waziri wa viwanda na biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania KERO Maafisa wa Biashara Kata ya Majohe Pugu wanatunyanyasa Wafanyabiashara

    Wafanyabiashara wa Kata ya Majohe tunalalamikia vitendo vinavyofanywa na baadhi ya maafisa biashara wa kata hiyo, ambavyo tunaviona kuwa vya unyanyasaji na vinavyoathiri shughuli zetu za kibiashara. Mfanyabiashara anaweza kuwa na leseni halali ya biashara aliyolipia, lakini afisa kutoka kata...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Kapinga azindua Kitabu cha Muongozo wa gharama na upangaji sahihi wa bei za Kei

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga(Mb), Leo Oktoba 3, 2026, amezindua Kitabu cha mwongozo wa upangaji bei za keki kilichoandaliwa na mmoja wa wajasiriamali hapa nchini bi Tahya au Leymax, ambapo amempongeza Leymax kwa kutoa mchango kwa wajasiriamali wengi hapa nchini.
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mwigulu apendekeza Waziri wa Biashara awe na mamlaka ya kuainisha biashara ambazo hazipaswi kufanywa na wageni

    Wakuu, Mwigulu naona suala la Wachina ameamua kulivalia njuga, akiwa bungeni leo amependekeza hoja ifuatayo: "Kuongeza kifungu cha 8 kifungu kioengele cha 7 ambacho kinampa mamlaka Waziri mwenye dhamana ya Viwanda na Biashara kuainisha shughuli za Biashara ambazo hazipaswi kufanywa na wageni...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Waziri Suleiman Jafo aiagiza idara ya uhamiaji kuanza mara moja operesheni maalum ya kuwaondoa wafanyabiashara haramu wa kigeni Kariakoo

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Suleiman Jafo, ameagiza kuanza mara moja kwa operesheni maalum ya kuwaondoa wageni wanaofanya biashara kinyume na taratibu katika soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam. Soma pia: Waziri wa Biashara Selemani Jafo aunda kamati kwa ajili ya kuchunguza utitiri wa...
Back
Top Bottom