Ukienda Wizara ya Afya, utakuta kuna watumishi kedekede, wanaosimamia jambo ambalo hawajawahi lifanya. Kuna wafamasia, ambao hawajawahi toa hata kidonge kimoja kwa mgonjwa, kuna madaktari ambao hata ndugu yake akiumwa Typhoid atapiga simu kwa daktari mzoefu hospitalini amtajie dawa nzuri. Kuna...