waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko, yatie chachu Maharage ya Chande yachache haraka

    Salaam, hongera Kwa Uchapakazi murua. Twende haraka kwenye mada. Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, bado Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale. Naamini wewe ni mmoja wa viongozi ambao hawajavimbiwa. Sikulazimishi, ila nakushauri, wafukuze wote waliotukera...
  2. JamiiForums Tanzania Salamu za Mch. Mbarikiwa Mwakipesile kwa Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu

    Keypoints: Biteko amechaguliwa kusaidia kukisafisha chama cha CCM kwani kina makandokando mengi sana. Biteko ni mtu muadilifu na muungwana na hajikwezi kama wengine. Kama waziri wa nishati, Biteko aangalie maeneo 2 ya msingi ambayo ndiyo chimbuko la matatizo yote, bei ya mafuta na upatikanaji...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waziri Mchengerwa amefanya kazi nzuri sana, sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi

    Rais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza. - "Kwa mfano Mchengerwa nilipompeleka utumishi mwanzo kaingia na kasi kelele...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Dola sio hela yetu kwani hatuizalishi wala Hatuprint. Tuna akiba ya Dola Bilioni 5.2

    Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amezungumzia kuhusu Mjadala wa Dola kuadimika unaoendelea Nchi. Amesema watu inabidi watambue kwamba Dola sio hela yetu bali tunaipata pale tunapopata Mkopo, Msaada, tunapouza bidhaa ama Huduma nje ya Nchi ndo tunapata Dola. Sera za kifedha za Marekani...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI Naibu Waziri Mkuu amewekwa ili kuzuia kuvunjwa Baraza la Mawaziri

    Kwa kawaida inafahamika kwamba ikitokea Waziri Mkuu amejiuzulu, na Baraza zima la Mawaziri linavunjwa. Swali langu ni kwamba, Ikiwa Waziri Mkuu atajiuzulu na wakati huo pakiwa na Naibu Waziri Mkuu, Je Baraza la Mawaziri litavunjwa ama halitovunjwa kwasababu tayari patakuwa na Naibu Waziri Mkuu?
  6. JamiiForums Tanzania Nini kimejificha kwenye Uteuzi wa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu? Nini maana yake kihistoria na upi mwelekeo wa Nchi baada ya Uteuzi huu?

    Baada ya kufatilia mjadala huu kwa ukaribu Sana na kuona wengi Wakitoa Presidential Decree mbalimbali zinazolindwa na katiba nimeona sio vibaya kama na mimi nitakuja na Historia kwa sababu historia huwa haidanganyi na ndio suluhisho Lini Hiki cheo kilikuwepo na watu walioteuliwa,Na nani...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwa ujio wa Jerry Silaa Wizara ya Ardhi, Open Spaces zitakiona cha Moto

    Jana kumefanyika mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika mojawapo ya Wizara iliyoguswa ni Ardhi ambayo Jerry Silaa ameteuliwa. Nipende kusema kwa ushahidi pale tumepigwa. Namfahamu vizuri ndugu Waziri tangu akiwa Meya hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji Bungeni. Jamaa ni mtu wa dili...
  8. JamiiForums Tanzania Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana

    Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo.... Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii... Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date. Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda Waziri mkubwa akaachia ngazi wakati wowote

    Kadiri ya joto la kisiasa linavyopanda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao. Nia...
  10. JamiiForums Tanzania Ibara ya 36 inapaswa kumfunga Rais na kumpokonya mamlaka ya kuanzisha na kufuta nafasi za madaraka katika utumishi

    “Naibu Waziri Mkuu” Ali Hassan Mwinyi akiwa Rais wa JMT, alilazimika kuteua Waziri Mkuu kutoka bara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Mwl. J.K Nyerere. Katiba ilielekeza ikiwa Rais atatoka Zanzibar Waziri Mkuu atatoka Tanganyika na ndiye atakayekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Muungano...
  11. JamiiForums Tanzania Kikatiba Rais Samia yuko sahihi kumteua Naibu Waziri Mkuu

    Nawasalimu Waungwana wa JF, Mwanzo mwanzoni nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uhai na afya anazotujalia hata kuendelea kupashana habari za hapa na pale kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JamiiForums. Hivi punde, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

    Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa? Kwa miaka 3 hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu...
  13. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake? Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro - Zaidi ya Asilimia 50 ya Watanzania Hawaifahamu Katiba

    WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO - ZAIDI YA ASILIMIA 50 YA WATANZANIA HAWAIFAHAMU KATIBA, ELIMU YA KATIBA KUTOLEWA KWA MIAKA MITATU "Kuna tafiti kadhaa zimefanyika na kubaini zaidi ya asilimia 50 ya Watanzania hawaifahamu katiba na wengine wanasema hata hawajawahi kuiona hiyo katiba, hatari yake ni...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Katambi: No Research no right to speak. Hayo ndo majibu ya Waziri kwa wastaafu

    Hayo ndo majibu ya Naibu Waziri wa Kazi na Ajira kuhusu hatima ya kikokotoo kipya kwa wastaafu. Kuwa kafanya utafiti unaoonesha ni kikokotoo bora kuliko cha zamani. Hivyo, wastaafu wafanye utafiti ndo waulize wasilalamike tuu. Mawaziri kama hawa hawatufai katika nchi inayotambua haki na maslahi...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa Maji na Mkuu wa Mkoa tusaidieni Wakazi za Muriet (Arusha) turejeshewe huduma ya maji, mwezi wa pili huu tunateseka

    Sisi Wananchi wa Mtaa wa Agape, Kata ya Muriet Mkoani Arusha tuna changamoto ya kukosa maji kwa muda wa miezi miwili sasa. Licha ya kufanya jitihada za kuwasiliana na mamlaka ya Maji (AUWSA) hatujapata majibu ya kueleweka, hali hiyo imekuwa ikisababisha kero kubwa kwa wakazi wengi wa Agape...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso Amshukuru Rais Samia ukarabati Chuo cha Maji, atoa maagizo mazito

    Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso, amefanya kikao kazi na watumishi wa Chuo cha Maji pamoja na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Miundombinu ambayo mchakato aliuanzisha na Rais Samia kuridhia kutoa fedha na tayari Ukarabati wa Mabweni umekamilika na sasa kazi ya ujenzi wa Maktaba kubwa ya...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Ashatu Aridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi ya WMA.

    Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Aridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi ya WMA. Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameridhishwa na Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) chini ya Mkandarasi kutoka Kampuni ya Mohammed Builders Limited. Dkt. Kijaji amebainisha...
  19. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe Azitaka Taasisi za Wizara Yake Kupanga Mipango Inayotekelezeka

    Naibu Waziri Kigahe Azitaka Taasisi za Wizara Yake Kupanga Mipango Inayotekelezeka Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) ameiagiza Menejimenti ya Wizara na Taasisi zake kuhakikisha Mipango yote inayopangwa kila mwaka inaendana na mwelekeo wa Viongozi Wakuu wa Nchi, Mipango...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro - Zaidi ya Wananchi 250,000 Wamefikiwa na Mama Samia Legal Aid Campaign

    WAZIRI DKT. NDUMBARO - ZAIDI YA WANANCHI 250,000 WAMEFIKIWA NA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema katika utekelezaji wa kampeni inayolenga kutoa msaada na elimu ya kisheria kwa wananchi hasa waishio pembezoni, zaidi ya wananchi 250,000...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…