Wakati tunapokea taarifa za uteuzi wa Uwaziri wako bwana January Makamba, watu wengi tuliamini kuwa wewe ndiye utakaye leta mageuzi makubwa sana kwenye Wizara yako. Lakini nasikitika kuona kuwa matarajio tuliyo kuwa nayo kwako yamepotea.
Ulipoteuliwa tu na kuapishwa ulionesha mwelekeo kwamba...
Ndiyo,
Napitia michango mingi kutokea mitandaoni, karibu Mitandao yote inayotumiwa na watanzania,
Wengi wao hawataki uongozi wa Waziri Makamba, ni kwa nini?
Mawaaziri ni wengi, lakini kwa nini iwe ni Makamba pekee asiyetakiwa na watanzania wengi?
Hata hivyo, wizara hii anayoiongoza, mawaziri...
Hii ni aibu kubwa sana badala ya kudili na taifa letu kuwa na uzalishaji mwingi na wa uhakika ili umeme ushuke bei na sekta binafsi iweze kukua kwa uzalishaji kuongezeka. Waziri wa nishati anawakatisha tamaa sekta binafsi na kutamka bila aibu mgao utakuwepo .
Kama njia za kusafirisha umeme...
Ndugu Waziri wa Nishati, mheshimiwa Januari Makamba, ninakuandikia kwa masikitiko makubwa juu ya KERO YA UMEME wilayani Nkasi. Umeme unakatika mara kwa mara isivyo kawaida. Ni kero. Biashara za watu zinazotumia Nishati hii muhimu zimedorora na nyingine zimefungwa kabisa. Vifaa vingi vya umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.