waziri wa ujenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Waziri wa Ujenzi una Wizara kubwa mno, sina hakika kama unaimudu

    Waziri wa Ujenzi una wizara kubwa mno, sina hakika kama unaimudu. Enzi hizo wizara hiyo ndiyo ilimtoa Hayati Magufuli mpaka kufikia kujulikana utendajikazi wake kwa Watanzania. Wizara yako inabeba ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji, usimamizi wa TEMESA, TBA, TAA, TANROADS, magari yote ya...
  2. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    Hivi ni kweli tuna Waziri wa Ujenzi? Maana hoi barabara ya Mbagala Mwendokasi ni hatarishi

    Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio. Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA. Tunaomba wafike saiti waangalie.
  3. Mudawote

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kusanya mapato kupitia malori yenye Uchanja

    GTs, Serikali kupitia wizara ya uchukuzi iweke amri Malori yote yenye uchanja yawekewe vyuma vya kuzuia makontena kuanguka kutoka kwenye uchanja wake. Tena hii kitu inaweza fanyika kupitia Temesa, fanya kila gari ikawekewa kingo 8@250,000 mara Malori yaliyopo mfano milioni mbili mapato jumla...
  4. J

    Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi (Zanzibar) afanya mazungumzo na uongozi wa Posta Zanzibar

    WAZIRI WA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI (ZANZIBAR) AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA POSTA ZANZIBAR Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali(Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Meneja Mkaazi wa Shirika la Posta Tanzania (Zanzibar)...
  5. masopakyindi

    Prof. Mbarawa arudi kuwa Waziri wa Ujenzi, tutegemee nini katika sekta hii?

    Ama kweli dunia tambara bovu. Prof Makame Mbarawa siyo siri, ni adui mkubwa wa Makandarasi katika sekta zote za Ujenzi na hata hapo mwisho Maji. Mbarawa ni kama mtu wa kisirani na mara nyingi hana focused objectives. Tutegemee nini sasa sekta hii ya ujenzi maana huku mwishoni aliwaita...
  6. Mpinzire

    Executive Agencies Act No 30 inaelekeza Mtendaji Mkuu wa Tanroads kuteuliwa na Waziri wa Ujenzi na sio Rais

    Kwa mujibu wa sheria ya wakala wa serikali (Excutive Agencies Act No 30) ya mwaka 1997 na marekebisho yake ya mwaka 2009 inamtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kumteua mtendaji mkuu wa Tanroads . Nimeambatanisha hapa chini sasa sijui Mh Rais Samia Suluhu Hassan imekuwaje mpaka kumteua mtendaji...
  7. D

    Waziri Ujenzi tazama kasi ya ujenzi wa barabara ya bandari Dar, ikiwezekana wajenge usiku na mchana

    Barabara inayopitia bandarini dar iko katika ujenzi! Lakini kasi ya ujenzi iko taratibu sana! Hili linawagusa pia mamlaka za usimamizi kwa kushindwa kumuelekeza mkandarasi umhimu na uharaka wa barabara hiyo kiuchumi! Haiwezekani barabara kama ile ambayo ni lango la kuu la mizigo kimataifa...
Back
Top Bottom