waziri wa maliasili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ntobi: Waziri wa Maliasili na utalii ajiuzulu kufuatia mauaji ya kijana yaliyotokea Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro

    ACT Wazalendo tunalaani vikali matukio yaliyoota mizizi ya askari wa hifadhi mbalimbali nchini kufanya vitendo vya kinyama kwa raia na wananchi ikiwa ni pamoja na kuwatesa, kuwadhalilisha na kuwaua kikatili. Tukio la Agosti 12, 2026 katika Hifadhi ya Ngorongoro ni uthibitisho wa matukio mengi ya...
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji akiwasili katika Ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Ashatu Kijaji akiwasili katika Ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii zilizopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma na kupokelewa na Menejimenti na watumishi wa Wizara hiyo baada ya uapisho wake tarehe 18, Novemba 2025.
  3. D

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Safisha safisha Ngorongoro Awamu ya II: Makonda kupewa Maliasili na Utalii

    Mpango wa muda mrefu ni Makonda kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Kupelekwa kwake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na baadaye “kutengenezwa” kuwa Mbunge wa Arusha haikuwa bahati mbaya. Niwape tu taarifa Wamasai hasa wale mliokuwa mkifika kula nyama za Makonda kwenye matamasha yake: Inakuja...
  4. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili: Nani karuhusu jamii hii irekodiwe na wageni? Wanalipwa? Inatuchafua sana

    Ndugu Waziri Salam, Kuna video za jamii ya Wahadzabe zinazoishi maisha ya kijima porini, na ni jamii "duni" kulingana na mfumo wa maisha wa kisasa. Lakini kwa bahati mbaya sana, kuna wageni wenye asili ya Asia wamekuwa waki record mtindo wao wa maisha na ku label kama Watanzania. Ni video...
Back
Top Bottom