa watu wajinga wajinga kule tiss ambao kwa sasa wengi ni under age kutuamulia kila kitu..wao wanataka watu dull km mavunde, ulega, biteko, jafo sabab ni rahisi kushika masikio na kupeleka unakotaka!
Huyo profesa muhongo hakuwahi kuwa waziri?? ameacha legacy gani wakati wa kipindi chake??
 
Hii inaonesha ni kiasi gani chadema kuna ma-bogus, kwamba waziri wa madini sharti atokee mkoa wenye madini
 
Huyo profesa muhongo hakuwahi kuwa waziri?? ameacha legacy gani wakati wa kipindi chake??
..legacy kwenye kundi la wenye hila za kukwamishana? hakupewa muda na nafasi atengeneze agenda za wizara kwa manufaa ya nchi, lkn ni mtu mwenye maarifa mengi na hajatumika vile inatakiwa.
 
..humo ndani bungeni kuna Prof. Muhongo, Prof. Manya very respected individuals kwenye tasnia ya madini, halafu unampa mtu uwaziri wa madini kwanza s very junior kulingana na majukumu ya hiyo nafasi na vile alivyo tu s a dull person, hawezi kufanya lolote..nchi ina rasilimali kubwa ya madini lkn hatuna teknolojia ya kutuambia aina ya madini yaliyopo nchini na kwa kiasi gani..mfano kuna chuma sehemu kadhaa za nchi siyo ile ya liganga sijui mchuchuma, nimewahi kuona study report ya mzee mmoja alifanya kazi na Mwadui williamson Diamond wakati huo miaka ya 50 walifanya utafiti na kuona kuna maeneo chuma ipo tena kwa wingi, though siyo km hiyo ya liganga lkn inafaa kwa matumizi mbali mbali ya chuma, watu bado wamelala, kila siku liganga mwisho itakuwa ligenge!
Tanzania inaharibiwa na wastaafu waliokuwa viongozi..nchi imeachiwa watu wajinga wajinga kule tiss ambao kwa sasa wengi ni under age kutuamulia kila kitu..wao wanataka watu dull km mavunde, ulega, biteko, jafo sabab ni rahisi kushika masikio na kupeleka unakotaka!
Ukiangalia picha kubwa ni kuwa mawaziri wengi walioteliwa ni wale mama anaowamudu na wale wanaoweza kufuata maelekezo kutoka msoga

Hakuna jipya kitakachofanyika

Mawaziri wa sasa kazi yao ni kusoma.bajeti tu wanaobuni na kuamua ni ile cartel alioisema polepole
 
..sio anaowamudu mama, mama haamui kitu chochote, ni wale tiss wanaweza kuwamudu kupindisha pindisha mambo.
 
Huyo profesa muhongo hakuwahi kuwa waziri?? ameacha legacy gani wakati wa kipindi chake??
Zero tarrif ameiasisi akiwa Tannesco.

Kwenye madini ndio usiseme.

Kile kichwa kiache tu, sasa Dodoma Pana madini gani?
 
Back
Top Bottom