Mimi kama Mtanzania Mzalendo ninayependa Nchi yangu hii inayoongozwa na Mh Dr Rais Samia kwa sasa najitolea 1M cash kama mkulima tu wa mahindi hapa Dumila.
Nawiwa kufanya hivyo ili kuvuta attention na hamasa kwa wananchi kuhusu ujio wa Katiba Mpya.
Kwa kutambua umuhimu wa jambo lenyewe madai...
Jamani wanaume wenzangu mimi mcanada nimeoa tayari mwanamke wa kichaga tuna miaka 6 kwenye ndoa na tumefanikiwa kupata watoto wawili katika harakati zangu za maisha nikafanikiwa kuja canada na baadae nikamvuta mke wangu na mtoto wetu wa kwanza wakafika canada na baada ya miaka miwili baadae...
Binti yangu ana mwaka na miezi takribani miwili sasa yupo kakaa tu HATAMBAI... Ukimlaza atajigeuza geuza tu... Na hata ukimkaliza kwenye kochi anaweza kushuka na kuishia kusimamia tu miguu kwenye kochi... Anasimamia tu watu au vitu ila hatambai ukimlaza chini au ukimkaliza.
Changamoto...
Habari wakuu,
Kuna mahali nataka kwenda kununua tani kadhaa za parachichi ila sasa huko kijijini wauzaji wanauza kwa kipimo cha ndoo (debe).
Naomba kujua kwa wenye uzoefu, ndoo moja ya lita 20 ikijaa parachichi inaweza kuwa na wastani wa uzito wa kilo ngapi?
Natanguliza shukrani.
Ni matumaimi yangu wote wazima.
Naombeni kujuzwa kwa kawaida inachukua muda gani kutoka siku ulipeleka barua ya posa ukweni mpaka siku ambayo utatakiwa kurudi kutoa mahari? Kama hakuna muda rasmi basi ile kibishi bishi unaweza ukawapiga kalenda wakwe kwa muda gani?
Huyu binti siku moja...
Mambo vipi wakuu kichwa kinajieleza hapo juu nataka kwenda kwenye hiyo biashara. Mada kuu nikujua bwawa la mtera linafanya kazi kwa sasa? Mimi Nipo nje ya nchi
Na je mtaji wake wa kuanzia changamoto zake n.k Zaidi sehemu ya kupata hao samaki nimeona ni bwawa mtera ndio pata nifaa.
Naomba mawazo yenu mnaotumia Instagram na Facebook kuuza bidhaa. Kwa winga anaechukua vitu kariakoo ni bidhaa gani rahisi kuuzika ukiweka insta na FB alafu ukaipromote?
Tusaidiane uzoefu, keki ni kubwa kila mtu walau apate kipande.
Nimejikusanya kiasi cha kupata laki nane, kazi kibarua (dayworker) kwa sasa nimeona kujiajiri ni vena Sana.
Sasa nauliza je kwa ongezeko kubwa la vibanda vya mobile money je itafaa kupambana hapo kukuza mtaji Kama kujiajiri.
Je, laki nane ikizunguka vizuri inaweza toa faida Bei gani kwa...
Habari zanu wakuu, kwa wenye uzoefu wa kuagiza bidha kupitia Aliexpress. nahitaji kuagiza bidha kwa mara ya kwanza,
Je nitapokea mzigo kwa njia gani?
Je mzigo utafika bila shida yoyote?
Kama kuna changamoto, ni zipi?
Asanteni.
Ukienda Wizara ya Afya, utakuta kuna watumishi kedekede, wanaosimamia jambo ambalo hawajawahi lifanya. Kuna wafamasia, ambao hawajawahi toa hata kidonge kimoja kwa mgonjwa, kuna madaktari ambao hata ndugu yake akiumwa Typhoid atapiga simu kwa daktari mzoefu hospitalini amtajie dawa nzuri. Kuna...
Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947
Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front
Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s
Salender Bridge 1960s
Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!!
Seaview-Mawingu House 1960
Arusha-Clock Tower 1966
Dodoma City Center 1974
Bukoba City...
Naomba kujua kama ukitumia Aliexpress kuagiza mzigo kuwa uwezekano wa kutumia agent wengine wa usafirishaji tofauti na options ambazo Aliexpress wanakuwa wameziweka...
Yani kwa mfano nataka kuagiza mzigo ila nahitaji kutumia Silent Ocean kusafirisha mzigo wangu, je ni hatua gani natakiwa...
Mfano hotuba ingejitika katika masuala yafuatayo!
I) Mambo ya makusanyo ya tozo ili kupunguza sintofahamu kwa wananchi jinsi ya matumizi yake!
ii) Demokrasi na uhuru wa vyombo vya Habari na Vyama vya sasa.
iii) Hatima ya katiba mpya
iv) Ufafanuzi wa deni la Taifa...
Mada mbili hizi zinajielekeza wazi nini kifanyike sasa kwa maslahi ya taifa:
#1: Mheshimiwa Majaliwa juzi alituhakikishia upo umeme wa kutosha:
#2: Tanesco leo wanatutaarifu kuwa umeme hautoshi:
Ya nini kumung'unya maneno?
Pana mtu hapa amejipambanua kuwa mwongo mzoefu. Haonyeshi hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.