waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tukimsilibia Waziri Nchemba atumbuliwe na Rais leo hii tunajisikiaje akiendelea Kuaminiwa na kuwa Waziri wa Fedha tu?

    Leo ndiyo nimeamini Wanadamu wanaweza Kukuchukia kwa kila namna na hata Kukuombea Ufe kabisa au Maisha yako yawe Magumu kama yao ( waliyonayo ) ila Mwenyezi Mungu na Malaika wake wakisema HAPANA basi jua ni HAPANA Kweli. Mwenye ule Wimbo niupendao ( jina nimesahau ) wa Zablon Singers aniwekee...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali imefuta Tozo Kwa muamala ya kutuma na sio miamala ya kutoa kama wanavyojinasibu

    Napenda kuwataarifu kuwa Tozo zilizofutwa ni Kwa miamala ya kutuma pesa pekee Mfano umeweka pesa kwa Wakala na umahitaji kufanya transfer kwa nature ya maumala huo Hauna Tozo Ila ukienda Kwa Wakala au Benki kutoa pesa utakatwa Tozo Mfano nimeambatisha makato ya mtu anaetoa 70k Kwa Wakala...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Waziri wa Mambo ya Ndani ashauri Bunge kuruhusu matumizi ya Mirungi, adai haujawahi kuua mtu

    Ni kauli ya Meja Jenerali Mstaafu Kahinda Otafiire, aliyewaomba Wabunge wa Uganda kuondoa bidhaa hiyo katika orodha ya Vilevi vilivyopigwa marufuku Nchini humo. Waziri huyo amesema, sidhani kama Mirungi ni hatari zaidi kuliko Kahawa na Pombe. Kwa hivyo mabibi na mabwana, naona bora tuiondoe...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki afanya ziara ya kikazi Tanga

    WAZIRI KAIRUKI AFANYA ZIARA YA KIKAZI TANGA WAZIRI wa Nchi,@ortamisemitz Mhe. Angellah Kairuki leo tarehe 06 Julai 2023 amewasili Wilayani Korogwe mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo. Mhe.Kairuki atakagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Elimu na Afya. Pia...
  5. JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo amepewa Uwaziri ili kukamilisha mpango wa bandari kwa DP World?

    Tuliwahi kuandika hapa JF kuwa hakuna uteuzi au utenguaji unaofanyika kwa bahati mbaya au nzuri, kila uteuzi na utenguaji wa rais hapa Tanzania ni mpango kamili na mkakati mahususi wa muda mfupi, kati au umrefu. Pia soma > Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara. --- PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua...
  7. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Exaud Kigahe (Mb) ameshiriki ufunguzi wa Kongamano la Kibiashara kati ya Tanzania na China

    Naibu Waziri Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) Kwa niaba ya Waziri Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameshiriki ufunguzi wa Kongamano la Kibiashara kati ya Tanzania na China lililofanyika hoteli ya Golden tulip jijini Dar es salaam. Kigahe amesema kuwa makampuni kutoka China...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda: Wazazi muwe makini na mafunzo yanayotolewa kwa Watoto kuhusu masuala ya imani

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameelekeza mafunzo ya Dini Shuleni yatolewe kwa kufuata miongozo na mitaala iliyopitishwa na pia kuridhiwa na Viongozi wa Dini. Prof. Mkenda awaasa Wazazi kuwa makini na mafunzo yanayotolewa kwa watoto kuhusu masuala ya imani. Amesema...
  9. JamiiForums Tanzania Balozi Kayola awasilisha nakala ya Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje Malawi

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malawi, Agnes Kayola amewasilisha Nakala ya Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Malawi, Nancy Tembo Jijini Lilongwe Malawi. Tarehe 01 Julai, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu alimteua Balozi...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama akabidhiwa Kipande cha Sehemu ya ujenzi wa uwanja wa Mashujaa

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amekabidhiwa kipande cha sehemu ya ujenzi wa uwanja wa mashujaa, katika Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma mapema Julai 2, 2023. Ujenzi huo unaotekelezwa na kampuni ya SUMA...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Ashiriki Kongamano la Uhamasishaji Biashara Kati ya China & Afrika Nchini China

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI KATIKA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI BIASHARA KATI YA CHINA & AFRIKA AMBALO LIMEFANYIKA NCHINI CHINA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu K. Kijaji (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Bi. Rossella Lyu, Mkurugenzi wa Kampuni ya Greenchain ambayo...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina alikuwa sahihi kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa amejiridhisha na Mchango wa Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu Mhe.kutofanyiwa kazi na watendaji wa jeshi la Hifadhi. Dkt. Tulia amesema hayo June 28,2023 Bunge, Dkt. Tulia amesema...
  13. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe: Anzisheni Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye mazao mengine.

    Kigahe: Anzisheni Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye mazao mengine. Naibu Waziri wa Uwekezaji,Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe ameitaka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi kuzingatia maagizo ya Serikali ya kukamilisha taratibu za kuanzisha Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye mazao mengine...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa saini yako kwenye mkataba wa DP World, Waziri wa Ujenzi na uchukuzi bado upo madarakani kweli?

    Najiuliza tu, ni kweli wewe waziri wa Ujenzi ulisaini ule mkataba ukiwa na akili timamu? Nini hasa ilikuwa dhamira yako? Nani alikuwa nyuma yako? Wewe na waliokuwa nyuma yako mnajisikiaje kwasasa? Je, ni Mtanzania yupi mwenye akili timamu anaweza kukuamini wewe kwasasa? Huoni aibu kwani? Na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mpina alisimamisha Bunge kwa Dakika 25 "Atoa tuhuma NZITO maelekezo ya Waziri Mkuu, Mawaziri wakwama

    Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2023/2024, Bungeni jijini Dodoma May 3, 2023, mchango huu ndio ulizua sintofahamu iliyomlazimu Spika kuagiza Mpina alete ushahidi.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mpina alikuwa sahihi alivyomshutumu Waziri Mkuu kupuuzwa maagizo yake

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa amejiridhisha na Mchango wa Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhaga Mpina kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kutofanyiwa kazi na watendaji wa jeshi la Hifadhi Dkt. Tulia amesema hayo leo June 28,2023...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita Akiwa Bungeni Jijini Dodoma

    WAZIRI TABIA MWITA AKIWA BUNGENI JIJINI DODOMA Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita akiwa Bungeni Jijini Dodoma Juni 27, 2023 kufuatilia shughuli za muhimili huo, kwa mwaliko wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Tuangamize Utata wa Watumishi katika Sekta ya Afya: Kuelekea Uboreshaji wa Huduma za Afya Tanzania

    Mheshimiwa Ummy Mwalimu: Heshima yako Odo Ummy, Amani ya Mungu iwe juu yako, natumaini barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na ustawi bora. Kwenye wizara ya Afya, Naweza kusema Bila shaka jitihada zako ziko bayana kwa kila Mwananchi. Hata hivyo, ningependa kukushirikisha wasiwasi wangu...
  19. JamiiForums Tanzania Kama waziri Mwigulu anakataa kuwa pesa hazijaibiwa serikalini, ina maana kuwa anapingana na ripoti ya CAG?

    Wakati akifunga mjadala wa bajeti ya wizara ya Fedha ya mwaka 2023/2024 waziri Mwigulu alinukuliwa akiwaambia wabunge kuwa, kama ripoti ya CAG inadai kuwa pesa nyingi zimeibiwa serikalini, je pesa yote anayoitoa Rais Samia kwenye miradi mbalimbali nchini, angezitoa wapi, iwapo pesa nyingi...
  20. JamiiForums Tanzania Mpina ajibu mapigo, asema Mwigulu hana sifa ya kuwa Waziri. Adai anakopa hadi pesa za semina ilhali kuna matrilioni hayajakusanywa

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Mwigulu amesababisha matatizo makubwa kwenye SGR zaidi ya trilioni 4. Luhaga amesema Mwigulu hatakuwepo kwenye nafasi ya uwaziri labda kwa neema ya Mungu akidai hana sifa ya kukaa kwenye nafasi aliyonayo. Mpina amedai Mwigulu amepiga ngonjera kwenye hotuba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…